Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


IPTL, Al-Madinah washerehekea sikukuu ya Eid na mayatima 500


Meneja rasilimali watu wa kampuni ya kufua umeme ya IPTL Bw. Aidan Kaune (mwenye suti ya kijivu) akijumuika pamoja na baadhi ya watoto 500 mayatima kusherehekea sikukuu ya Eid wakati wa karamu ya chakula iliyoandaliwa na taasisi ya Al-Madina na kufadhiliwa na IPTL. Kulia ni meneja maswala ya kampuni ya IPTL (Company Affairs Manager) Bw. Kulwinder Singh Jheeta na wa tatu kulia ni Mkurugenzi wa taasisi ya Al-Madinah Sheikh Ally Mubarak.  Meneja rasilimali watu wa kampuni ya kufua umeme ya IPTL...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

KALAMU EDUCATION FOUNDATION YALA SIKUKUU YA EID FITRI NA WAGONJWA NA MAYATIMA

Mmoja wa Wakurugezi wa Kalamu Education Foundation Sis. Kwezi akiongozana na wakurugenzi wenzake kugawa zawadi mbali mbali za Vyakula, Vinywaji, Nguo na Pesa vyenye thamani ya TZS 1,658,000 kwa wagonjwa katika ziara yao ya Kusheherekea Sikukuu ya EID EL-Fitri katika Hospital ya Mwananyamala, Dar es salaam Mwenyekiti wa Taasisi ya Kalamu Education Foundation, Ndugu Mohamed Kamilagwa akiongozana na Makamu wake Hajjat Asha Mtwangi wakimsikiliza kwa makini mmoja wa Madaktari juu ya Changamoto za...

 

9 years ago

BBCSwahili

Waislamu washerehekea sikukuu ya Eid

Waumini wa dini ya Kiislamu wameadhimisha siku ya Eid al-Adha kwa kuungana na jamaa ndugu na marafiki katika ibada.

 

10 years ago

Vijimambo

WATANZANIA TOKYO JAPAN WASHEREHEKEA SIKUKUU YA EID

 Watanzania na marafiki zao wakijumuika pamoja katika kusherehekea sikukuu ya Eid iliyofanyika siku ya Jumamosi July 18, 2015 Watanzania na marafiki zao wakijumuika pamoja katika kusherehekea sikukuu ya Eid. Picha na Mariam, Mwakilishi wa Vijimambo Japan. Mariam kulia akipata ukodak moment na mwenzie.Watanzania wa Japan wakijumuika pamoja kwenye sherehe ya Eid MosiKwa picha zaidi bofya soma zaidi

 

10 years ago

Mwananchi

Waislamu washerehekea Sikukuu ya Eid el Fitr leo

>Waislamu  nchini leo wanajumuika na wenzao duniani kusherehekea Sikukuu ya Eid el Fitr baada ya jana kumaliza mfungo wa mwezi  mtukufu wa Ramadhani.

 

11 years ago

Michuzi

WAUMINI WA DHEHEBU YA ORTHODOX WASHEREHEKEA SIKUKUU YA PASAKA.

Balozi wa Urusi anayefanyakazi hapa nchini  Alexander Rannikh  akiwa  na waumini wenzake wakipewa Baraka na Askofu  wa Dhehebu ya Orthodox  Askofu Dimitrios  wakati wa   Ibada ya Kusherehekea Sikukuu ya Pasaka iliyowashirikisha  Waumini mbalimbali  wakiwemo Watanzania,Wagiriki na Warusi.Ibada hiyo iliafanyika jijini Dar es Salaam.
Balozi wa Urusi anayefanyakazi hapa nchini  Alexander Rannikh akipewa Baraka na Askofu  wa Dhehebu ya Orthodox  Askofu Dimitrios  wakati wa   Ibada ya...

 

11 years ago

GPL

WAISLAM WASHEREHEKEA EID EL-FITR KITAIFA DAR ES SALAAM

    Shehe Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum,  akiwahutubia waumini.
    Makamu wa Rais Gharib Bilali, akizungumza katika hafla hiyo.
   Naibu Kadhi Mkuu Sheikh Ally Muhidin Mkoyogole akiwa katika dua baada ya kufungua swala.…

 

10 years ago

Vijimambo

JUMUIYA YA KANISA KATOLIKI HOUSTON. TEXAS, WASHEREHEKEA SIKUKUU YA PASAKA

Watoto wakicheza kwa furahaMaakuliMtoto Natalie akisherehekea Birthday pamoja na wazazi wake Michael & Beatrice Ndejembikwa picha zaidi bofya soma zaidiMbasa, Hilda & SekuluMage, Beatrice & DianaBwana na Bibi KalingaKeki ya BirthdayMama Daudi na SekuluDada Josephine na kijana Humphrey ambaye alitimiza miaka 14Bwana Mbasa akiwa na familia yakeMbasa na ThadeoWababa WakatolikiNeville na HildaPicha zote na Mlonga Kiloma Blog

 

10 years ago

GPL

WATOTO WASHEREHEKEA SIKUKUU YA MWAKA MPYA KWA AINA YAKE DAR LIVE

Watoto wakijiachia katika bwawa la kuogelea ndani ya Dar Live leo katika kusherehekea Mwaka Mpya 2015. Watoto wakiburudika katika bembea la Dar Live leo.…

 

9 years ago

Michuzi

Coventry Muslim Swahili Association (COMSWA) washerehekea Eid el Hajj kwa mafanikio makubwa.

 Ni neema kubwa ambayo imepatikana kwa juhudi kubwa zilizofanywa na viongozi wakishirikiana na wana jamii pamoja na mambo mengine lakini kuhakikisha jamii inakuwa pamoja.

Kipaumbele cha mwanzo ikiwa kuwafundisha vijana na wazee maadili mazuri, aidha kujenga moyo wa kushirikiana na kuhakikisha umoja wenye afya. Ni bahati kubwa kwa watu wa ughaibuni kuweza kukutana ktk mji mmoja wakiwa wanazugumza lugha moja, utamaduni wao mmoja na wana maadili yanayofanana. Ili kuona kwamba hayo yanafanikiwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani