HARUSI YA EMMANUEL NA HAPPY CAPITOL HEIGHTS, MARYLAND
Mchungaji Morgan akifungisha ndoa ya Emmanuel na Happy iliyofanyika siku ya Jumamosi April 4, 2015 katika kanisa la kimataifa la Restoration Chapel lililopo Capitol Heights, Maryland nchini Marekani.
Bwana Harusi (kushoto) na mpambe wake wakimsubili kaka wa bi. harusi amkabidhi mke wake mtarajiwa afunge nae ndoa.
Bwana harusi akimlaki Bi harusi baada ya kukabidhiwa na kaka ya bi harusi bwn. Fimbo.
Bwana na Bi harusi wakielekea kufunga ndoa.
Mchungaji Morgan akiongoa ndoa ya Emmanuel na Happy...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboBABY SHOWER YA PRISCA CAPITOL HEIGHTS, MARYLAND NCHINI MAREKANI
10 years ago
Vijimambo6TH ANNUAL JULIUS K. NYERERE COMMEMORATION YAFANYIKA CAPITOL HEIGHTS MARYLAND NCHINI MAREKANI
10 years ago
Michuzi03 Nov
6TH ANNUAL JULIUS KAMBARAGE NYERERE COMMEMORATION CAPITOL HEGHTS, MARYLAND
10 years ago
Dewji Blog04 Nov
6th Annual Julius Kambarage Nyerere Commemoration Capital Heights, Maryland
Wasanii Luci Marphy Mmarekani (kushoto) na Anna Mwalagho kuoka Kenya wakiimba wimbo wa Taifa.
![IMG_9036](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/11/IMG_9036.jpg)
10 years ago
VijimamboEMMANUEL NA HAPPY WAMEREMETA
9 years ago
MillardAyo25 Dec
Pale ambapo sherehe ya harusi inalazimika kuendelea japo bwana harusi kafariki… (+Video)
Ndugu jamaa na marafiki walijikuta wakiendelea na ratiba ya mazishi kwa mtindo wa sherehe baada ya bwana harusi kufariki… bibi harusi nae ilibidi akubaliane na ukweli kwamba ndoa yao imekatishwa na kifo cha mume mtarajiwa. Kifo cha bwana harusi John Mwangi kilitokana na ajali baada ya gari kutumbukia mtoni maeneo ya Kabarnet, Kaunti ya Baringo Kenya… […]
The post Pale ambapo sherehe ya harusi inalazimika kuendelea japo bwana harusi kafariki… (+Video) appeared first on...
5 years ago
BBCSwahili14 Feb
Bwana harusi afukuzwa kutoka kwa harusi yake.
10 years ago
BBCSwahili18 Feb
Bwana harusi aanguka kifafa kabla ya harusi
9 years ago
Mtanzania10 Nov
Bibi harusi amkimbia bwana harusi
NA UPENDO MOSHA, MOSHI
MWANAMKE aliyejulikana kwa jina la Doroth Msuya, mkazi wa Monduli mkoani Arusha, ametoweka muda mfupi kabla ya kufunga ndoa na Joseph Machange, mkazi wa Mwika, Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro.
Ndoa ya wawili hao ilitarajiwa kufungwa Jumamosi ya Novemba 7 katika Kanisa la Kinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini, Usharika wa Lole, Mwika.
Mchungaji mwenza wa usharika huo, Elikeseni Shao, alisema majira ya saa sita na nusu mchana wakati maandalizi...