Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Paroko Kanisa Katoliki afariki dunia ghafla

BAADHI ya waamini wa Kanisa Katoliki la Bikira Maria wa Fatma mjini Geita, wameshitushwa na taarifa za kifo cha Paroko wa Parokia ya Geita, Padri Henry Kimisha aliyefariki dunia ghafla...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

PADRE MUNISHI AWEKWA WAKFU KUWA PAROKO KANISA KATOLIKI BALTIMORE MD

IMG_0279Baba padre Honest Munishi akiwekwa wakfu kuongoza kanisa la Katoliki la St.Edward Baltimore Md nchini Marekani katika misa iliyoongozwa na Askofu Dennis Madden wa jimbo la kuu la Baltimore, Jumapili Februari 8,2014. Padre Munishi amechukua nafasi iliyoachwa wazi na Padre Evod Shao aliyemaliza muda wake.IMG_0276Padre Munishi katika ibada. IMG_0284Padre Munishi akitia saini mbele ya askofu baada ya kusimikwa kuwa paroko mpya wa kanisa la Baltimore Md. IMG_0288Baba askofu wa jimbo kuu la Baltimore akimtambulisha padre...

 

11 years ago

Mwananchi

RC Mara afariki dunia ghafla

>Mkuu wa Mkoa wa Mara, John Tuppa amefariki dunia baada ya kuanguka ghafla kutoka kwenye kiti alichoketi wakati akishiriki Kikao cha Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya ya Tarime.

 

11 years ago

GPL

YULE MTOTO ALIYETESEKA AFARIKI DUNIA GHAFLA

Mtoto Suleiman Rajab enzi za uhai wake. Na Imelda Mtema
MASKINI! Yule mtoto Suleiman Rajab aliyeteseka muda mrefu akisumbuliwa na uvimbe mkubwa mguuni huku mamia ya Watanzania wakijitolea kuchanga fedha kwa ajili ya matibabu nchini India amefariki dunia ghafla nyumbani kwao Ukonga-Kivule, Dar. Akizungumza kwa masikitiko makubwa baada ya kifo hicho, baba mzazi wa marehemu, Rajab Upinde alisema kwamba mtoto wake huyo hakuwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Paroko Katoliki ataka tume huru Arusha

>Wakati Serikali ikiwahamishia Hospitali ya Rufani ya Arusha Medical Center, Wanakwaya watatu wa Kanisa Katoliki kati ya sita waliojeruhiwa kwa mabomu ya polisi, wito umetolewa kwa Serikali kuunda tume huru ya kuchunguza aina ya bomu lililotumiwa na polisi.

 

10 years ago

Dewji Blog

Kanisa Katoliki Parokia ya Mwananyamala yazindua harambee kukarabati kanisa hilo

1

Paroko wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mwananyamala, Focus Masawe,  akizindua Kadi maalumu na tiketi kwa ajili ya harambee kuchangia ujenzi na ukarabati wa Kanisa hilo jijini Dar es Salaam.

2

Paroko wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mwananyamala, Focus Masawe,  akionyesha Kadi maalumu na tiketi kwa ajili ya harambee kuchangia ujenzi na ukarabati wa Kanisa hilo baada ya kuzindua rasmi

3

5

Mwanajumuiya wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mwananyamala,  Stephen Minja, akionyesha Kadi Maalumu ya  harambee ya...

 

10 years ago

Michuzi

KANISA KATOLIKI POROKIA YA MWANANYAMALA YAZINDUA HARAMBEE KUKARABATI KANISA HILO

Paroko wa Kanisa Katoliki Paroki ya Mwananyamala, Focus Masawe,  akizindua Kadi maalumu na tiketi kwa ajili ya harambee kuchangia ujenzi na ukarabati wa Kanaisa hilo jijini Dar es Salaam juzi Paroko wa Kanisa Katoliki Paroki ya Mwananyamala, Focus Masawe,  akionyesha Kadi maalumu na tiketi kwa ajili ya harambee kuchangia ujenzi na ukarabati wa Kanisa hilo baada ya kuzindua rasmi Wanakwaya wa Paroko wa Kanisa Katoliki Paroki ya Mwananyamala, wakiimba wakati wa uzinduzi uuzaji wa tiketi na...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kanisa Katoliki linautazamaje ushoga?

Kadinali Raymond Burke ameenguliwa na Papa Francis katika wadhifa wake wa mwenyekiti wa bodi katika kanisa katoliki.

 

11 years ago

BBCSwahili

UN yalaani sera za kanisa katoliki

Umoja wa mataifa umeishtumu Vatican kwa kuidhinisha na kutumia sera zilizowezesha mapadre kubaka na kuwalawiti maelfu ya watoto.

 

11 years ago

BBCSwahili

Kanisa Katoliki kortini Poland

Kanisa Katoliki limeshtakiwa na mtu aliyedhulumiwa kimapenzi na padri mmoja huko Poland

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani