Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KALAMU EDUCATION FOUNDATION YALA SIKUKUU YA EID FITRI NA WAGONJWA NA MAYATIMA

Mmoja wa Wakurugezi wa Kalamu Education Foundation Sis. Kwezi akiongozana na wakurugenzi wenzake kugawa zawadi mbali mbali za Vyakula, Vinywaji, Nguo na Pesa vyenye thamani ya TZS 1,658,000 kwa wagonjwa katika ziara yao ya Kusheherekea Sikukuu ya EID EL-Fitri katika Hospital ya Mwananyamala, Dar es salaam Mwenyekiti wa Taasisi ya Kalamu Education Foundation, Ndugu Mohamed Kamilagwa akiongozana na Makamu wake Hajjat Asha Mtwangi wakimsikiliza kwa makini mmoja wa Madaktari juu ya Changamoto za...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

KALAMU EDUCATION FOUNDATION YALA EID MUBARAK NA WATOTO WAGONJWA HOSPITALI YA MWANANYAMALA.

 Baadhi ya wajumbe wa Taasisi ya Kalamu Education Foundation wakichukua baadhi ya Madawa ya kufanyia usafi ambayo taasisi hiyo imechangia katika wodi ya watoto katika hospitali ya Mwananyamala Dar es salaam kuboresha usafi katika Hospitali Hiyo Kubwa Jijini Dar es Salaam. Dr. Mohamed wa Wizara ya Afya, Mh. Asha Mtwangi Mjumbe Bunge Maalum la Katiba na Ndugu Hassan Swedi, Meneja wa Fedha BORDA – Tanzania wakisikiliza kwa makini taarifa ya Muuguzi wa zamu juu ya Changamoto za kuwaangalia...

 

11 years ago

Michuzi

IPTL, Al-Madinah washerehekea sikukuu ya Eid na mayatima 500


Meneja rasilimali watu wa kampuni ya kufua umeme ya IPTL Bw. Aidan Kaune (mwenye suti ya kijivu) akijumuika pamoja na baadhi ya watoto 500 mayatima kusherehekea sikukuu ya Eid wakati wa karamu ya chakula iliyoandaliwa na taasisi ya Al-Madina na kufadhiliwa na IPTL. Kulia ni meneja maswala ya kampuni ya IPTL (Company Affairs Manager) Bw. Kulwinder Singh Jheeta na wa tatu kulia ni Mkurugenzi wa taasisi ya Al-Madinah Sheikh Ally Mubarak.  Meneja rasilimali watu wa kampuni ya kufua umeme ya IPTL...

 

10 years ago

GPL

BURUDANI ZA WATOTO SIKUKUU YA EID EL FITRI DAR LIVE

Watoto wakiendelea kusherehekea Eid el Fitri ndani ya Ukumbi wa Dar Live leo kwa mbwembwe za kila aina ikiwa ni pamoja na michezo mbalimbali, kama vile bembea, kupanda juu ya sanamu ya ndege. Mmoja ya watoto wakiendelea kujibu maswali kujipatia zawadi mbalimbali. Watoto wengine wakiwashudia.…

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL KATIKA BARAZA LA SIKUKUU YA EID EL- FITRI KITAIFA MKOANI GEITA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia katika Barala la Sikukuu ya Eid El- Fitri iliyofanyika Kitaifa kwenye Ukumbi wa Shule ya Sekondari Wasichana ya Nyankumbu, mkoani Geita l Baadhi ya Waumini wa dini ya Kiislamu waliohudhuria Baraza la Sikukuu ya Eid El- Fitri, wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Geita, Bi Fatma Maswi, wakimsikiliza Makamu wa Rais, Dkt. Bilal, wakati akihutubia katika Baraza hilo lililofanyika Kitaifa Mkoani Geita l Kaimu...

 

10 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais Dkt. Bilal ahitimisha Baraza la sikukuu ya Eid El- Fitri kitaifa mkoani Geita.

1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia katika Barala la Sikukuu ya Eid El- Fitri iliyofanyika Kitaifa kwenye Ukumbi wa Shule ya Sekondari Wasichana ya Nyankumbu, mkoani Geita Julai 18, 2015. (Picha na OMR).

1B

6

Mkuu wa Mkoa wa Geita, Bi Fatma Maswi, akizungumza kuwakaribisha wageni katika hafla hiyo ya Baraza la Sikukuu ya Eid El- Fitri.

4

Kaimu Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir Ally, akizungumza kabla ya kumkaribisha Mgeni...

 

11 years ago

Michuzi

WALIMU WA MADRASSA VIJIJINI MKOA WA PWANI WATEMBELEWA NA KALAMU EDUCATION FOUNDATION

 Ustaadh Hussein Ahmad wa Madrassa Mukarramah (kushoto) akipokea Sehemu ya Zawadi za Chakula Kutoka Taasisi ya Kalamu Education Foundation wanaotembelea Sehemu za Mkoa wa Pwani kufahamu Walimu wa Madrassa wanavyoendesha shughuli zao katika Kipindi hiki Cha Mwezi Mtukufu wa Ramadhan. Pamoja nae ni Ndugu Ibrahim Biswalo Meneja Miradi wa Taasisi hiyo na Ndugu Mashaka Daudi Ofisa Usambazaji. Walimu wa Madrassa kutoka katoka Vijiji Mbali Mbali vya Wilaya ya Kisarawe wakiwa na baadhi ya Maofisi wa...

 

11 years ago

Michuzi

KALAMU EDUCATION FOUNDATION YAWAKUMBUKA WAFUNGWA DODOMA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN.

 Maofisi wa Magereza la Isangaa - Dodoma Afande Kapitukaa Pamoja na Afande Hassan wakikagua msaada wa chakula kutoka Taasisi ya Kalamu Education Foundation kama Mchango wao kwa wafungwa katika kipindi cha Mwezi Mtukufu wa Ramadhan. Pamoja na Maofisa hao Kulia ni Dada Safia na Dada Amina kutoka taasisi hiyo. Wajumbe wa Kalamu Education Foundation Dada Safia na Dada Safina Mara Baada ya Kutoa Shukran kwa Ushirikiano walioupata kutoka kwa Jeshi la Magereza kuhakikisha kwamba wafungwa...

 

9 years ago

Michuzi

KALAMU EDUCATION FOUNDATION YASHEHEREKEA MWAKA MPYA WA KIISLAM-1437H KIJIJINI RUFIJI NA KUKABIDHA MISAADA MBALI MBALI.

Mmoja wa wenyeji wa msafara wa Taasisi ya Kalamu Education Foundation, Ustaadh Thabit pamoja na watoto wakipokea vifaa mbali mbali vya malazi na maji kutoka kwa baadhi ya wajumbe wa taasisi hiyo. Mmoja wa wajumbe wa Taasisi ya Kalamu Education Foundation Ndugu Hussein akimkabidhi magodoro Ustaadh Thabit wa kitoa cha elimu cha Irada – Bungu kwa ajiri ya vijana wanaolala hapo kwa masomo ya dini.KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

11 years ago

Michuzi

KISARAWE YAPATA MATUNDA YA KALAMU EDUCATION FOUNDATION KWA KUZINDUA KITUO CHA MASOMO YA WATOTO CHA AWALI KATIKA MFUNGO WA RAMADHAN.

 Sheikh Suleiman Amran Kilemile Alipokuwa akifungua Kituo Cha Jamaat Islamiyyah Madrassa and Nursery School Cha Kisarawe. Sheikh Kilemile aliwahusia wazazi kuwasomesha watoto wao Masomo yote kwani husaidia kupata Viongozi Waadilifu na wenye Huruma katika Maendeleo ya Jamii.Sehemu ya Majengo ya Kituo Kipya cha Masomo ya Awali Cha Jamaat Islamiyya Kisarawe Pwani.  Sheikh Suleiman Kilemile akiwa na Mbunge wa Kisarawe Mh. Suleiman Jaffu pamoja na watoto wa Wilaya hiyo wakionyesha Matumaini Mapya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani