Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WATANZANIA NCHINI JAPAN WASHEREHEKEA MUUNGANO NA KUMUAGA BALOZI SALOME SIJAONA

kushoto ni Mariam akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Japan Mhe Salome Sijaona kwenye sherehe ya Muungano na kumuaga Balozi huyo iliyofanyika siku ya Jumamosi April 25, 2015 katika Ubalozi wa Tanzania nchini Japani uliopo  Setagaya, Tokyo nchini humo.Kushoto ni Zawadi Mwimbage  na Moza  wakiwa katika picha ya pamoja na Mhe. Salome Sijaona Balozi wa Tanzania nchini Japan anayemaliza muda wake.Fidea Kobayashi akiwa katika picha na Mhe. Balozi Salome Sijaona.Mhe. Balozi...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

WATANZANIA TOKYO JAPAN WASHEREHEKEA SIKUKUU YA EID

 Watanzania na marafiki zao wakijumuika pamoja katika kusherehekea sikukuu ya Eid iliyofanyika siku ya Jumamosi July 18, 2015 Watanzania na marafiki zao wakijumuika pamoja katika kusherehekea sikukuu ya Eid. Picha na Mariam, Mwakilishi wa Vijimambo Japan. Mariam kulia akipata ukodak moment na mwenzie.Watanzania wa Japan wakijumuika pamoja kwenye sherehe ya Eid MosiKwa picha zaidi bofya soma zaidi

 

10 years ago

Vijimambo

BALOZI SEIF AKUTANA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI JAPAN NA BALOZI MALAWI NCHINI TANZANIA, PIA AZUNGUMZA NA GAVANA MKUU WA JIMBO LA SIUSTAN NA BALACHESTAN

Balozi Mpya wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Japan Balozi Batilda Buriani akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alipofika kuaga rasmi baada ya kuteuliwa kushika wadhifa huo na Rais wa Jakaya Mrisho Kikwete.Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akimkaribisha Balozi Mpya wa Malawi Nchini Tanzania Bibi Hawa Ndolowe aliyefika Ofisini kwake kujitambulisha rasmi.
Balozi Seif akisalimiana na Gavana Mkuu wa Jimbo la Siustan na Balachestan...

 

5 years ago

Michuzi

PROF. KABUDI AKUTANA, KUMUAGA BALOZI WA IRELAND NCHINI TANZANIA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi akimkabidhi zawadi ya picha ya mlima Kilimanjaro Balozi wa Ireland nchini, Mhe. Paul Sherlock katika Ofisi ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam
Balozi wa Ireland nchini, Mhe. Paul Sherlock akimuonesha moja ya picha katika kitabu alichompatia Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi kama zawadi
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,...

 

10 years ago

Michuzi

MH. LOWASSA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA JAPAN NCHINI

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akisalimiana na Balozi wa Japan nchini Tanzania,Mh. Masaki Okada wakati alipo mtembelea ofisini kwake Jijini Dar es Salaam na kufanya nae mazungumzo. Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Japan nchini Tanzania,Mh. Masaki Okada ofisini kwake,Mwenge jijini Dar es Salaam. Balozi wa Japan nchini Tanzania,Mh. Masaki Okada akifafanua jambo wakati wa Mazungumzo na...

 

10 years ago

Vijimambo

WATANZANIA JAPAN WAKUTANA NA BALOZI BURIANI BAADA YA KUWAKILISHA HATI YA UTAMBULISHO KWA MFALME AKIHITO

 Balozi mpya wa Tanzania nchini Japan Mhe. Batilda Salha Buriani akiongea na Watanzania waishio nchini humo mara tu baada ya kutoka kuwasilisha hati ua utambulisho kwa mfalme Akihito wa Japan. Picha na Mariam mwakilishi wa Vijimambo Japan. Balozi mpya wa Tanzania nchini Japan Mhe. Batilda Salha Buriani akigonganisha glasi na mmoja wa Watanzania waishio Japan siku alipowakaribisha nyumbani  mara tu baada ya kutoka kuwasilisha hati ua utambulisho kwa mfalme Akihito wa Japan. Maafisa,...

 

9 years ago

Michuzi

Watanzania walionufaika na Ufadhili wa Masomo nchini Japan waagwa

 Balozi wa Japani nchini Tanzania Bw. Masaharu Yoshida akizungumza wakati wa hafla fupi ya kuwaaga Watanzania walionufaika na ufadhili wa masomo wa mpango wa ABE Initiative  wakati wa hafla fupi ya kuwaaga  iliyofanyika nyumbani kwake mapema janaKaimu Katibu Mkuu Utumishi Bw. HAB Mkwizu (wa sita kutoka kulia) na Balozi wa Japan nchini Bw. Masaharu Yoshida (wa tano kutoka kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na watanzania wakionufaika na ufadhili wa mpango wa ABE Intiative baada ya hafla fupi...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU KUTANA NA WATANZANIA WAISHIO NCHINI JAPAN

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Bibi wa Kijapan, Midori Uno,machi 17, 2015 kwenye hoteli ya New Otani jijini New York , ambaye aliishi Tanzania miaka ya 60 baada ya Uhuru wa Tanganyika akifanya kazi kwa kujitolea. Hisasa Bibi Uno ni bingwa wa lugha ya kiswahili na amekwishaandika Kamusi ya Kijapan na Kiswahili pamoja na vitabu kadhaa.Waziri mkuu, Mizengo Pinda na mkewe wakitia saini kitabu cha wageni kwenye ubalozi wa Tanzania uliopo Tokyo nchini Japan baada ya kuwasili ubalozini...

 

10 years ago

Michuzi

Mh. Lowassa amkaribisha Monduli Balozi wa Japan nchini Tanzania

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akimkaribisha wilayani Monduli Balozi wa Japan nchini Tanzania,Mh. Masaki Okada wakati alipowasili wilayani humo jana Jumapili Septemba 28,2014 kwa ajili ya kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo inayofadhiliwa na nchi hiyo.Balozi huyo aliahidi kusaidia vifaa vya kisasa katika hospitali mpya ya kisasa inayojengwa wilayani humo.Meneja wa Hoteli ya Emanyata mjini Monduli,Bi. Neema (kushoto) akimkaribisha Balozi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani