Dkt. Bilal ashiriki ibada ya kuwekwa wakfu Askofu, Dkt. Abednego Keshomshahara wa kanisa la KKKT mkoani Kagera
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Mohammed Gharib Bilal, akimkpongeza Askofu Dkt. Abednego Keshmshahara wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Magharibi, Mkoani Kagera (kushoto) wakati wa sherehe za kuwekwa Wakfu zilizofanyika kwenye Kanisa la KKKT mjini Bukoba, mkoani Kagera leo Okt 18, 2015. Katikati ni Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Alex Malasusa. (Picha na OMR).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASHIRIKI IBADA YA KUWEKWA WAKFU ASKOFU, DKT. ABEDNEGO KESHOMSHAHARA WA KANISA LA KKKT DAYOSISI YA KASKAZINI MAGHARIBI MKOANI KAGERA.
10 years ago
GPLMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AHUDHURIA SHEREHE YA KUWEKWA WAKHFU ASKOFU MTEULE WA KANISA LA AFRICAN INLAND DAYOSISI YA MWANZA
10 years ago
Dewji Blog19 Oct
Dkt. Bilal ahudhuria sherehe ya kuwekwa wakhfu Askofu mteule wa kanisa la African Inland Dayosisi ya Mwanza, Mchungaji Bunango
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya viongozi wa dini ya Kikristu, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza leo, Oktoba 19, 2014, kwa ajili ya kuhudhuria sherehe za kuwekwa Wakhfu Askofu Mteule wa Kanisa la African Inland Dayosisi ya Mwanza, Mchungaji John Bunango, iliyofanyika jijini humo leo mchana.(Picha na OMR).
Maaskofu wakimwekea mikono ya Baraka Askofu mwenzao, Askofu Mteule wa Kanisa la African...
10 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AHUDHURIA SHEREHE YA KUWEKWA WAKHFU ASKOFU MTEULE WA KANISA LA AFRICAN INLAND DAYOSISI YA MWANZA, MCHUNGAJI JOHN BUNANGO, JIJINI MWANZA
10 years ago
MichuziMH. PINDA AHUDHURI IBADA YA KUWEKWA WAKFU ASKOFU MWAIPOPO WA DAYOSISI YA SUMBAWANGA
9 years ago
VijimamboLOWASSA ASHIRIKI IBADA YA JUMAPILI KANISA LA KKKT MONDULI
9 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS MOHAMED GHARIB BILAL AHUDHURIA KUWEKWA WAKFU ASKOFU KENEN PANJA MJINI TUKUYU LEO
10 years ago
Dewji Blog21 Mar
Dkt. Bilal ashiriki matembezi ya hisani ya kuchangia ujenzi wa Kanisa la Kigango cha Mt. Dominic Savio Temeke Mikoroshini, Dar
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akishiriki na kuongoza matembezi ya Hisani kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa Kanisa la Kigango cha Mt. Dominic Savio, lililopo Temeke Mikoroshini. Matembezi hayo yamefanyika leo Machi 21, 2015 asubuhi kuanzia Chang’ombe Polisi hadi Temeke Mikoroshini, jijini Dar es Salaam. (Picha na OMR).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokelewa na mwakilishi wa Askofu Titus...
11 years ago
GPLDKT. BILAL AZINDUA SHEREHE ZA MBIO ZA MWENGE WA UHURU MKOANI KAGERA