Mgombea CCM, mpigakura wafariki dunia ghafla
Askari wakiwataka wananchi kutawanyika baada ya kuahirishwa uchaguzi wa Serikali za mitaa katika kituo cha Mabibo Mpakani Mtaa wa Jitegemee, Dar es Salaam jana. Picha na Salim ShaoMikoani. Mgombea uenyekiti kupitia CCM Mtaa wa Swea, Kata ya Mkolani, Nyamagana, Mwanza, Pius Mihayo amefariki dunia ghafla akiwa mtaani kwake, muda mfupi baada ya kupiga kura.Msimamizi wa uchaguzi huo, Halifa Hida alisema mgombea huyo alifariki dunia ghafla akiwa kwenye mtaa wake wa Swea na chanzo cha kifo hicho...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi15 Dec
Mgombea CCM, mpigakura wafariki dunia dunia ghafla
9 years ago
Mwananchi15 Sep
Mgombea udiwani Kata ya Uyole CCM afariki ghafla
11 years ago
Mwananchi26 Mar
RC Mara afariki dunia ghafla
11 years ago
GPLYULE MTOTO ALIYETESEKA AFARIKI DUNIA GHAFLA
11 years ago
Tanzania Daima09 Apr
Paroko Kanisa Katoliki afariki dunia ghafla
BAADHI ya waamini wa Kanisa Katoliki la Bikira Maria wa Fatma mjini Geita, wameshitushwa na taarifa za kifo cha Paroko wa Parokia ya Geita, Padri Henry Kimisha aliyefariki dunia ghafla...
10 years ago
Mwananchi21 May
Wakimbizi 40 wa Burundi wafariki dunia
11 years ago
Tanzania Daima14 Feb
Watatu wafariki dunia Pwani
MKAZI wa Kijiji cha Msolwa, wilayani Bagamoyo, Doto Paul (30), amekufa kwa kuteketea kwa moto uliotokana na radi. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Ulrich Matei, alisema jana kuwa tukio...
11 years ago
Tanzania Daima05 Jan
Watatu wafariki dunia Dar
WATU watatu wamefariki dunia jana jijini Dar es Salaam katika matukio mawili tofauti, likiwamo la mmoja kujinyonga kwa kutumia mtandio. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, Englibert Kiondo, alisema kuwa...
11 years ago
Mwananchi15 May
Tisa wafariki dunia, 10 wajeruhiwa