Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WATANZANIA TOKYO JAPAN WASHEREHEKEA SIKUKUU YA EID

 Watanzania na marafiki zao wakijumuika pamoja katika kusherehekea sikukuu ya Eid iliyofanyika siku ya Jumamosi July 18, 2015 Watanzania na marafiki zao wakijumuika pamoja katika kusherehekea sikukuu ya Eid. Picha na Mariam, Mwakilishi wa Vijimambo Japan. Mariam kulia akipata ukodak moment na mwenzie.Watanzania wa Japan wakijumuika pamoja kwenye sherehe ya Eid MosiKwa picha zaidi bofya soma zaidi

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Waislamu washerehekea sikukuu ya Eid

Waumini wa dini ya Kiislamu wameadhimisha siku ya Eid al-Adha kwa kuungana na jamaa ndugu na marafiki katika ibada.

 

10 years ago

Mwananchi

Waislamu washerehekea Sikukuu ya Eid el Fitr leo

>Waislamu  nchini leo wanajumuika na wenzao duniani kusherehekea Sikukuu ya Eid el Fitr baada ya jana kumaliza mfungo wa mwezi  mtukufu wa Ramadhani.

 

11 years ago

Michuzi

IPTL, Al-Madinah washerehekea sikukuu ya Eid na mayatima 500


Meneja rasilimali watu wa kampuni ya kufua umeme ya IPTL Bw. Aidan Kaune (mwenye suti ya kijivu) akijumuika pamoja na baadhi ya watoto 500 mayatima kusherehekea sikukuu ya Eid wakati wa karamu ya chakula iliyoandaliwa na taasisi ya Al-Madina na kufadhiliwa na IPTL. Kulia ni meneja maswala ya kampuni ya IPTL (Company Affairs Manager) Bw. Kulwinder Singh Jheeta na wa tatu kulia ni Mkurugenzi wa taasisi ya Al-Madinah Sheikh Ally Mubarak.  Meneja rasilimali watu wa kampuni ya kufua umeme ya IPTL...

 

10 years ago

Vijimambo

WATANZANIA NCHINI JAPAN WASHEREHEKEA MUUNGANO NA KUMUAGA BALOZI SALOME SIJAONA

kushoto ni Mariam akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Japan Mhe Salome Sijaona kwenye sherehe ya Muungano na kumuaga Balozi huyo iliyofanyika siku ya Jumamosi April 25, 2015 katika Ubalozi wa Tanzania nchini Japani uliopo  Setagaya, Tokyo nchini humo.Kushoto ni Zawadi Mwimbage  na Moza  wakiwa katika picha ya pamoja na Mhe. Salome Sijaona Balozi wa Tanzania nchini Japan anayemaliza muda wake.Fidea Kobayashi akiwa katika picha na Mhe. Balozi Salome Sijaona.Mhe. Balozi...

 

5 years ago

The Guardian

'Massively let down': disappointment in Japan after Tokyo Olympics postponed

'Massively let down': disappointment in Japan after Tokyo Olympics postponed  The GuardianTokyo 2020: 'The right decision, made just in time'  BBC NewsThe Tokyo 2020 Olympics have been postponed to 2021  CNNAbe, Trump to hold phone meeting on Japan’s Olympics – report  RTTokyo Games moved to 2021 as 'light at end of pandemic tunnel'  ReutersView Full coverage on Google News

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AENDELEA NA ZIARA YAKE TOKYO JAPAN

Waziri mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi zawadi ya vyakula vya Kitanzania vilivyosindikwa kitalaamu, Afisa Mtendaji Mkuu na mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni ya Sumitomo ya Japan,Bw.Michihiko Kanegae baada ya mazungumzo yao kwenye hoteli ya New Otani, Tokyo, Machi 16, 2015. Kampuni hiyo inatarajiwa kuanza ujenzi wa mtambo wa kufua umeme kwa kutumia gesi katika eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam hivi karibuni. Kushoto ni Meneja Mkuu wa Masuala ya Miundombinu ya Umeme wa kampuni...

 

10 years ago

Vijimambo

IBADA YA KUMWOMBEA MAREHEMU SABINA ITAMBIKO TOKYO NCHINI JAPAN

Mmoja ya ndugu ya marehemu akitoa neno la shukurani kwa niaba ya wanafamilia kwenye ibada ya kimwombea marehemu Sabina Itambiko aliyekua akiishi nchini Japan na kupata mauti nchini Tanzania July 17, 2015. Watanzania nchini Japan wakijumuika pamoja katika ibada ya kumwombea marehemu Sabina Itambiko aliyekua akiishi nchini Japan na kupata mauti nchini Tanzania July 17, 2015.Picha zote na Mariam, mwakilishi wa Vijimabo Japan Kwa picha zaidi bofya soma zaidi

 

5 years ago

Al Jazeera English

Tokyo 2020 postponed as Japan's Abe bows to pressure over virus

Tokyo 2020 postponed as Japan's Abe bows to pressure over virus  Al Jazeera EnglishJapan, IOC agree to postpone 2020 Olympics  The Citizen DailyThe Tokyo 2020 Olympics have been postponed to 2021  CNNAbe, Trump to hold phone meeting on Japan’s Olympics – report  RTTokyo Games moved to 2021 as 'light at end of pandemic tunnel'  ReutersView Full coverage on Google News

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani