Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SALA YA EID ILIOSALIWA KATIKA JIMBO LA MARYLAND NCHINI MAREKANI

Mmoja wa viongozi wa msikiti wa MCC katika jimbo la Maryland nchini Marekani, akielezea maendeleo ya msikiti  katika huduma za afya ,shuke na utanuzi wa msikiti
 IMAM AKITOA MUONGOZO WA SALA YA EID ITAKAVYOSALIWA IKIFUATIWA NA GHUTBA
 KATIKATI, ALMAARUFU DULA MAKEO, NA MBALI KIDOGO UBAVUNI KWAKE NI MOHAMED LODI NA WAUMINI WENGINE WAKIFUATILIA KWA MAKINI MAELEKEZO YA SHEIKH AMBAYE HAYUPO PICHANI






























Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Salaam za Eid el fitr kutoka maryland, marekani

Wadau wakitoka katisa swala ya Eid El Fitr katika msikiti wa Islamic Centre kitongojini Silver Spring, Maryland, Marekani. Wote wanawatakia Eid njema wadau wote wa Globu ya Jamii popote walipo

 

10 years ago

Vijimambo

Dk Shein ajumuika na waislamu katika Sala ya Eid el Fitr

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein(wa pili kulia) akijumuika na Viongozi na waislamu mbali mbali katika swala ya Suna ya Idd el Fitri iliyoswaliwa kitaifa leo katika viwanja vya Maisara Suleiman Mjini Unguja,Waislamu wa mitaa mbali mbali ya Mji wa Unguja wakimsikiliza Sheikh Soraga(hayupo pichani) alipotoa hutba ya swala ya Idd el Fitri leo iliyoswaliwa kitaifa katika viwanja vya Maisara Suleiman,Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la...

 

9 years ago

Vijimambo

SALA YA EID KATIKA MSIKITI WA ISLAMIC CENTER MASSACHUSSET AVENUE WASHINGTON DC

Islamic Center Mosque ni moja ya msikiti mkubwa ndani ya washington DC, nje ni baadhi ya waumini wakiwa wamemaliza sala ya eid Nje ya msikiti waumini wakisikiliza hutba ya sala ya eid ilisaliwa hapo katika msikiti wa Islamic Center, Washington DCwaumini wakiwa na sura za furaha wakipata picha za kumbukumbu baada ya sala ya eid katika maeneo ya nje ya msikiti wa Massachusset Avenue, Washington DC

 Familia hazikuwa nyuma katika kipiga picha katika siku hii adhimu, siku tukufu, baada ya mahujaji...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU ASALI SALA YA EID EL FITRI, KATIKA MSIKITI WA GADDAFI, JIJINI DODOMA.

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Viongozi wa Dini ya Kiislam, Mkoa wa Dodoma, wakati akiwasili katika Msikiti wa Gaddafi, Jijini Dodoma, kuhudhuria Sala ya Eid el Fitri, May 24, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiitikia dua, baada ya sala ya Eid el Fitri, katika Msikiti wa Gaddafi, Jijini Dodoma, May 24, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waumini wa Dini ya Kiislamu, waliyohudhuria katika ibada ya sala ya Eid el Fitri, akiitikia dua,...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MEMBE AKUTANA NA GAVANA WA JIMBO LA MARYLAND, MAREKANI

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akisalimiana na Gavana wa Jimbo la Maryland la nchini Marekani, Mhe. Martin O'Malley walipokutana jijini Washington D.C kwa mazungumzo kuhusu namna ya kuimarisha ushirikiano kati ya Jimbo hilo na Tanzania katika masuala ya uchumi, jamii na siasa. Mhe. Membe alipata fursa ya kukutana na Gavana huyo alipokuwa mjini humo kwa ajili ya kumwakilisha Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...

 

10 years ago

Vijimambo

BABY SHOWER YA PRISCA CAPITOL HEIGHTS, MARYLAND NCHINI MAREKANI

Prisca na Elius wakiwa katika picha ya pamoja na watoto katika sherehe ya utarajio ya mapacha ya Prisca iliyofanyika siku ya Jumamosi Januari 31, 2015 Capitol Heights, Maryland nchini Marekani na kuhudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki.Prisca na Elius wakipokea zawadi kwenye sherehe ya utarajio ya mapacha ya Prisca iliyofanyika siku ya Jumamosi Januari 31, 2015 Capitol Heights, Maryland.Elius na Prisca wakipata chakula.Prisca akipata ukodak moment na wageni wake.Watoto wakitoa baraka kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

HITMA YA JAMILA SIMBA SAKAPALA WHEATON, MARYLAND NCHINI MAREKANI

Hitma ya Marehemu Jamila Simba Sakapala iliyofanyika Jumamosi Januari 17, 2014 Wheaton, Maryland nchini Marekani na kuhudhuriwa na ndugu jamaa na marafiki. Marehemu Jamila alifariki ghafla siku ya Jumamosi Desemba 13, 2014 Tanzania na kuzikwa Jumatatu Desemba 15, 2014 watatu toka kushoto ni dada ya marehemu Zawadi Sakapala anayeishi Maryland nchini Marekani.Wapili toka kulia ni kaka ya marehemu Simba Sakapala akiongea na mchungaji John Mbatta (mwenya miwani) siku ya Jumamosi Januari 17, 2015...

 

10 years ago

Vijimambo

SHEREHE YA UTARAJIO WA MTOTO YA MARRISA SILVER SPRING, MARYLAND NCHINI MAREKANI.

Mama kijacho Marrisa katika picha ya pamoja na Randy ambaye ndiye baba  wa mtoto katika sherehe yao ya utarajio wa mtoto wao iliyofanyika siku ya Jumamosi Januari 31, 2015 Silver Spring, Maryland nchini Marekani na kuhudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki.Farida akimtunza Salma minoti kwenye sherehe ya utarajio wa mtoto ya Marrisa iliyofanyika siku ya Jumamosi Januari 31, 2015 Silver Spring, Maryland nchini Marekani. Marrisa amelelewa na Salma tangia alivyokua mdogo.Nargis Ameir akisherehesha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani