Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wakazi wa Dar wakiisherehea sikukuu ya Eid El Fitr kwenye ufukwe wa Coco Beach jioni ya leo

 Sehemu ya wakazi wa maeneo mbali mbali ya jiji la Dar es salaam wakiwa kwenye ufukwe wa Coco Beach jioni ya leo, ikiwa ni sehemu ya kuisherehekea sikumbuki ya Eid El Fitr.  Wengi hupenda kwenda sehemu ya namna hii kwa ajili ya kupunga upepo mwanana wa Bahari. 

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WAKAZI WA DAR WALIVYOSHEREHEKEA SIKUKUU, COCO BEACH

Baadhi ya wakazi wa Jiji la Dar wakiwa katika ufukwe wa Coco Beach. Taswira ya ufukweni.
Ufukwe wa…

 

10 years ago

GPL

UFUKWE WA COCO BEACH DAR WAFURIKA WATU BURUDANI ZA X-MAS

Mwanamuziki Linex akikamua na kushangiliwa na mashabiki wake. Umati wa watu ulifurika katika viwanja hivyo vya Coco Beach.…

 

11 years ago

Michuzi

CHEGE,YP WALIVYOPAGAWISHA WAKAZI WA JIJI LA DAR WALIOFURIKA KWA WINGI KWENYE FUKWE YA COCO BEACH

Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya wa kundi la TMK Family Chege akiwapagawisha wakazi wa jiji la Dar es Salaam kwenye Tamasha la Cheka Bombastik lililoandaliwa na Vodacom Tanzania mahususi kwa ajili ya wateja wake katika msimu huu wa sikukuu ya pasaka na kufanyika kwa siku mbili mfululizo katika fukwe za bahari ya hindi coco beach. Msanii chipukizi wa muziki wa kizazi kipya Msomi John a.k.a War killer akiwapagawisha wakazi wa jiji la Dar es Salaam katika Tamasha la Cheka Bombastik...

 

10 years ago

Mwananchi

Waislamu washerehekea Sikukuu ya Eid el Fitr leo

>Waislamu  nchini leo wanajumuika na wenzao duniani kusherehekea Sikukuu ya Eid el Fitr baada ya jana kumaliza mfungo wa mwezi  mtukufu wa Ramadhani.

 

11 years ago

Michuzi

Swala ya Eid El Fitr kitaifa yaswaliwa kwenye viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar leo

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohamed Gharib Bilal (katikati),Sheikh Mkuu,Issa Shaaban Simba,Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Mh. Said Meck Sadick na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Sheikh Mussa Salum wakijumuika na Waumini wengine wa Dini ya Kiislam kwenye Swala ya Eid El Fitr iliyofanyika Kitaifa kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja,Jijini Dar es Salaam leo.Picha zote na Othman Michuzi.


Sehemu ya Waumini wa Dini ya Kiislam wakiwa kwenye Ibada ya Eid el Fitr katika...

 

11 years ago

Michuzi

UJUMBE WA SIKUKUU YA EID-EL-FITR KUTOKA JESHI LA POLISI

Jeshi la Polisi Tanzania linapenda kutoa shukrani za dhati kwa wananchi wote, vyama vya siasa, taasisi mbalimbali za serikali, madhehebu ya dini, asasi za kiraia na vyombo vya habari kwa ushirikiano wa dhati katika kusimamia masuala ya amani na usalama hapa nchini. 
Tunapoelekea kipindi hiki cha kusherehekea sikukuu ya Eid-El-Fitr, Jeshi la Polisi linatoa wito kwa wananchi wote kuwa makini na kusheherekea sikukuu hiyo kwa amani na utulivu pasipo vitendo ama viashiria vyovyote vya uvunjifu wa...

 

11 years ago

Michuzi

TAARIFA YA JESHI LA POLISI KUELEKEA SIKUKUU YA EID-EL-FITR

Jeshi la Polisi Tanzania linapenda kutoa shukrani za dhati kwa wananchi wote, vyama vya siasa, taasisi mbalimbali za serikali, madhehebu ya dini, asasi za kiraia na vyombo vya habari kwa ushirikiano wa dhati katika kusimamia masuala ya amani na usalama hapa nchini.
Tunapoelekea kipindi hiki cha kusherehekea sikukuu ya Eid-El-Fitr, Jeshi la Polisi linatoa wito kwa wananchi wote kuwa makini na kusheherekea sikukuu hiyo kwa amani na utulivu pasipo vitendo ama viashiria vyovyote vya uvunjifu wa...

 

11 years ago

GPL

WATOTO WAJIACHIA UFUKWE WA COCO JIJINI DAR

Wanafunzi wa shule moja ya Nursery jijini Dar wakijiachia kwenye Ufukwe wa Coco kama walivyonaswa na kamera yetu. Taswira za ufukwe wa Coco.
(PICHA NA…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani