Padre Katoliki amtaka Lowassa
PAROKO wa Parokia ya Kabanga mkoani Kigoma, Padre Baptiste Mapunda, amempigia debe mgombea anayemtaka kuwa Rais wa Tano wa Tanzania, akimtaja kuwa ni mtu anayeonekana mbaya machoni mwa watu.
Akihubiri katika ibasa maalumu ya kuadhimisha miaka 25 ya upadre wake katika Parokia ya Moyo Mtakatifu wa Yesu, Manzese jijini Dar es Salaam jana, Padre Mapunda, bila kutaja jina la mwanasiasa huyo, alisema mtu anayeonekana mchafu anaweza kubadilika na kuleta mabadiliko nchini.
“Tanzania si nchi...
Raia Tanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo06 May
Padre wa Kanisa Katoliki afa ajalini
WATU wawili, akiwemo Padre Martin Kapufi (37) wa Kanisa Katoliki Jimbo la Mpanda mkoani Katavi, wamekufa katika ajali ya gari, walilokuwa wakisafiria, kuacha njia na kupinduka katika Kijiji cha Kamsisi Barabara ya Inyonga -Tabora.
10 years ago
Habarileo30 Apr
Padre Mapunda ateuliwa Askofu Jimbo Katoliki Singida
KIONGOZI wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis amemteua Padre Edward Mapunda (51) kuwa Askofu Mpya wa Jimbo la Singida.
10 years ago
Vijimambo11 Feb
PADRE MUNISHI AWEKWA WAKFU KUWA PAROKO KANISA KATOLIKI BALTIMORE MD
10 years ago
VijimamboLOWASSA AMJULIA HALI ASKOFU RUZOKA WA JIMBO KATOLIKI TABORA
11 years ago
Habarileo21 Apr
Padre: Wabunge acheni ubinafsi
WABUNGE wa Bunge Maalum la Katiba wameshauriwa kutambua kwamba karama na uwezo waliopewa ni kwa ajili ya kuandaa Katiba mpya ya kuipeleka Tanzania kwa miaka zaidi ya 50 ijayo na siyo kujikita katika maslahi yao binafsi.
9 years ago
Habarileo06 Jan
Padre akemea siasa za ukanda na ukabila
PADRE Msaidizi wa Parokia ya Mt. Aloyce Gonzaga, Jimbo Katoliki la Mbinga, Christian Mhagama amekemea tabia ya watu kuzungumzia ukanda na ukabila na kuonya kwamba jambo hilo sio jema kwa taifa na linarudisha nyuma maendeleo.
10 years ago
Habarileo23 Mar
Padre, Mbelgiji ‘kiranja’wa tamko la Wakristo
SIKU chache baada ya kutoka kauli zinazopingana za viongozi wa dini ya Kikristo kuhusu upigiaji kura ya maoni ya Katiba Inayopendekezwa, imebainika kuwa Kasisi wa Umoja wa Wanazuoni Wakristo Tanzania (CPT), Padre Vic Missien, ndiye chanzo cha matamko ambayo yametoka hivi karibuni na kusababisha mkanganyiko kwa waumini.
9 years ago
Mtanzania10 Sep
Padre mtarajiwa kizimbani kwa mauaji
NA JANETH MUSHI, ARUSHA
MTUHUMIWA wa mauaji katika Hoteli ya A Square Belmont jijini Arusha, Elijus Lyatuu (31), ambaye ni mwanafunzi wa mwaka wa tano wa masomo ya falsafa katika Chuo cha Kanisa la Katoliki Segerea jijini Dar es Salaam, amepandishwa kizimbani na kusomewa shtaka la mauaji.
Mtuhumiwa huyo, alifikishwa mahakamani jana saa 4:30 asubuhi akiwa chini ya ulinzi mkali wa polisi ndani ya gari aina ya Toyota Land Cruiser yenye namba za usajili PT 1434.
Mwendesha mashtaka wa Serikali,...
10 years ago
GPLJERRY SILAA ATEMBELEA KATA YA NKOLOLO, AKUTANA NA PADRE PAULO