HITMA YA JAMILA SIMBA SAKAPALA WHEATON, MARYLAND NCHINI MAREKANI
Hitma ya Marehemu Jamila Simba Sakapala iliyofanyika Jumamosi Januari 17, 2014 Wheaton, Maryland nchini Marekani na kuhudhuriwa na ndugu jamaa na marafiki. Marehemu Jamila alifariki ghafla siku ya Jumamosi Desemba 13, 2014 Tanzania na kuzikwa Jumatatu Desemba 15, 2014 watatu toka kushoto ni dada ya marehemu Zawadi Sakapala anayeishi Maryland nchini Marekani.
Wapili toka kulia ni kaka ya marehemu Simba Sakapala akiongea na mchungaji John Mbatta (mwenya miwani) siku ya Jumamosi Januari 17, 2015...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboSALA YA EID ILIOSALIWA KATIKA JIMBO LA MARYLAND NCHINI MAREKANI
10 years ago
VijimamboBABY SHOWER YA PRISCA CAPITOL HEIGHTS, MARYLAND NCHINI MAREKANI
10 years ago
VijimamboSHEREHE YA UTARAJIO WA MTOTO YA MARRISA SILVER SPRING, MARYLAND NCHINI MAREKANI.
10 years ago
VijimamboMISA YA KUMBUKUMBU YA COL CLEMENT XAVIER MWIHAVA BALTIMORE, MARYLAND NCHINI MAREKANI
10 years ago
MichuziEDGAR MUTTA NA WAZAZI WAKE WAFANYA MISA YA SHUKURANI,Maryland nchini Marekani
10 years ago
VijimamboSEMINA YA FULSA YA UWEKEZAJI "DOING BUSINESS IN TANZANIA" YAFANYIKA LANDOVER, MARYLAND NCHINI MAREKANI
10 years ago
Michuzi01 Nov
SEMINA YA FURSA YA UWEKEZAJI "DOING BUSINESS IN TANZANIA" YAFANYIKA LANDOVER, MARYLAND NCHINI MAREKANI
10 years ago
MichuziMISA YA KUMBUKUMBU YA COL. CLEMENT XAVIER MWIHAVA BALTIOMORE, MARYLAND NCHINI MAREKANI
10 years ago
Vijimambo6TH ANNUAL JULIUS K. NYERERE COMMEMORATION YAFANYIKA CAPITOL HEIGHTS MARYLAND NCHINI MAREKANI