PADRE MUNISHI AWEKWA WAKFU KUWA PAROKO KANISA KATOLIKI BALTIMORE MD
Baba padre Honest Munishi akiwekwa wakfu kuongoza kanisa la Katoliki la St.Edward Baltimore Md nchini Marekani katika misa iliyoongozwa na Askofu Dennis Madden wa jimbo la kuu la Baltimore, Jumapili Februari 8,2014. Padre Munishi amechukua nafasi iliyoachwa wazi na Padre Evod Shao aliyemaliza muda wake.
Padre Munishi katika ibada.
Padre Munishi akitia saini mbele ya askofu baada ya kusimikwa kuwa paroko mpya wa kanisa la Baltimore Md.
Baba askofu wa jimbo kuu la Baltimore akimtambulisha padre...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima09 Apr
Paroko Kanisa Katoliki afariki dunia ghafla
BAADHI ya waamini wa Kanisa Katoliki la Bikira Maria wa Fatma mjini Geita, wameshitushwa na taarifa za kifo cha Paroko wa Parokia ya Geita, Padri Henry Kimisha aliyefariki dunia ghafla...
11 years ago
Habarileo06 May
Padre wa Kanisa Katoliki afa ajalini
WATU wawili, akiwemo Padre Martin Kapufi (37) wa Kanisa Katoliki Jimbo la Mpanda mkoani Katavi, wamekufa katika ajali ya gari, walilokuwa wakisafiria, kuacha njia na kupinduka katika Kijiji cha Kamsisi Barabara ya Inyonga -Tabora.
11 years ago
Mwananchi06 Jan
Paroko Katoliki ataka tume huru Arusha
10 years ago
Raia Tanzania10 Aug
Padre Katoliki amtaka Lowassa
PAROKO wa Parokia ya Kabanga mkoani Kigoma, Padre Baptiste Mapunda, amempigia debe mgombea anayemtaka kuwa Rais wa Tano wa Tanzania, akimtaja kuwa ni mtu anayeonekana mbaya machoni mwa watu.
Akihubiri katika ibasa maalumu ya kuadhimisha miaka 25 ya upadre wake katika Parokia ya Moyo Mtakatifu wa Yesu, Manzese jijini Dar es Salaam jana, Padre Mapunda, bila kutaja jina la mwanasiasa huyo, alisema mtu anayeonekana mchafu anaweza kubadilika na kuleta mabadiliko nchini.
“Tanzania si nchi...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-PzEhqrM1e90/VY45DZw7pgI/AAAAAAAHkVk/lRcblWTBENw/s72-c/p1.jpg)
RAIS KIKWETE KATIKA HAFLA YA MIAKA MIWILI YA KUTAWAZWA KWA POPE FRANCIS KUWA KULIONGOZI WA KANISA KATOLIKI DUNIANI
![](http://1.bp.blogspot.com/-PzEhqrM1e90/VY45DZw7pgI/AAAAAAAHkVk/lRcblWTBENw/s640/p1.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-YKzvuja5fEI/VY45bBK95EI/AAAAAAAHkW8/3r4efwviE90/s640/p2.jpg)
10 years ago
Habarileo30 Apr
Padre Mapunda ateuliwa Askofu Jimbo Katoliki Singida
KIONGOZI wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis amemteua Padre Edward Mapunda (51) kuwa Askofu Mpya wa Jimbo la Singida.
10 years ago
Dewji Blog20 Apr
Kanisa Katoliki Parokia ya Mwananyamala yazindua harambee kukarabati kanisa hilo
Paroko wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mwananyamala, Focus Masawe, akizindua Kadi maalumu na tiketi kwa ajili ya harambee kuchangia ujenzi na ukarabati wa Kanisa hilo jijini Dar es Salaam.
Paroko wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mwananyamala, Focus Masawe, akionyesha Kadi maalumu na tiketi kwa ajili ya harambee kuchangia ujenzi na ukarabati wa Kanisa hilo baada ya kuzindua rasmi
Mwanajumuiya wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mwananyamala, Stephen Minja, akionyesha Kadi Maalumu ya harambee ya...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-ph4Aa25jMlk/VTTiw8bmmAI/AAAAAAAC3UQ/8EHqustY3aw/s72-c/1.jpg)
KANISA KATOLIKI POROKIA YA MWANANYAMALA YAZINDUA HARAMBEE KUKARABATI KANISA HILO
![](http://2.bp.blogspot.com/-ph4Aa25jMlk/VTTiw8bmmAI/AAAAAAAC3UQ/8EHqustY3aw/s1600/1.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-sZD_07Sg5v0/VTTiuCUA03I/AAAAAAAC3UI/t4dJUbMvvnw/s1600/2.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-GyxUwmKhA-Y/VTTi6vqqaXI/AAAAAAAC3U0/Q99oBdlO65s/s1600/9.jpg)
10 years ago
VijimamboWATOTO DANIELLE, AALIYAH NA GIANNA WAWEKWA WAKFU KATIKA KANISA LA CATHEDRAL OF PRAISE CHURCH BOWIE, MARYLAND.