MAKAMU WA RAIS MOHAMED GHARIB BILAL AHUDHURIA KUWEKWA WAKFU ASKOFU KENEN PANJA MJINI TUKUYU LEO
![](http://4.bp.blogspot.com/-9CypBpiLeWY/Vf731uTV-ZI/AAAAAAAH6Xw/vOSCWuT5Hxg/s72-c/unnamed%2B%252863%2529.jpg)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Abass Kandoro wakati alipowasili kwenye Uwanja wa ndege wa Songwe mkoani humo leo Sept 20,2015 kwa ajili ya kuhudhuria sherehe ya kuwekwa wakfu Askofu mteule wa Kanisa la Morovian Tanzania Jimbo la kusini Mchungaji Kenan Salim Pannja zilizofanyika katika Uwanja wa michezo wa Tandale mjini Tukuyu Mkoani Mbeya.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe....
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/zMJxnqMJKq0tuLqF0QV2fPPuqw7Dgb0cvSKezXAyI2*W0QV5AEq21knrACBLU2Ekqhbsfqwne0Ics-xSqfuUjKVTIcUb2UHL/1.jpg?width=650)
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AHUDHURIA SHEREHE YA KUWEKWA WAKHFU ASKOFU MTEULE WA KANISA LA AFRICAN INLAND DAYOSISI YA MWANZA
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-YBAQvI6YM1s/ViOpQIbTtjI/AAAAAAAIAuI/hCTeNTWVUys/s72-c/01.jpg)
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASHIRIKI IBADA YA KUWEKWA WAKFU ASKOFU, DKT. ABEDNEGO KESHOMSHAHARA WA KANISA LA KKKT DAYOSISI YA KASKAZINI MAGHARIBI MKOANI KAGERA.
![](http://4.bp.blogspot.com/-YBAQvI6YM1s/ViOpQIbTtjI/AAAAAAAIAuI/hCTeNTWVUys/s640/01.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-51L96fmX-v0/ViOpb2uao3I/AAAAAAAIAvI/kXa0U4rjJX8/s640/5C.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-LfPjCd5M218/Vf6R70A6MtI/AAAAAAAH6PU/cK4YaPQ9QxE/s72-c/20150920_090324.jpg)
Mbaraka wa Askofu Mteule Mchungaji Kenan Salim Panja, Kanisa La Moravian Jimbo la Kusini mjini Tukuyu Leo
![](http://3.bp.blogspot.com/-LfPjCd5M218/Vf6R70A6MtI/AAAAAAAH6PU/cK4YaPQ9QxE/s640/20150920_090324.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-lC1tY4_0F-o/Vf6SmebWLII/AAAAAAAH6Pc/Fk5kR8OssfQ/s640/20150920_084121.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-GjpNfyecck8/Vf6Q9e9DHiI/AAAAAAAH6PI/WjCo9czJucU/s640/unnamed%2B%252820%2529.jpg)
Picha na Mpeli Nsekela
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-gxN1KhSX5e4/VEQxdGpByjI/AAAAAAAGr-g/KDmhZy2kKuI/s72-c/1.jpg)
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AHUDHURIA SHEREHE YA KUWEKWA WAKHFU ASKOFU MTEULE WA KANISA LA AFRICAN INLAND DAYOSISI YA MWANZA, MCHUNGAJI JOHN BUNANGO, JIJINI MWANZA
![](http://3.bp.blogspot.com/-gxN1KhSX5e4/VEQxdGpByjI/AAAAAAAGr-g/KDmhZy2kKuI/s1600/1.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-VPRtl4uFw9A/VEQxdSrD9xI/AAAAAAAGr-o/Seq-pTIFuSc/s1600/2.jpg)
10 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL, AHUDHURIA SHEREHE ZA KUSIMIKWA ASKOFU MKUU JIMBO LA DODOMA LEO
10 years ago
Dewji Blog19 Jan
Makamu wa Rais Dkt. Bilal, ahudhuria sherehe za kusimikwa Askofu Mkuu jimbo la Dodoma
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia kwenye Sherehe ya kumsimika Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dodoma Beatus Kinyaiya iliyofanyika jana Januari 18, 2015 katika Kanisa la Mt. Paulo wa Msalaba Dodoma.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimpongeza Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dodoma Beatus Kinyaiya baada ya kusimikwa rasmi kwenye Sherehe iliyofanyika jana Januari 18, 2015 katika Kanisa la...
10 years ago
GPLMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL, AHUDHURIA SHEREHE ZA KUSIMIKWA ASKOFU MKUU JIMBO LA DODOMA JANA
9 years ago
Dewji Blog18 Oct
Dkt. Bilal ashiriki ibada ya kuwekwa wakfu Askofu, Dkt. Abednego Keshomshahara wa kanisa la KKKT mkoani Kagera
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Mohammed Gharib Bilal, akimkpongeza Askofu Dkt. Abednego Keshmshahara wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Magharibi, Mkoani Kagera (kushoto) wakati wa sherehe za kuwekwa Wakfu zilizofanyika kwenye Kanisa la KKKT mjini Bukoba, mkoani Kagera leo Okt 18, 2015. Katikati ni Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Alex Malasusa. (Picha na OMR).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...