Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watanzania walionufaika na Ufadhili wa Masomo nchini Japan waagwa

 Balozi wa Japani nchini Tanzania Bw. Masaharu Yoshida akizungumza wakati wa hafla fupi ya kuwaaga Watanzania walionufaika na ufadhili wa masomo wa mpango wa ABE Initiative  wakati wa hafla fupi ya kuwaaga  iliyofanyika nyumbani kwake mapema janaKaimu Katibu Mkuu Utumishi Bw. HAB Mkwizu (wa sita kutoka kulia) na Balozi wa Japan nchini Bw. Masaharu Yoshida (wa tano kutoka kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na watanzania wakionufaika na ufadhili wa mpango wa ABE Intiative baada ya hafla fupi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Waliopata Ufadhili wa masomo China waagwa

Serikali ya China kupitia Wizara ya Nishati na Madini imetoa ufadhili wa nafasi kumi (10) za masomo kwa watanzania katika ngazi ya shahada ya uzamili na uzamivu katika fani ya mafuta na gesi.
Katika shahada ya uzamili wamechaguliwa watanzania 9 kati ya 46 walioomba ufadhili ambapo katika shahada ya uzamivu amechaguliwa mtanzania mmoja kati ya wanne waliowasilisha maombi.
Msaada huu wa masomo umetolewa na Serikali ya China kwa Tanzania kufuatia juhudi za Wizara ya Nishati na Madini...

 

10 years ago

Michuzi

10 years ago

GPL

WIZARA YA NISHATI NA MADINI YATANGAZA UFADHILI WA MASOMO NCHINI CHINA KWA MWAKA 2015

Msemaji wa Wizara ya Nishati na Madini, Badra Masoud akizungumza na wanahabari.   Msemaji wa Wizara ya Nishati na Madini, Badra Masoud akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu ufadhili wa masomo nchini China kwa mwaka 2015. Kulia ni Ofisa Habari wa Maelezo, Fatma Salum.…

 

10 years ago

Michuzi

Katibu Mkuu Kiongozi Ombeni Sefue awaaga Wanafunzi wa Tanzania waliopata Ufadhili wa masomo nchini Uholanzi

Katibu Mkuu Kiongozi Ombeni Sefue akitoa nasaha zake kwa wanafunzi (watanzania) waliopata udhamini kamili wa masomo nchini Uholanzi wakati wa hafla ya kuwaaga wanafunzi hao iliyofanyika 21 Agosti, 2014 nyumbani kwa Balozi eneo la Oysterbay Jijini Dar es Salaam.Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania, Mhe. Jaap Frederiks akitoa hotuba yake kwa wanafunzi (watanzania) waliopata udhamini kamili wa masomo nchini Uholanzi wakati wa hafla ya kuwaaga wanafunzi hao iliyofanyika 21 Agosti, 2014...

 

9 years ago

Vijimambo

SIMBACHAWENE AKABIDHI NYARAKA ZA UFADHILI KWA WATANZANIA 22 KUSOMA MAFUTA, GESI NCHINI CHINA

Waziri wa Nishati na Madini. George Simbachawene, akisisitiza jambo kwa wanafunzi kabla ya kuwakabidhi Nyaraka za Ufadhili kwa ajili ya masomo yao nchini China. Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene, (Kulia) akizungumza na  waandishi wa habari, baadhi ya Watumishi wa Wizara na wanafunzi  waliopata ufadhili wa  masomo katika ngazi za  Shahada za Uzamivu (Phd) na  Uzamili (Masters), katika masuala ya mafuta na gesi nchini China.
 Baadhi ya wanafunzi 22 waliopata nafasi za masomo ya...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU KUTANA NA WATANZANIA WAISHIO NCHINI JAPAN

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Bibi wa Kijapan, Midori Uno,machi 17, 2015 kwenye hoteli ya New Otani jijini New York , ambaye aliishi Tanzania miaka ya 60 baada ya Uhuru wa Tanganyika akifanya kazi kwa kujitolea. Hisasa Bibi Uno ni bingwa wa lugha ya kiswahili na amekwishaandika Kamusi ya Kijapan na Kiswahili pamoja na vitabu kadhaa.Waziri mkuu, Mizengo Pinda na mkewe wakitia saini kitabu cha wageni kwenye ubalozi wa Tanzania uliopo Tokyo nchini Japan baada ya kuwasili ubalozini...

 

10 years ago

Vijimambo

WATANZANIA NCHINI JAPAN WASHEREHEKEA MUUNGANO NA KUMUAGA BALOZI SALOME SIJAONA

kushoto ni Mariam akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Japan Mhe Salome Sijaona kwenye sherehe ya Muungano na kumuaga Balozi huyo iliyofanyika siku ya Jumamosi April 25, 2015 katika Ubalozi wa Tanzania nchini Japani uliopo  Setagaya, Tokyo nchini humo.Kushoto ni Zawadi Mwimbage  na Moza  wakiwa katika picha ya pamoja na Mhe. Salome Sijaona Balozi wa Tanzania nchini Japan anayemaliza muda wake.Fidea Kobayashi akiwa katika picha na Mhe. Balozi Salome Sijaona.Mhe. Balozi...

 

10 years ago

Michuzi

HUC YATANGAZA UFADHILI WA MASOMO YA UFUNDI VETA, VIJANA CHANGAMKIENI

Na Nathan Mpangala wa HUC.
Shirika lisilo la kiserikali la Help for Underserved Communities Inc. (HUC), linatangaza nafasi za ufadhili wa masomo ya ufundi VETA kwa vijana wa Kitanzania. Kozi hizo ni ufundi wa magari, umeme wa magari, udereva magari/pikipiki, ufundi cherehani, hair dressing (urembo), mapambo ya ukumbi na nyinginezo.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na shirika hilo, inasema, HUC, itafadhili wanafunzi 15 wa kozi mbalimbali za awali VETA kwa mwaka 2014-2015.
Walengwa ni vijana wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani