Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KALAMU EDUCATION FOUNDATION YALA EID MUBARAK NA WATOTO WAGONJWA HOSPITALI YA MWANANYAMALA.

 Baadhi ya wajumbe wa Taasisi ya Kalamu Education Foundation wakichukua baadhi ya Madawa ya kufanyia usafi ambayo taasisi hiyo imechangia katika wodi ya watoto katika hospitali ya Mwananyamala Dar es salaam kuboresha usafi katika Hospitali Hiyo Kubwa Jijini Dar es Salaam. Dr. Mohamed wa Wizara ya Afya, Mh. Asha Mtwangi Mjumbe Bunge Maalum la Katiba na Ndugu Hassan Swedi, Meneja wa Fedha BORDA – Tanzania wakisikiliza kwa makini taarifa ya Muuguzi wa zamu juu ya Changamoto za kuwaangalia...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

KALAMU EDUCATION FOUNDATION YALA SIKUKUU YA EID FITRI NA WAGONJWA NA MAYATIMA

Mmoja wa Wakurugezi wa Kalamu Education Foundation Sis. Kwezi akiongozana na wakurugenzi wenzake kugawa zawadi mbali mbali za Vyakula, Vinywaji, Nguo na Pesa vyenye thamani ya TZS 1,658,000 kwa wagonjwa katika ziara yao ya Kusheherekea Sikukuu ya EID EL-Fitri katika Hospital ya Mwananyamala, Dar es salaam Mwenyekiti wa Taasisi ya Kalamu Education Foundation, Ndugu Mohamed Kamilagwa akiongozana na Makamu wake Hajjat Asha Mtwangi wakimsikiliza kwa makini mmoja wa Madaktari juu ya Changamoto za...

 

11 years ago

Michuzi

KISARAWE YAPATA MATUNDA YA KALAMU EDUCATION FOUNDATION KWA KUZINDUA KITUO CHA MASOMO YA WATOTO CHA AWALI KATIKA MFUNGO WA RAMADHAN.

 Sheikh Suleiman Amran Kilemile Alipokuwa akifungua Kituo Cha Jamaat Islamiyyah Madrassa and Nursery School Cha Kisarawe. Sheikh Kilemile aliwahusia wazazi kuwasomesha watoto wao Masomo yote kwani husaidia kupata Viongozi Waadilifu na wenye Huruma katika Maendeleo ya Jamii.Sehemu ya Majengo ya Kituo Kipya cha Masomo ya Awali Cha Jamaat Islamiyya Kisarawe Pwani.  Sheikh Suleiman Kilemile akiwa na Mbunge wa Kisarawe Mh. Suleiman Jaffu pamoja na watoto wa Wilaya hiyo wakionyesha Matumaini Mapya...

 

11 years ago

Michuzi

WALIMU WA MADRASSA VIJIJINI MKOA WA PWANI WATEMBELEWA NA KALAMU EDUCATION FOUNDATION

 Ustaadh Hussein Ahmad wa Madrassa Mukarramah (kushoto) akipokea Sehemu ya Zawadi za Chakula Kutoka Taasisi ya Kalamu Education Foundation wanaotembelea Sehemu za Mkoa wa Pwani kufahamu Walimu wa Madrassa wanavyoendesha shughuli zao katika Kipindi hiki Cha Mwezi Mtukufu wa Ramadhan. Pamoja nae ni Ndugu Ibrahim Biswalo Meneja Miradi wa Taasisi hiyo na Ndugu Mashaka Daudi Ofisa Usambazaji. Walimu wa Madrassa kutoka katoka Vijiji Mbali Mbali vya Wilaya ya Kisarawe wakiwa na baadhi ya Maofisi wa...

 

11 years ago

Michuzi

KALAMU EDUCATION FOUNDATION YAWAKUMBUKA WAFUNGWA DODOMA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN.

 Maofisi wa Magereza la Isangaa - Dodoma Afande Kapitukaa Pamoja na Afande Hassan wakikagua msaada wa chakula kutoka Taasisi ya Kalamu Education Foundation kama Mchango wao kwa wafungwa katika kipindi cha Mwezi Mtukufu wa Ramadhan. Pamoja na Maofisa hao Kulia ni Dada Safia na Dada Amina kutoka taasisi hiyo. Wajumbe wa Kalamu Education Foundation Dada Safia na Dada Safina Mara Baada ya Kutoa Shukran kwa Ushirikiano walioupata kutoka kwa Jeshi la Magereza kuhakikisha kwamba wafungwa...

 

9 years ago

Michuzi

KALAMU EDUCATION FOUNDATION YASHEHEREKEA MWAKA MPYA WA KIISLAM-1437H KIJIJINI RUFIJI NA KUKABIDHA MISAADA MBALI MBALI.

Mmoja wa wenyeji wa msafara wa Taasisi ya Kalamu Education Foundation, Ustaadh Thabit pamoja na watoto wakipokea vifaa mbali mbali vya malazi na maji kutoka kwa baadhi ya wajumbe wa taasisi hiyo. Mmoja wa wajumbe wa Taasisi ya Kalamu Education Foundation Ndugu Hussein akimkabidhi magodoro Ustaadh Thabit wa kitoa cha elimu cha Irada – Bungu kwa ajiri ya vijana wanaolala hapo kwa masomo ya dini.KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

11 years ago

Michuzi

WASANII WA BONGO MOVIE KWA KUSHIRIKIANA NA KAMPUNI YA MABIBO BEER WATEMBELEA HOSPITALI YA MWANANYAMALA LEO NA KUTOA MISAADA KWA WAGONJWA.

 Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Mabibo Beer ambao ni wauzaji wa vinywaji vya Windhoek na Climax, Mama Benadetha Rugemalila akikabidhi baadhi ya misaada kwa Kaimu Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mwananyamala, Bw Kariamel Wandi wakati Kampuni ya Mabibo Beer wakishirikiana na Wasanii wa Bongo movie walipotembelea Hospitali ya Mwanyamala ikiwa wanaadhimisha miaka mitatu ya Kuanzishwa kwa Klabu ya Bongo Movie. Wasanii wa Bongo Movie wakiwa katika picha ya pamoja na mkurugenzi mkuu wa Mabibo beer na...

 

10 years ago

GPL

HOSPITALI ZA RUFAA ZA WILAYA YA TEMEKE-KINONDONI NA ILALA ZANUFAIKA NA MASHINE ZA KUWASAIDIA WATOTO NJITI TOKA VODACOM FOUNDATION‏

Mkuu wa kitengo cha Vodacom Foundation Tanzania, Renatus Rwehikiza(kushoto)akimkabidhi moja ya mashine ndogo kati ya tatu za kufyonza uchafu kwa watoto Njiti kwa Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Grace Magembe kwa niaba ya Hospitali tatu za rufaa za Wilaya ya Temeke,Kinondoni na Ilala.Msaada huo ulitolewa na Taasisi ya Vodacom Foundation kupitia kampeni yake ya Pamoja na Vodacom kwa kushirikiana na Doris Mollel...

 

5 years ago

Michuzi

Asasi ya Vodacom Tanzania Foundation yakabidhi vifaa kwa ajili ya kuwasaidia watoto Njiti, Hospitali ya Muriet jijini Arusha



Mkuu wa mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo(kulia) akimsikiliza Mkuu wa Mauzo Vodacom Kanda ya Kaskazini, George Venanty(mwenye fulana nyekundu) wakati kampuni ya Vodacom Tanzania PLC kupitia asasi isiyo ya kiserikali ya Vodacom Tanzania Foundation walipokabidhi vifaa vyenye thamani ya zaidi ya  shilingi 42 milioni kwa ajili ya watoto wanaozaliwa kabla ya wakati (njiti) kwenye hospitali ya Muriet mkoani humo ili kuwapa uwezo wa kupumua,kuongeza joto na kuwapa tiba mwanga . Katikati yao...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani