Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105

POPULAR ON YOUTUBE

6TH ANNUAL JULIUS K. NYERERE COMMEMORATION YAFANYIKA CAPITOL HEIGHTS MARYLAND NCHINI MAREKANI

Bwana na Bibi Rick Tingling wakiwashukuru watu kwa kuja kumuenzi Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere ambayo hiyo jana siku ya Jumapili Novemba 2, 2014 ilikua ni kumbukumbu ya 6 tangia bwn. Rick Tingling alipoanzisha kumbukumbu za Mwalimu Nyerere mwaka 2009 hapa DMV. Yeye bwn. Tingling ni Mmarekani aliyemjua Mwalimu Nyerere kwa kusoma vitabu vyake na kuanza kumfuatilia na kutambua kwamba Mwalimu Julius Nyerere ni kiongozi asiyekua na mfano na ambaye huwezi kumlinganisha na kionozi yeyeyote...

Vijimambo

Read more

Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

6TH ANNUAL JULIUS KAMBARAGE NYERERE COMMEMORATION CAPITOL HEGHTS, MARYLAND

Bwana na Bibi Rick Tingling wakiwashukuru watu kwa kuja kumuenzi Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere ambayo hiyo jana siku ya Jumapili Novemba 2, 2014 ilikua ni kumbukumbu ya 6 tangia bwn. Rick Tingling alipoanzisha kumbukumbu za Mwalimu Nyerere mwaka 2009 hapa DMV. Yeye bwn. Tingling ni Mmarekani aliyemjua Mwalimu Nyerere kwa kusoma vitabu vyake na kuanza kumfuatilia na kutambua kwamba Mwalimu Julius Nyerere ni kiongozi asiyekua na mfano na ambaye huwezi kumlinganisha na kionozi yeyeyote...

10 years ago

Dewji Blog

6th Annual Julius Kambarage Nyerere Commemoration Capital Heights, Maryland

Wasanii Luci Marphy Mmarekani (kushoto) na Anna Mwalagho kuoka Kenya wakiimba wimbo wa Taifa.

IMG_9036 Bwana na Bibi Rick Tingling wakiwashukuru watu kwa kuja kumuenzi Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere ambayo hiyo jana siku ya Jumapili Novemba 2, 2014 ilikua ni kumbukumbu ya 6 tangia bwn. Rick Tingling alipoanzisha kumbukumbu za Mwalimu Nyerere mwaka 2009 hapa DMV. Yeye bwn. Tingling ni Mmarekani aliyemjua Mwalimu Nyerere kwa kusoma vitabu vyake na kuanza kumfuatilia na kutambua kwamba...

11 years ago

Michuzi

6th Annual Julius K. Nyerere Commemoration in the US

On Sunday, November 2, 2014, the Julius K. Nyerere Commemoration committee will convene its 6th Annual program commemorating the life and work of Julius Kambarage Nyerere at Gallery Serengeti, located at 7919 Central Avenue, Capitol Heights, MD 20743, 301.808.6987 from 5:00 – 7:00 pm. The exciting program will feature DC’s own singer/ songwriter Luci Murphy; dancer/singer/songwriter Anna Mwalagho from Kenya, well-known to the Tanzanian community; griot and master storyteller Baba-C; Dr. John...

11 years ago

Vijimambo

6th Annual Julius K. Nyerere Commemoration

BABY SHOWER YA PRISCA CAPITOL HEIGHTS, MARYLAND NCHINI MAREKANI

Prisca na Elius wakiwa katika picha ya pamoja na watoto katika sherehe ya utarajio ya mapacha ya Prisca iliyofanyika siku ya Jumamosi Januari 31, 2015 Capitol Heights, Maryland nchini Marekani na kuhudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki.Prisca na Elius wakipokea zawadi kwenye sherehe ya utarajio ya mapacha ya Prisca iliyofanyika siku ya Jumamosi Januari 31, 2015 Capitol Heights, Maryland.Elius na Prisca wakipata chakula.Prisca akipata ukodak moment na wageni wake.Watoto wakitoa baraka kwa...

10 years ago

Vijimambo

7TH ANNUAL JULIUS K. NYERERE COMMEMORATION

7th Annual Julius K. Nyerere Commemoration

Dear friends, Nyerere supporters, and fellow justice activists –
On Saturday, November 15, 2015, the Julius K. Nyerere Commemoration committee will convene its 7th Annual program commemorating the life and work of Julius Kambarage Nyerere (1st President of Tanzania) at Gallery Serengeti, located at 7919 Central Avenue, Capitol Heights, MD 20743 (301.808.6987) from 5:00 – 7:00 pm. We anticipate an exciting program and hope you will join us and the...

10 years ago

Vijimambo

7th Annual Julius Nyerere Commemoration is SUNDAY, November 15 at Gallery Serengeti,

7th Annual Julius K. NyerereDescription: http://www.safianzania.org/typo3temp/pics/a661d6217a.jpgCommemoration
Dear friends, Nyerere supporters, and fellow justice activists –
On Sunday, November 15, 2015, the Julius K. Nyerere Commemoration committee plans to convene its 7th Annual program commemorating the life and work of Julius Kambarage Nyerere (1st President of Tanzania) at Gallery Serengeti, located at 7919 Central Avenue, Capitol Heights, MD 20743 (301.808.6987) from 5:00 – 7:00 pm. We anticipate an exciting program and hope to feature a number of the...

10 years ago

Vijimambo

HARUSI YA EMMANUEL NA HAPPY CAPITOL HEIGHTS, MARYLAND

Mchungaji Morgan akifungisha ndoa ya Emmanuel na Happy iliyofanyika siku ya Jumamosi April 4, 2015 katika kanisa la kimataifa la Restoration Chapel lililopo Capitol Heights, Maryland nchini Marekani.Bwana Harusi (kushoto) na mpambe wake wakimsubili kaka wa bi. harusi amkabidhi mke wake mtarajiwa afunge nae ndoa.Bwana harusi akimlaki Bi harusi baada ya kukabidhiwa na kaka ya bi harusi bwn. Fimbo.Bwana na Bi harusi wakielekea kufunga ndoa. Mchungaji Morgan akiongoa ndoa ya Emmanuel na Happy...

11 years ago

Michuzi

SEMINA YA FURSA YA UWEKEZAJI "DOING BUSINESS IN TANZANIA" YAFANYIKA LANDOVER, MARYLAND NCHINI MAREKANI

Kushoto ni Dkt. Frank Forka ambaye ni mkurugenzi PGCEDC Africa Trade Office akielezea njia za kufuata kwa mwekezaji kutoka Tanzania anapokuja kutafuta au kufanya mazungumuzo na wawekezaji wa Kimarekani kwa ajili ya kuingia nao ubia kwa ajili ya kuwekeza Tanzania. Dkt. Frank Furka alisema jambo la kwanza muhimu ni kujifunza utamaduni wa wafanyabishara wa Kimarekani hasa inapokuja kwenye swala la muda, Mambo mengine ya kuzingatia ni ufafanuzi wa kina na uwazi wa fulsa unayoitafutia mwekezaji...

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani