Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waislamu washerehekea Sikukuu ya Eid el Fitr leo

>Waislamu  nchini leo wanajumuika na wenzao duniani kusherehekea Sikukuu ya Eid el Fitr baada ya jana kumaliza mfungo wa mwezi  mtukufu wa Ramadhani.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Waislamu washerehekea sikukuu ya Eid

Waumini wa dini ya Kiislamu wameadhimisha siku ya Eid al-Adha kwa kuungana na jamaa ndugu na marafiki katika ibada.

 

10 years ago

Michuzi

Wakazi wa Dar wakiisherehea sikukuu ya Eid El Fitr kwenye ufukwe wa Coco Beach jioni ya leo

 Sehemu ya wakazi wa maeneo mbali mbali ya jiji la Dar es salaam wakiwa kwenye ufukwe wa Coco Beach jioni ya leo, ikiwa ni sehemu ya kuisherehekea sikumbuki ya Eid El Fitr.  Wengi hupenda kwenda sehemu ya namna hii kwa ajili ya kupunga upepo mwanana wa Bahari. 

 

11 years ago

GPL

WAISLAM WASHEREHEKEA EID EL-FITR KITAIFA DAR ES SALAAM

    Shehe Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum,  akiwahutubia waumini.
    Makamu wa Rais Gharib Bilali, akizungumza katika hafla hiyo.
   Naibu Kadhi Mkuu Sheikh Ally Muhidin Mkoyogole akiwa katika dua baada ya kufungua swala.…

 

10 years ago

Vijimambo

Dk Shein ajumuika na waislamu katika Sala ya Eid el Fitr

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein(wa pili kulia) akijumuika na Viongozi na waislamu mbali mbali katika swala ya Suna ya Idd el Fitri iliyoswaliwa kitaifa leo katika viwanja vya Maisara Suleiman Mjini Unguja,Waislamu wa mitaa mbali mbali ya Mji wa Unguja wakimsikiliza Sheikh Soraga(hayupo pichani) alipotoa hutba ya swala ya Idd el Fitri leo iliyoswaliwa kitaifa katika viwanja vya Maisara Suleiman,Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la...

 

11 years ago

Michuzi

TAARIFA YA JESHI LA POLISI KUELEKEA SIKUKUU YA EID-EL-FITR

Jeshi la Polisi Tanzania linapenda kutoa shukrani za dhati kwa wananchi wote, vyama vya siasa, taasisi mbalimbali za serikali, madhehebu ya dini, asasi za kiraia na vyombo vya habari kwa ushirikiano wa dhati katika kusimamia masuala ya amani na usalama hapa nchini.
Tunapoelekea kipindi hiki cha kusherehekea sikukuu ya Eid-El-Fitr, Jeshi la Polisi linatoa wito kwa wananchi wote kuwa makini na kusheherekea sikukuu hiyo kwa amani na utulivu pasipo vitendo ama viashiria vyovyote vya uvunjifu wa...

 

11 years ago

Michuzi

UJUMBE WA SIKUKUU YA EID-EL-FITR KUTOKA JESHI LA POLISI

Jeshi la Polisi Tanzania linapenda kutoa shukrani za dhati kwa wananchi wote, vyama vya siasa, taasisi mbalimbali za serikali, madhehebu ya dini, asasi za kiraia na vyombo vya habari kwa ushirikiano wa dhati katika kusimamia masuala ya amani na usalama hapa nchini. 
Tunapoelekea kipindi hiki cha kusherehekea sikukuu ya Eid-El-Fitr, Jeshi la Polisi linatoa wito kwa wananchi wote kuwa makini na kusheherekea sikukuu hiyo kwa amani na utulivu pasipo vitendo ama viashiria vyovyote vya uvunjifu wa...

 

10 years ago

Vijimambo

WATANZANIA TOKYO JAPAN WASHEREHEKEA SIKUKUU YA EID

 Watanzania na marafiki zao wakijumuika pamoja katika kusherehekea sikukuu ya Eid iliyofanyika siku ya Jumamosi July 18, 2015 Watanzania na marafiki zao wakijumuika pamoja katika kusherehekea sikukuu ya Eid. Picha na Mariam, Mwakilishi wa Vijimambo Japan. Mariam kulia akipata ukodak moment na mwenzie.Watanzania wa Japan wakijumuika pamoja kwenye sherehe ya Eid MosiKwa picha zaidi bofya soma zaidi

 

11 years ago

Michuzi

IPTL, Al-Madinah washerehekea sikukuu ya Eid na mayatima 500


Meneja rasilimali watu wa kampuni ya kufua umeme ya IPTL Bw. Aidan Kaune (mwenye suti ya kijivu) akijumuika pamoja na baadhi ya watoto 500 mayatima kusherehekea sikukuu ya Eid wakati wa karamu ya chakula iliyoandaliwa na taasisi ya Al-Madina na kufadhiliwa na IPTL. Kulia ni meneja maswala ya kampuni ya IPTL (Company Affairs Manager) Bw. Kulwinder Singh Jheeta na wa tatu kulia ni Mkurugenzi wa taasisi ya Al-Madinah Sheikh Ally Mubarak.  Meneja rasilimali watu wa kampuni ya kufua umeme ya IPTL...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani