Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SURPRISE BIRTHDAY PARTY YA PETER WALDEN YAFANA HUKO BOWIE MARYLAND NCHINI MAREKANI

IMG_5947Designer wa nguo (PSW) Peter Walden na mkewe Frida Walden wakiwa wenye nyuso za furaha wakati kusheherekea Birthday yake nyumbani kwake huko Bowie Md Jumamosi Novemba mosi,2014. IMG_5937Birthday boy akiwa na mama yake. IMG_5965Cake ya Birthday iliyowekwa nembo ya nguo za Peter (Perfect Gentleman by PSW). IMG_5921Justus na mkewe. IMG_5968Bw,Adoko, Sharon na mkewe Jackie Adoko. kwa picha zaidi bofya soma zaidi
IMG_5957Na Dj Mwajuma kushoto na Mariam wakifanya vitu. IMG_5927Stanley na Irene na mtoto wao. IMG_5904Bw.Alex na Kwiz a.k.a Lady Gaga. IMG_5942

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

SURPRISE BIRTHDAY PARTY YA PETER WALDEN YAFANA HUKO BOWIE MD

IMG_5947Designer wa nguo (PSW) Peter Walden na mkewe Frida Walden wakiwa wenye nyuso za furaha wakati kusheherekea Birthday yake nyumbani kwake huko Bowie Md Jumamosi Novemba mosi,2014. IMG_5937Birthday boy akiwa na mama yake. IMG_5965Cake ya Birthday iliyowekwa nembo ya nguo za Peter (Perfect Gentleman by PSW. Picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

Vijimambo

WATOTO LISHA SHARIF NA WILLIAM RAMADHAN WASHEREHEKEA SIKU ZAO ZA KUZALIWA BOWIE, MARYLAND NCHINI MAREKANI.

Mtoto Lisha Sharif akiwa kwenye sherehe ya siku yake ya kuzaliwa ya kufikisha miaka 12, siku ya Jumamosi Novemba 22, 2014 iliyofanyika nyumbani kwao Bowie, Maryland nchini Marekani na kuhudhuriwa ndugu, jamaa na marafiki waiwemo wanafunzi wenzake waliofika kusherehekea nae siku hiyo maalum katika historia ya maisha yake.Mtoto William Ramadhan  akiwa kwenye sherehe ya siku yake ya kuzaliwa ya kufikisha miaka 8, siku ya Jumamosi Novemba 22, 2014 iliyofanyika nyumbani kwao Bowie, Maryland...

 

10 years ago

Vijimambo

JACQUELINE & ANDREW'S BABY SHOWER YAFANA COLLEGE PARK, MARYLAND NCHINI MAREKANI


Kushoto ni Bwn. Ngayoma katika picha ya pamoja na Jacqueline na Andrew wakati wakijiandaa kuingia ukumbini Hampton Inn kwenye tafrija ya kumkaribisha  mtoto (baby shower) iliyofanyika siku ya Jumamosi Novemba 22, 2014 College Park, Maryland nchini Marekani.
Jacqueline na Andrew wakiingia ukumbini kwenye tafrija ya kumkaribisha mtoto wao wa kiume iliyofanyika Hampton Inn iliyopo College Park Maryland nchini Marekani siku ya Jumamosi Novemba 22, 2014
Jacqueline na Andrew wakiwa meza kuu
Dada tuma...

 

10 years ago

Vijimambo

WATOTO DANIELLE, AALIYAH NA GIANNA WAWEKWA WAKFU KATIKA KANISA LA CATHEDRAL OF PRAISE CHURCH BOWIE, MARYLAND.

Mchungaji Igogo akiendesha ibada ya kuwekwa wakfu watoto Danielle Amanda Malinda, Aaliyah Jam Mpenda na Gianna Imma Nyang;oro iliyofanyika siku ya Jumapili Novemba 16, 2014 Bowie, Maryland nchini Marekani  Cathedral of Praise church.Mchungaji  Magige akiendesha Ibada.  Bishop Kalema aliyeongoza wakfu wa watoto hao akielezea sababu za kufanya hivyo badala ya kuwabatiza na moja ya sababu ni kwamba Yesu alibatizwa akiwa mkubwa na wakati alipokua mtoto alipewa wakfu sawa na sisi tunavyofanya...

 

10 years ago

Vijimambo

SALA YA EID ILIOSALIWA KATIKA JIMBO LA MARYLAND NCHINI MAREKANI

Mmoja wa viongozi wa msikiti wa MCC katika jimbo la Maryland nchini Marekani, akielezea maendeleo ya msikiti  katika huduma za afya ,shuke na utanuzi wa msikiti
 IMAM AKITOA MUONGOZO WA SALA YA EID ITAKAVYOSALIWA IKIFUATIWA NA GHUTBA
 KATIKATI, ALMAARUFU DULA MAKEO, NA MBALI KIDOGO UBAVUNI KWAKE NI MOHAMED LODI NA WAUMINI WENGINE WAKIFUATILIA KWA MAKINI MAELEKEZO YA SHEIKH AMBAYE HAYUPO PICHANI






























 

10 years ago

Vijimambo

HITMA YA JAMILA SIMBA SAKAPALA WHEATON, MARYLAND NCHINI MAREKANI

Hitma ya Marehemu Jamila Simba Sakapala iliyofanyika Jumamosi Januari 17, 2014 Wheaton, Maryland nchini Marekani na kuhudhuriwa na ndugu jamaa na marafiki. Marehemu Jamila alifariki ghafla siku ya Jumamosi Desemba 13, 2014 Tanzania na kuzikwa Jumatatu Desemba 15, 2014 watatu toka kushoto ni dada ya marehemu Zawadi Sakapala anayeishi Maryland nchini Marekani.Wapili toka kulia ni kaka ya marehemu Simba Sakapala akiongea na mchungaji John Mbatta (mwenya miwani) siku ya Jumamosi Januari 17, 2015...

 

10 years ago

Vijimambo

BABY SHOWER YA PRISCA CAPITOL HEIGHTS, MARYLAND NCHINI MAREKANI

Prisca na Elius wakiwa katika picha ya pamoja na watoto katika sherehe ya utarajio ya mapacha ya Prisca iliyofanyika siku ya Jumamosi Januari 31, 2015 Capitol Heights, Maryland nchini Marekani na kuhudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki.Prisca na Elius wakipokea zawadi kwenye sherehe ya utarajio ya mapacha ya Prisca iliyofanyika siku ya Jumamosi Januari 31, 2015 Capitol Heights, Maryland.Elius na Prisca wakipata chakula.Prisca akipata ukodak moment na wageni wake.Watoto wakitoa baraka kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

DJ PETER MOE ATUA NCHINI MAREKANI


Dj Peter Moe akiwa kwenye moja ya Hotel aliyafikia alipokua Washington, DC alipokua amekuja kwa kazi maalum nchini Marekani
Dj Peter Moe akipata picha ya kumbukumbu

 

10 years ago

Vijimambo

SHEREHE YA UTARAJIO WA MTOTO YA MARRISA SILVER SPRING, MARYLAND NCHINI MAREKANI.

Mama kijacho Marrisa katika picha ya pamoja na Randy ambaye ndiye baba  wa mtoto katika sherehe yao ya utarajio wa mtoto wao iliyofanyika siku ya Jumamosi Januari 31, 2015 Silver Spring, Maryland nchini Marekani na kuhudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki.Farida akimtunza Salma minoti kwenye sherehe ya utarajio wa mtoto ya Marrisa iliyofanyika siku ya Jumamosi Januari 31, 2015 Silver Spring, Maryland nchini Marekani. Marrisa amelelewa na Salma tangia alivyokua mdogo.Nargis Ameir akisherehesha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani