Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Picha za baby shower ya Jacque na Andrew iliyofanyika College Park Maryland (USA) siku ya November 22, 2014.



Mapambo yalifanywa na Marbela Events and Decor katika shughuli ya baby shower ya Jacque na Andrew iliyofanyika siku ya Jumamosi iliyopita ya tarehe 22, Novemba pale College Park, Maryland (USA)Jacque na Andrew wakipata u kodak moment kabla ya kuingia ukumbini kwenye baby shower yao iliyoandaliwa na wanafamilia na marafiki zao Jacque na Andrew wakilishana keki kwenye baby shower yao iliyoandaliwa na wanafamilia na marafiki zao Ukodak moment zaidi kwenye baby shower ya Jacque na Andrew 
Kwa...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

JACQUELINE & ANDREW'S BABY SHOWER YAFANA COLLEGE PARK, MARYLAND NCHINI MAREKANI


Kushoto ni Bwn. Ngayoma katika picha ya pamoja na Jacqueline na Andrew wakati wakijiandaa kuingia ukumbini Hampton Inn kwenye tafrija ya kumkaribisha  mtoto (baby shower) iliyofanyika siku ya Jumamosi Novemba 22, 2014 College Park, Maryland nchini Marekani.
Jacqueline na Andrew wakiingia ukumbini kwenye tafrija ya kumkaribisha mtoto wao wa kiume iliyofanyika Hampton Inn iliyopo College Park Maryland nchini Marekani siku ya Jumamosi Novemba 22, 2014
Jacqueline na Andrew wakiwa meza kuu
Dada tuma...

 

10 years ago

Vijimambo

BABY SHOWER YA PRISCA CAPITOL HEIGHTS, MARYLAND NCHINI MAREKANI

Prisca na Elius wakiwa katika picha ya pamoja na watoto katika sherehe ya utarajio ya mapacha ya Prisca iliyofanyika siku ya Jumamosi Januari 31, 2015 Capitol Heights, Maryland nchini Marekani na kuhudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki.Prisca na Elius wakipokea zawadi kwenye sherehe ya utarajio ya mapacha ya Prisca iliyofanyika siku ya Jumamosi Januari 31, 2015 Capitol Heights, Maryland.Elius na Prisca wakipata chakula.Prisca akipata ukodak moment na wageni wake.Watoto wakitoa baraka kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

Picha za Baby Shower ya Rahima na Jason

  Muonekano wa Baby shower ya Rahima  na Jason iliyofanyika siku ya tarehe saba, mwezi wa pili katika mji wa Clarksburg kitongoji cha Maryland nchini Marekani, iliyoaandaliwa na ndugu na marafiki zake. Rahima na JasonDada wa Rahima, Bi Maryam kutoka North Carolina akisema neno la kuwa kushukuru wageni waalikwa. Pichani ni baadhi ya washiriki wa michezo iliyo chezwa katika baby shower hiyo.
 Kwa picha zaidi mtembelee Iskajojo Studios hapa

 

10 years ago

Vijimambo

TASWIRA YA BABY SHOWER YA NURU SIKU YA JUMAMOSI MT VERNON NEW YORK.

Picha ya Nuru ambayo wapendwa wake walikuwa wanaandika maneno ya pongezi kwa mama kijacho siku ya baby shower yake.Mama kijacho Nuru jinsi alivyo pendeza akiwa amepozi kwenye kiti cha kujidai siku ya baby shower yake iliyofanya New York siku ya jumamosi, jitiririshe kwa picha na matukio ya siku hiyo kwa kuingia soma zaidi kiroho safi.

 

10 years ago

Bongo Movies

Picha ya Aunty na Kajala Kwenye ‘Baby Shower Party’ Yazua Minong’ono Mtandaoni

Picha ya mastaa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel na Kajala Masanja wakiwa wamekumbatian kwenye sherehe ya Aunt Ezekiel ‘Baby Shower Party’ikiwa nikumpa zawadi mzazi mtarajiwa iliyofanyika usiku wa jana yazua minong’ono ya hapa na pale miongoni mwa walioandika komenti kwenye picha hiyo iliwekwa mtandaoni kuhusiana na mahusiano ya sasa ya kati ya Aunt na Wema Sepetu.

Aunt Ezekiel na Wema Sepetu  nimarafiki wa karibu sana japokuwa hivi juzi kati kuliripotiwa  na vyombo mablimbali vya ukudaku kuwa...

 

9 years ago

Vijimambo

TASWIRA YA MATUKIO YALIYOTOKEA KWENYE BABY SHOWER YA AMY HUKO FITCHBURG. MA SIKU YA JUMAMOSI



Mama Kijacho na baba Kijacho wakikata keki tayari kwa kulishana.

 Baba Kijacho akimlisha keki mama Kijacho wake kwa raha zao
 Baba Kijacho akimfuta mama Kijacho wake baada ya kumlisha keki  Mama Kijacho akimlisha kipande cha keki baba Kijacho wake, Kaka wa mama Kijacho akiongea
Mama wa mama Kijacho akiongea.
Mama Kijacho akisakata rhumba na mama yake mzazi.kwa taswira zaidi ya matukio yaliyokuwa yametokea ukumbini hapo jitiririshe kwenye soma zaidi.

 

10 years ago

Vijimambo

Picha za Reception ya Daisy na Dr. Asanterabi Malima iliyofanyika wikiend iliyopita June 6th, 2015 Boston, MA (USA) - Part 1

Bwana na Bibi harusi Daisy and Dr. Asanterabi Malima wakipata ukodak moment kabla ya kuingia ukumbini kwenye sherehe ya kuwakaribisha iliyofanyika mjini Boston, Massachusetts USA.Daisy and Dr. Asanterabi wakiendelea na ukodak moment. Sherehe hiyo iliandaliwa na familia ya marehemu Professor Kighoma Malima na marafiki zao. Harusi yao ilishafanyika siku zilizopita Dar es Salaam Tanzania.Daisy ni mtoto wa Mh. Dr. Asha-Rose Migiro na Dr. Asanterabi ni mtoto wa marehemu Professor Kighoma Malima.

 

10 years ago

Vijimambo

Tiwa Savage's baby shower on a Yacht

Tiwa Savage is currently having her baby shower on billionaire Femi Otedola's yacht. Friends Annie Idibia, Lami Philips, Lola Omotayo, Wizkid's Tania, Eku Edewor, Toke Makinwa, Freda Francis, Anita Uwagbale-Iseghohi, Toju Foyeh and more are all on board the yacht to celebrate with her. More photos after the cut.














































Posted by Linda 

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani