WAZIRI MKUU KUTANA NA WATANZANIA WAISHIO NCHINI JAPAN
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Bibi wa Kijapan, Midori Uno,machi 17, 2015 kwenye hoteli ya New Otani jijini New York , ambaye aliishi Tanzania miaka ya 60 baada ya Uhuru wa Tanganyika akifanya kazi kwa kujitolea. Hisasa Bibi Uno ni bingwa wa lugha ya kiswahili na amekwishaandika Kamusi ya Kijapan na Kiswahili pamoja na vitabu kadhaa.
Waziri mkuu, Mizengo Pinda na mkewe wakitia saini kitabu cha wageni kwenye ubalozi wa Tanzania uliopo Tokyo nchini Japan baada ya kuwasili ubalozini...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WATANZANIA WAISHIO NCHINI JAPAN


11 years ago
Dewji Blog23 May
Dkt. Bilal akutana na kuzungumza na Watanzania waishio nchini Japan, awaasa kurejea nyumbani kutumia ujuzi walioupata kukuza uchumi wa nchi
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na watanzania waishio nchini Japan, wakati alipokutana nao kwa mazungumzo yaliyofanyika kwenye Hoteli ya The New Otani, wakati akiwa katika ziara yake ya kikazi nchini humo, jana Mei 21, 2014. Kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Japan, Salome Sijaona. (Picha na OMR).
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania waishio Japan (Tanzanite Society) David Semiono, akisoma risala ya Jumuiya yao wakati wa hafla...
11 years ago
Michuzi
WAZIRI MKUU PINDA AKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO UINGEREZA




11 years ago
Dewji Blog28 Oct
Waziri Mkuu Pinda alipokutana na Watanzania waishio Poland
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiagana na Mwenyekiti wa Watanzania waishio Poland (WAPO), Bw. Steven Sambali mara baada ya kukutana nao na kuwaeleza mambo yanayoendelea nyumbani Tanzania. Waziri Mkuu alikuwa nchini humo kwa ziara ya siku tatu.
Mmoja wa Watanzania waishio Poland wakiagana na Waziri Mkuu Mizengo Pinda mara baada ya kukutana nao mwishoni mwa wiki kwenye hoteli ya Sheraton jijini Warsaw, Poland. Waziri Mkuu alikuwa nchini humo kwa ziara ya siku tatu. (Picha na Irene Bwire wa...
11 years ago
Michuzi
WAZIRI MKUU PINDA AKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO POLAND



11 years ago
GPLWAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO READING UINGEREZA
11 years ago
Michuzi
WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO, MHE. PETER MIZENGO PINDA KUKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO UINGEREZA JUMAMOSI

Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania London unawakaribisha Watanzania wote watakaoweza kupata fursa kuja kuzungumza na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Mizengo Kayanza Peter Pinda hapo Ubalozini siku ya Jumamosi (tarehe 12 Julai 2014) kuanzia saa nane mchana hadi kumi na moja jioni (14:00 – 17:00 Hours)
Katika Mkutano huo, Mheshimiwa Pinda anatarajiwa kuzungumzia masuala mbalimbali ya maendeleo ya nchi yetu. Aidha atajibu maswali...
10 years ago
MichuziWAZIRI MKUU,MIZENGO PINDA AHITIMISHA ZIARA YAKE NCHINI JAPAN
11 years ago
Michuzi23 Apr