WATOTO DANIELLE, AALIYAH NA GIANNA WAWEKWA WAKFU KATIKA KANISA LA CATHEDRAL OF PRAISE CHURCH BOWIE, MARYLAND.
Mchungaji Igogo akiendesha ibada ya kuwekwa wakfu watoto Danielle Amanda Malinda, Aaliyah Jam Mpenda na Gianna Imma Nyang;oro iliyofanyika siku ya Jumapili Novemba 16, 2014 Bowie, Maryland nchini Marekani Cathedral of Praise church.
Mchungaji Magige akiendesha Ibada.
Bishop Kalema aliyeongoza wakfu wa watoto hao akielezea sababu za kufanya hivyo badala ya kuwabatiza na moja ya sababu ni kwamba Yesu alibatizwa akiwa mkubwa na wakati alipokua mtoto alipewa wakfu sawa na sisi tunavyofanya...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboWATOTO LISHA SHARIF NA WILLIAM RAMADHAN WASHEREHEKEA SIKU ZAO ZA KUZALIWA BOWIE, MARYLAND NCHINI MAREKANI.
10 years ago
Vijimambo03 Nov
SURPRISE BIRTHDAY PARTY YA PETER WALDEN YAFANA HUKO BOWIE MARYLAND NCHINI MAREKANI
![IMG_5947](https://sundayshomari.files.wordpress.com/2014/11/img_5947.jpg?w=714)
![IMG_5937](https://sundayshomari.files.wordpress.com/2014/11/img_5937.jpg?w=714)
![IMG_5965](https://sundayshomari.files.wordpress.com/2014/11/img_5965.jpg?w=714)
![IMG_5921](https://sundayshomari.files.wordpress.com/2014/11/img_5921.jpg?w=714)
![IMG_5968](https://sundayshomari.files.wordpress.com/2014/11/img_5968.jpg?w=714)
![IMG_5957](https://sundayshomari.files.wordpress.com/2014/11/img_5957.jpg?w=714)
![IMG_5927](https://sundayshomari.files.wordpress.com/2014/11/img_5927.jpg?w=714)
![IMG_5904](https://sundayshomari.files.wordpress.com/2014/11/img_5904.jpg?w=714)
![IMG_5942](https://sundayshomari.files.wordpress.com/2014/11/img_5942.jpg?w=714)
11 years ago
Anglicannews25 Feb
Two Bombs Detonated Outside Christ Church Anglican Cathedral, Zanzibar
AFP
Anglicannews
Mkunazini, Zanzibar - February 25, 2014 – During the mid-afternoon of Monday, February 24, 2014, two small explosive devices detonated sequentially near the main entrance to Christ Church Cathedral and the Former Slave Market in Mkunazini.
Two bombs detonated outside Zanzibar's Anglican cathedralEpiscopal News Service
Churches and tourist restaurant bombed in ZanzibarThe Tablet (subscription)
Homemade...
10 years ago
Vijimambo11 Feb
PADRE MUNISHI AWEKWA WAKFU KUWA PAROKO KANISA KATOLIKI BALTIMORE MD
![IMG_0279](https://sundayshomari.files.wordpress.com/2015/02/img_0279.jpg?w=714)
![IMG_0276](https://sundayshomari.files.wordpress.com/2015/02/img_0276.jpg?w=714)
![IMG_0284](https://sundayshomari.files.wordpress.com/2015/02/img_0284.jpg?w=714)
![IMG_0288](https://sundayshomari.files.wordpress.com/2015/02/img_0288.jpg?w=714)
9 years ago
Dewji Blog18 Oct
Dkt. Bilal ashiriki ibada ya kuwekwa wakfu Askofu, Dkt. Abednego Keshomshahara wa kanisa la KKKT mkoani Kagera
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Mohammed Gharib Bilal, akimkpongeza Askofu Dkt. Abednego Keshmshahara wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Magharibi, Mkoani Kagera (kushoto) wakati wa sherehe za kuwekwa Wakfu zilizofanyika kwenye Kanisa la KKKT mjini Bukoba, mkoani Kagera leo Okt 18, 2015. Katikati ni Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Alex Malasusa. (Picha na OMR).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
9 years ago
Habarileo06 Oct
Zaidi ya watoto 1,000 nchini wawekwa kizuizini
IDARA ya Ustawi wa Jamii iliyo chini ya Wizara ya Afya imesema kwamba taarifa ya ufuatiliaji wa mashauri ya watoto nchini ya mwaka 2014 ambayo iliandaliwa na Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashitaka nchini (DPP) ilibainisha kuwepo kwa wastani wa watoto 1,000 waliowekwa megerezani.
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-YBAQvI6YM1s/ViOpQIbTtjI/AAAAAAAIAuI/hCTeNTWVUys/s72-c/01.jpg)
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASHIRIKI IBADA YA KUWEKWA WAKFU ASKOFU, DKT. ABEDNEGO KESHOMSHAHARA WA KANISA LA KKKT DAYOSISI YA KASKAZINI MAGHARIBI MKOANI KAGERA.
![](http://4.bp.blogspot.com/-YBAQvI6YM1s/ViOpQIbTtjI/AAAAAAAIAuI/hCTeNTWVUys/s640/01.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-51L96fmX-v0/ViOpb2uao3I/AAAAAAAIAvI/kXa0U4rjJX8/s640/5C.jpg)
11 years ago
Dewji Blog29 Jun
Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu wa siku ya mwisho wakaribisha watu mbalimbali katika Kanisa lao
Kiongozi wa shule ya Jumapili wa Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu wa siku za mwisho,Dr, Emanuel Kandusi akiwapatia maelezo mbalimbali kwa watu waliotembelea kanisa hilo wakati wa siku ya wazi kwa ajili ya watu mbalimbali kuangalia shughuli zinazofanywa na kanisa hilo.
Mwakilishi wa Darasa la Mkono msaidizi wa akina mama Happy Ayubu akitoa maelezo kwa watu waliotembelea kanisa hilo.
Baadhi ya watu waliotembelea kanisa hili wakipata maelekezo mbalimbali.
Baadhi ya watu waliotembelea...
9 years ago
Dewji Blog30 Nov
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa afunga maadhimisho ya miaka 20 ya Kanisa la Africa Inland Church Pwani!
Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa akisalimiana na baadhi ya viongozi wa kanisa la Africa Inland Church wakati alipohitimisha maadhimisho ya miaka 20 tangu kuanzishwa kwa kanisa hilo katika Dayosisi ya Pwani yaliyofanyika kwenye ukumbi wa PTA katika uwanja wa maonyesho wa Mwalimu Nyerere Kilwa Road jijini Dar es salaam Novemba 29, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10