Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


YULE MTOTO ALIYETESEKA AFARIKI DUNIA GHAFLA

Mtoto Suleiman Rajab enzi za uhai wake. Na Imelda Mtema
MASKINI! Yule mtoto Suleiman Rajab aliyeteseka muda mrefu akisumbuliwa na uvimbe mkubwa mguuni huku mamia ya Watanzania wakijitolea kuchanga fedha kwa ajili ya matibabu nchini India amefariki dunia ghafla nyumbani kwao Ukonga-Kivule, Dar. Akizungumza kwa masikitiko makubwa baada ya kifo hicho, baba mzazi wa marehemu, Rajab Upinde alisema kwamba mtoto wake huyo hakuwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

RC Mara afariki dunia ghafla

>Mkuu wa Mkoa wa Mara, John Tuppa amefariki dunia baada ya kuanguka ghafla kutoka kwenye kiti alichoketi wakati akishiriki Kikao cha Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya ya Tarime.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Paroko Kanisa Katoliki afariki dunia ghafla

BAADHI ya waamini wa Kanisa Katoliki la Bikira Maria wa Fatma mjini Geita, wameshitushwa na taarifa za kifo cha Paroko wa Parokia ya Geita, Padri Henry Kimisha aliyefariki dunia ghafla...

 

11 years ago

Tanzania Daima

10 years ago

GPL

MTOTO WA MACHO AFARIKI DUNIA

Mtoto Godwin Florence Rweyemamu (3) akiwa na bibi yake, Elda Charles Rweyemamu. Na Makongoro Oging'
MTOTO Godwin Florence Rweyemamu (3), mkazi wa Kijiji cha Kamala, Kata ya Bangwe mkoani Kigoma aliyeletwa katika Hospitali ya Taifa jijini Dar es Salaam kwa matibabu ya kansa ya macho amefariki dunia leo asubuhi. Mtoto Godwin amefariki baada ya kusumbuliwa na kansa ya macho iliyoambatana na malaria na upungufu wa damu mwilini....

 

11 years ago

Mwananchi

Mtoto anajisiwa, afariki dunia

Mwanafunzi wa darasa la pili katika Shule ya Msingi Kalangalala, mjini Geita, amefariki dunia baada ya kunajisiwa na mtu asiyejulikana nyumbani kwao, usiku wa kuamkia juzi.

 

11 years ago

GPL

MTOTO SALUMU AFARIKI DUNIA

Marehemu Salum Kassim enzi za uhai wake. Muonekano wa uvimbe wa tumbo aliokuwa nao Salum Kassim kabla ajafariki. Mtoto Salum Kassim (16), mkazi wa Kilimahewa-Tandika, Dar, ambaye ameteseka kwa muda wa miaka minne (siku 1440) akisumbuliwa na ugonjwa wa moyo…

 

10 years ago

GPL

MTOTO WA MWALIMU NYERERE AFARIKI DUNIA

John Nyerere (katikati) enzi za uhai wake. MTOTO wa nne wa Mwalimu J.K Nyerere, John Nyerere amefariki dunia jana akiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam alipokuwa amelazwa. Marehemu John alizaliwa mwaka 1957 jijini Dar es Salaam na enzi za uhai wake alikuwa kapteni wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) akiwa rubani wa kurusha ndege za kivita. Kwa mujibu wa mmoja wa wanafamilia ni kwamba marehemu...

 

10 years ago

Mtanzania

Mtoto wa Raila Odinga afariki dunia

Fidel-OdingaNAIROBI KENYA

MTOTO mkubwa wa kiume wa kiongozi wa upinzani wa Muungano wa Cord, Raila Odinga amefariki dunia jana asubuhi katika mazingira yasiyoeleweka.

Mtoto huyo, Fidel Odinga, alikutwa kitandani nyumbani kwake huko Windy Ridge, Karen baada ya kuutumia usiku wa jana na marafiki zake.

Mwili wa mfanyabiashara huyo, ambaye pia ni mwanasiasa kijana ulitarajiwa kupelekwa katika nyumba ya mazishi ya Lee Funeral Home.
Odinga, ambaye yuko eneo la tukio, alithibitisha kifo cha mwanae na kwamba...

 

10 years ago

GPL

MTOTO AFANYIWA BETHIDEI, AFARIKI DUNIA

Dustan Shekidele, Moro Inauma sana! Mtoto mzuri wa kiume aitwaye Jumanne Mwinyimbegu, mwenye umri wa mwaka mmoja amefariki dunia ghafla muda mfupi baada ya kufanyiwa sherehe ya kutimiza mwaka mmoja ‘bethidei’. Tukio hilo la kusikitisha lilijiri nyumbani kwa wazazi wa Jumanne Mtaa wa Saadan Kata ya Mwembesongo mkoani hapa mwishoni mwa wiki iliyopita na kuibua simanzi nzito kwa kuwa alikuwa haumwi na ilikuwa muda...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani