BABY SHOWER YA PRISCA CAPITOL HEIGHTS, MARYLAND NCHINI MAREKANI
Prisca na Elius wakiwa katika picha ya pamoja na watoto katika sherehe ya utarajio ya mapacha ya Prisca iliyofanyika siku ya Jumamosi Januari 31, 2015 Capitol Heights, Maryland nchini Marekani na kuhudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki.
Prisca na Elius wakipokea zawadi kwenye sherehe ya utarajio ya mapacha ya Prisca iliyofanyika siku ya Jumamosi Januari 31, 2015 Capitol Heights, Maryland.
Elius na Prisca wakipata chakula.
Prisca akipata ukodak moment na wageni wake.
Watoto wakitoa baraka kwa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo6TH ANNUAL JULIUS K. NYERERE COMMEMORATION YAFANYIKA CAPITOL HEIGHTS MARYLAND NCHINI MAREKANI
10 years ago
VijimamboJACQUELINE & ANDREW'S BABY SHOWER YAFANA COLLEGE PARK, MARYLAND NCHINI MAREKANI
Kushoto ni Bwn. Ngayoma katika picha ya pamoja na Jacqueline na Andrew wakati wakijiandaa kuingia ukumbini Hampton Inn kwenye tafrija ya kumkaribisha mtoto (baby shower) iliyofanyika siku ya Jumamosi Novemba 22, 2014 College Park, Maryland nchini Marekani.
Jacqueline na Andrew wakiingia ukumbini kwenye tafrija ya kumkaribisha mtoto wao wa kiume iliyofanyika Hampton Inn iliyopo College Park Maryland nchini Marekani siku ya Jumamosi Novemba 22, 2014
Jacqueline na Andrew wakiwa meza kuu
Dada tuma...
10 years ago
VijimamboHARUSI YA EMMANUEL NA HAPPY CAPITOL HEIGHTS, MARYLAND
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-WjoXFGCp9yo/VHeTMzX3taI/AAAAAAADOZ4/Uza8jx_nPYc/s72-c/cake.jpg)
Picha za baby shower ya Jacque na Andrew iliyofanyika College Park Maryland (USA) siku ya November 22, 2014.
![](http://3.bp.blogspot.com/-WjoXFGCp9yo/VHeTMzX3taI/AAAAAAADOZ4/Uza8jx_nPYc/s1600/cake.jpg)
Mapambo yalifanywa na Marbela Events and Decor katika shughuli ya baby shower ya Jacque na Andrew iliyofanyika siku ya Jumamosi iliyopita ya tarehe 22, Novemba pale College Park, Maryland (USA)
![](http://4.bp.blogspot.com/-atvAMXmgpe8/VHeTLw0YGFI/AAAAAAADOZs/OwGIdb-rrcU/s1600/2.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-cnW6w8w4Pek/VHeTL_pNABI/AAAAAAADOZo/39w5z5ILL6g/s1600/4.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-qpdP7alXU1A/VHeTMqoZWTI/AAAAAAADOaI/jVwzGrK4Hcc/s1600/JACK13%2BCollage-L.jpg)
Kwa...
10 years ago
VijimamboMJENO WA BARAZA LA WAWAKILISHI LINALOSHAHABIANA NA MJENGO WA CAPITOL HILL NCHINI MAREKANI
![](http://www.mepc.org/sites/default/files/Capitol-for-Forum-Page.jpg)
10 years ago
Michuzi03 Nov
6TH ANNUAL JULIUS KAMBARAGE NYERERE COMMEMORATION CAPITOL HEGHTS, MARYLAND
10 years ago
Dewji Blog04 Nov
6th Annual Julius Kambarage Nyerere Commemoration Capital Heights, Maryland
Wasanii Luci Marphy Mmarekani (kushoto) na Anna Mwalagho kuoka Kenya wakiimba wimbo wa Taifa.
![IMG_9036](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/11/IMG_9036.jpg)
10 years ago
VijimamboHITMA YA JAMILA SIMBA SAKAPALA WHEATON, MARYLAND NCHINI MAREKANI
10 years ago
VijimamboSALA YA EID ILIOSALIWA KATIKA JIMBO LA MARYLAND NCHINI MAREKANI