Dk Shein ajumuika na waislamu katika Sala ya Eid el Fitr
![](http://1.bp.blogspot.com/-zFe1_HRsLCo/VaoxH3jBWHI/AAAAAAAB10o/iAvUT2eTFto/s72-c/DSC_1407.jpg)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein(wa pili kulia) akijumuika na Viongozi na waislamu mbali mbali katika swala ya Suna ya Idd el Fitri iliyoswaliwa kitaifa leo katika viwanja vya Maisara Suleiman Mjini Unguja,
Waislamu wa mitaa mbali mbali ya Mji wa Unguja wakimsikiliza Sheikh Soraga(hayupo pichani) alipotoa hutba ya swala ya Idd el Fitri leo iliyoswaliwa kitaifa katika viwanja vya Maisara Suleiman,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi18 Jul
Waislamu washerehekea Sikukuu ya Eid el Fitr leo
5 years ago
CCM BlogRAIS WA ZANZIBAR AL HAJJ DK. ALI MOHAMED SHEIN ATOWA SALAMU ZA EID EL FITR
10 years ago
VijimamboSALA YA EID ILIOSALIWA KATIKA JIMBO LA MARYLAND NCHINI MAREKANI
9 years ago
VijimamboSALA YA EID KATIKA MSIKITI WA ISLAMIC CENTER MASSACHUSSET AVENUE WASHINGTON DC
Familia hazikuwa nyuma katika kipiga picha katika siku hii adhimu, siku tukufu, baada ya mahujaji...
5 years ago
MichuziWAZIRI MKUU ASALI SALA YA EID EL FITRI, KATIKA MSIKITI WA GADDAFI, JIJINI DODOMA.
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-ERkWyqk3HPk/VapVhU56ddI/AAAAAAADybE/F3BeNELG2C0/s72-c/001.jpg)
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AJUMUIKA NA WAUMINI WA DINI YA KIISLAMU KATIKA SWALA YA EID EL FITRI KITAIFA MKOANI GEITA.
![](http://4.bp.blogspot.com/-ERkWyqk3HPk/VapVhU56ddI/AAAAAAADybE/F3BeNELG2C0/s640/001.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-0QcYaM2MJYA/VapViwsgZWI/AAAAAAADybg/5HNvxxclVao/s640/008.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-661Fcz_4ByQ/VarAURS-yuI/AAAAAAAHqYA/3UDQf735u8c/s72-c/001.jpg)
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AJUMUIKA NA WAUMINI WA DINI YA KIISLAMU KATIKA SWALA YA EID EL FITRI KITAIFA MKOANI GEITA
![](http://3.bp.blogspot.com/-661Fcz_4ByQ/VarAURS-yuI/AAAAAAAHqYA/3UDQf735u8c/s640/001.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-q2u3VZ8MWZk/VarAZln07LI/AAAAAAAHqYc/rHDIa-ej-k0/s640/008.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-vxnDM9FqwMs/U9T9J-BjgcI/AAAAAAAF7Co/5G4t1iAhnCM/s72-c/Police1.jpg)
JESHI LA POLISI MKOANI PWANI KUHIMARISHA ULINZI KATIKA SIKUKUU YA EID EL FITR
![](http://4.bp.blogspot.com/-vxnDM9FqwMs/U9T9J-BjgcI/AAAAAAAF7Co/5G4t1iAhnCM/s1600/Police1.jpg)
JESHI la Polisi mkoani Pwani limewataka madereva kuwa makini waendeshapo magari na kuacha matumizi ya vilevi ili kuepukana na ajali zisizo za lazima ambazo zinaweza zikajitokeza wakati wa kipindi cha sikukuu ya Eid el Fitr.
Pia limewataka wanafamilia kutotoka wote majumbani bila ya kuacha watu au kutoa taarifa kwa majirani ili kuepuka wizi na uhalifu unaoweza kujitokeza wakati wa sikukuu.
Kwa mujibu wa kamanda wa polisi mkoani humo Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi...
11 years ago
Michuzi30 Jul