SEMINA YA FULSA YA UWEKEZAJI "DOING BUSINESS IN TANZANIA" YAFANYIKA LANDOVER, MARYLAND NCHINI MAREKANI
Kushoto ni Dkt. Frank Forka ambaye ni mkurugenzi PGCEDC Africa Trade Office akielezea njia za kufuata kwa mwekezaji kutoka Tanzania anapokuja kutafuta au kufanya mazungumuzo na wawekezaji wa Kimarekani kwa ajili ya kuingia nao ubia kwa ajili ya kuwekeza Tanzania. Dkt. Frank Furka alisema jambo la kwanza muhimu ni kujifunza utamaduni wa wafanyabishara wa Kimarekani hasa inapokuja kwenye swala la muda, Mambo mengine ya kuzingatia ni ufafanuzi wa kina na uwazi wa fulsa unayoitafutia mwekezaji...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLSEMINA YA FULSA YA UWEKEZAJI "DOING BUSINESS IN TANZANIA" YAFANYIKA LANDOVER, MARYLAND NCHINI MAREKANI
10 years ago
Michuzi01 Nov
SEMINA YA FURSA YA UWEKEZAJI "DOING BUSINESS IN TANZANIA" YAFANYIKA LANDOVER, MARYLAND NCHINI MAREKANI
10 years ago
Vijimambo6TH ANNUAL JULIUS K. NYERERE COMMEMORATION YAFANYIKA CAPITOL HEIGHTS MARYLAND NCHINI MAREKANI
10 years ago
VijimamboWAWEKEZAJI WAMAREKANI WATUA TANZANIA KUTIZAMA FULSA ZA UWEKEZAJI
11 years ago
MichuziSEMINA YA UWEKEZAJI YA BENKI YA CRDB YAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM
10 years ago
VijimamboSOUTHERN AFRICA BAZAAR YAFANYIKA SILVER SPRING, MARYLAND MAREKANI
10 years ago
VijimamboHITMA YA JAMILA SIMBA SAKAPALA WHEATON, MARYLAND NCHINI MAREKANI
10 years ago
VijimamboSALA YA EID ILIOSALIWA KATIKA JIMBO LA MARYLAND NCHINI MAREKANI
10 years ago
VijimamboBABY SHOWER YA PRISCA CAPITOL HEIGHTS, MARYLAND NCHINI MAREKANI