HUC YATANGAZA UFADHILI WA MASOMO YA UFUNDI VETA, VIJANA CHANGAMKIENI
![](http://2.bp.blogspot.com/-Ru_WFK4iNs4/VAbPWv_2KWI/AAAAAAAGcaw/Mol8z2tLD3A/s72-c/scholarships%2B2014%2Bcopy%2B2.jpg)
Na Nathan Mpangala wa HUC.
Shirika lisilo la kiserikali la Help for Underserved Communities Inc. (HUC), linatangaza nafasi za ufadhili wa masomo ya ufundi VETA kwa vijana wa Kitanzania. Kozi hizo ni ufundi wa magari, umeme wa magari, udereva magari/pikipiki, ufundi cherehani, hair dressing (urembo), mapambo ya ukumbi na nyinginezo.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na shirika hilo, inasema, HUC, itafadhili wanafunzi 15 wa kozi mbalimbali za awali VETA kwa mwaka 2014-2015.
Walengwa ni vijana wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziVIJANA WALIOFADHILIWA MASOMO YA UFUNDI VETA NA HELP FOR UNDERSERVED COMMUNITIES INC. (HUC) WAHITIMU
10 years ago
GPLWIZARA YA NISHATI NA MADINI YATANGAZA UFADHILI WA MASOMO NCHINI CHINA KWA MWAKA 2015
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-VQy10GLV04Y/U-o-jRsrSaI/AAAAAAAF-_Y/W-WrBb9pOLE/s72-c/unnamed%2B(90).jpg)
Waliopata Ufadhili wa masomo China waagwa
Katika shahada ya uzamili wamechaguliwa watanzania 9 kati ya 46 walioomba ufadhili ambapo katika shahada ya uzamivu amechaguliwa mtanzania mmoja kati ya wanne waliowasilisha maombi.
Msaada huu wa masomo umetolewa na Serikali ya China kwa Tanzania kufuatia juhudi za Wizara ya Nishati na Madini...
10 years ago
Michuzi20 Mar
9 years ago
MichuziWatanzania walionufaika na Ufadhili wa Masomo nchini Japan waagwa
9 years ago
Habarileo13 Sep
CRB, Veta waingia ubia kufunza ufundi sadifu
BODI ya Usajili wa Wakandarasi (CRB) imeingia ubia na Mamlaka ya Elimu ya Ufundi Stadi (VETA) kwa ajili ya kutoa mafunzo ya ufundi sadifu kwa sekta ya ujenzi.
11 years ago
Mwananchi04 Jan
SAIKOLOJIA & UTAFITI: Namna ya kupata ufadhili wa masomo au miradi
11 years ago
Michuzi04 Mar