Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waliopata Ufadhili wa masomo China waagwa

Serikali ya China kupitia Wizara ya Nishati na Madini imetoa ufadhili wa nafasi kumi (10) za masomo kwa watanzania katika ngazi ya shahada ya uzamili na uzamivu katika fani ya mafuta na gesi.
Katika shahada ya uzamili wamechaguliwa watanzania 9 kati ya 46 walioomba ufadhili ambapo katika shahada ya uzamivu amechaguliwa mtanzania mmoja kati ya wanne waliowasilisha maombi.
Msaada huu wa masomo umetolewa na Serikali ya China kwa Tanzania kufuatia juhudi za Wizara ya Nishati na Madini...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Watanzania walionufaika na Ufadhili wa Masomo nchini Japan waagwa

 Balozi wa Japani nchini Tanzania Bw. Masaharu Yoshida akizungumza wakati wa hafla fupi ya kuwaaga Watanzania walionufaika na ufadhili wa masomo wa mpango wa ABE Initiative  wakati wa hafla fupi ya kuwaaga  iliyofanyika nyumbani kwake mapema janaKaimu Katibu Mkuu Utumishi Bw. HAB Mkwizu (wa sita kutoka kulia) na Balozi wa Japan nchini Bw. Masaharu Yoshida (wa tano kutoka kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na watanzania wakionufaika na ufadhili wa mpango wa ABE Intiative baada ya hafla fupi...

 

10 years ago

Michuzi

Katibu Mkuu Kiongozi Ombeni Sefue awaaga Wanafunzi wa Tanzania waliopata Ufadhili wa masomo nchini Uholanzi

Katibu Mkuu Kiongozi Ombeni Sefue akitoa nasaha zake kwa wanafunzi (watanzania) waliopata udhamini kamili wa masomo nchini Uholanzi wakati wa hafla ya kuwaaga wanafunzi hao iliyofanyika 21 Agosti, 2014 nyumbani kwa Balozi eneo la Oysterbay Jijini Dar es Salaam.Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania, Mhe. Jaap Frederiks akitoa hotuba yake kwa wanafunzi (watanzania) waliopata udhamini kamili wa masomo nchini Uholanzi wakati wa hafla ya kuwaaga wanafunzi hao iliyofanyika 21 Agosti, 2014...

 

10 years ago

Michuzi

10 years ago

GPL

WIZARA YA NISHATI NA MADINI YATANGAZA UFADHILI WA MASOMO NCHINI CHINA KWA MWAKA 2015

Msemaji wa Wizara ya Nishati na Madini, Badra Masoud akizungumza na wanahabari.   Msemaji wa Wizara ya Nishati na Madini, Badra Masoud akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu ufadhili wa masomo nchini China kwa mwaka 2015. Kulia ni Ofisa Habari wa Maelezo, Fatma Salum.…

 

10 years ago

Michuzi

HUC YATANGAZA UFADHILI WA MASOMO YA UFUNDI VETA, VIJANA CHANGAMKIENI

Na Nathan Mpangala wa HUC.
Shirika lisilo la kiserikali la Help for Underserved Communities Inc. (HUC), linatangaza nafasi za ufadhili wa masomo ya ufundi VETA kwa vijana wa Kitanzania. Kozi hizo ni ufundi wa magari, umeme wa magari, udereva magari/pikipiki, ufundi cherehani, hair dressing (urembo), mapambo ya ukumbi na nyinginezo.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na shirika hilo, inasema, HUC, itafadhili wanafunzi 15 wa kozi mbalimbali za awali VETA kwa mwaka 2014-2015.
Walengwa ni vijana wa...

 

11 years ago

Mwananchi

SAIKOLOJIA & UTAFITI: Namna ya kupata ufadhili wa masomo au miradi

>Hongera ndugu yangu kwa kufika mwaka mpya wa 2014, ni suala la kumshukuru Mungu maana kuna wenzetu wengi ambao walikuwa na shauku ya kuingia mwaka huu lakini wameshindwa, wengine wamepatwa na mikasa mizito iliyoharibu kabisa ndoto zao.

 

10 years ago

Michuzi

MAKADA WA CCM TAWI LA CHINA WAAGWA LEO JIONI

  Mwenyekiti wa  Tawi  la CCM-CHINA Bw.Juma Mashinene (kushoto) akimkabidhi  Dr.Nobeji Boniphace Shija cheti cha uwanachama- CCM- Beijing. Katibu  mkuu Tawi  la CCM-CHINA Bw.Joel Kayombo (kushoto) akimkabidhi  Dr.Nobeji Boniphace Shija cheti cha uwanachama- CCM- Beijing."Baadhi ya  makada wa Tawi  la CCM-CHINA  wakiwa kwenye picha ya pamoja ambayo iliambatana na chakula cha jioni huko Beijing, China. 

 

9 years ago

Michuzi

SIMBACHAWENE AKABIDHI NYARAKA ZA UFADHILI KWA WATANZANIA 22 KUSOMA MAFUTA, GESI CHINA

Waziri wa Nishati na Madini. George Simbachawene, akisisitiza jambo kwa wanafunzi kabla ya kuwakabidhi Nyaraka za Ufadhili kwa ajili ya masomo yao nchini China. 
Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene, (Kulia) akizungumza na  waandishi wa habari, baadhi ya Watumishi wa Wizara na wanafunzi  waliopata ufadhili wa  masomo katika ngazi za  Shahada za Uzamivu (Phd) na  Uzamili (Masters), katika masuala ya mafuta na gesi nchini China. Baadhi ya wanafunzi 22 waliopata nafasi za masomo ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani