JUMUIYA YA KANISA KATOLIKI HOUSTON. TEXAS, WASHEREHEKEA SIKUKUU YA PASAKA
![](http://1.bp.blogspot.com/-lSYXD3nUq1o/VSIUrk08nHI/AAAAAAAAN-Q/h55h_QQ1IJ0/s72-c/1.jpg)
Watoto wakicheza kwa furaha
Maakuli
Mtoto Natalie akisherehekea Birthday pamoja na wazazi wake Michael & Beatrice Ndejembikwa picha zaidi bofya soma zaidi
Mbasa, Hilda & Sekulu
Mage, Beatrice & Diana
Bwana na Bibi Kalinga
Keki ya Birthday
Mama Daudi na Sekulu
Dada Josephine na kijana Humphrey ambaye alitimiza miaka 14
Bwana Mbasa akiwa na familia yake
Mbasa na Thadeo
Wababa Wakatoliki
Neville na Hilda
Picha zote na Mlonga Kiloma Blog
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi20 Apr
WAUMINI WA DHEHEBU YA ORTHODOX WASHEREHEKEA SIKUKUU YA PASAKA.
![](https://1.bp.blogspot.com/-kKpL9ZH_u38/U1O9HbRfMzI/AAAAAAABmag/OtnAYqFJYSw/s640/02.jpg)
![](https://2.bp.blogspot.com/-Dn_tHtfNLr4/U1O9LlVfhfI/AAAAAAABmaw/vuL24US37Co/s640/04.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-aK8TNjI1xEc/U1PQPa5jPFI/AAAAAAAFcBo/EI9eTN_nX_4/s1600/unnamed+(59).jpg)
Taswira za misa ya pasaka kanisa katoliki jimbo la dodoma leo
Askofu Gervas John Nyaisonga wa Kanisa Katoliki Jimbo la Dodoma akitoa Mahubiri wakati wa Misa ya Pasaka, kuadhimisha miaka zaidi ya elfu mbili tangu Ufufuko wa Yesu Kristo. Ibada hii iliyohudhuriwa na maelfu ya watu imefanyika katika Kanisa Kuu la Paulo wa Msalaba Dodoma.
![](http://3.bp.blogspot.com/-jOnV3FDeEQw/U1PQM62GkbI/AAAAAAAFcBQ/2J-qJQOiWNk/s1600/unnamed+(56).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-gWsN-zni7Ag/U1PQp-DWCyI/AAAAAAAFcB4/GQTgGKJV5Co/s1600/unnamed+(58).jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-vQ8tM-JYLc0/VTTkXbtlebI/AAAAAAAHSGI/7SHPDIdQAqU/s72-c/unnamed%2B(74).jpg)
Semina ya Texas Karate Black Belts yafanyika Houston, Texas
![](http://3.bp.blogspot.com/-vQ8tM-JYLc0/VTTkXbtlebI/AAAAAAAHSGI/7SHPDIdQAqU/s1600/unnamed%2B(74).jpg)
Sensei Rumadha Fundi, ni mmoja ya wawakilishi wa Goju Ryu Jundokan, atayoiwakilisha Tanzania kwenye msafara huo.. Baada ya takriban...
10 years ago
VijimamboTexas Karate Black Belts Seminar Houston. Texas
10 years ago
Dewji Blog20 Apr
Kanisa Katoliki Parokia ya Mwananyamala yazindua harambee kukarabati kanisa hilo
Paroko wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mwananyamala, Focus Masawe, akizindua Kadi maalumu na tiketi kwa ajili ya harambee kuchangia ujenzi na ukarabati wa Kanisa hilo jijini Dar es Salaam.
Paroko wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mwananyamala, Focus Masawe, akionyesha Kadi maalumu na tiketi kwa ajili ya harambee kuchangia ujenzi na ukarabati wa Kanisa hilo baada ya kuzindua rasmi
Mwanajumuiya wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mwananyamala, Stephen Minja, akionyesha Kadi Maalumu ya harambee ya...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-ph4Aa25jMlk/VTTiw8bmmAI/AAAAAAAC3UQ/8EHqustY3aw/s72-c/1.jpg)
KANISA KATOLIKI POROKIA YA MWANANYAMALA YAZINDUA HARAMBEE KUKARABATI KANISA HILO
![](http://2.bp.blogspot.com/-ph4Aa25jMlk/VTTiw8bmmAI/AAAAAAAC3UQ/8EHqustY3aw/s1600/1.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-sZD_07Sg5v0/VTTiuCUA03I/AAAAAAAC3UI/t4dJUbMvvnw/s1600/2.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-GyxUwmKhA-Y/VTTi6vqqaXI/AAAAAAAC3U0/Q99oBdlO65s/s1600/9.jpg)
10 years ago
GPLMTOKO WA PASAKA WA GWT ULIVYOFANA SIKUKUU YA PASAKA
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-0mBuDM0BGuI/UzEAabnb9uI/AAAAAAAFWGI/RTL1qsQ5xb0/s72-c/images.jpg)
JUMUIYA YA WATANZANIA HOUSTON: MH. BALOZI LIBERATA MULAMULA KUWA MGENI RASMI KATIKA SHEREHE YA KUSIMIKA VIONGOZI WAPYA WA JUMUIYA.
![](http://2.bp.blogspot.com/-0mBuDM0BGuI/UzEAabnb9uI/AAAAAAAFWGI/RTL1qsQ5xb0/s1600/images.jpg)
Mheshimiwa Balozi wa Tanzania hapa US na Mexico, Mh.Liberata Mulamula ndiye atakaekuwa mgeni rasmi wa tukio hili la kihistoria katika jumuiya yetu ya Houston. Wote mnakaribishwa ili tusherekee na tuweke...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-wKvSDsDr0RE/VYnTVAJVwaI/AAAAAAAAOS0/VTJyHBbgYug/s72-c/Edmund1.jpg)
MSIBA HOUSTON, TEXAS NA TANZANIA
![](http://4.bp.blogspot.com/-wKvSDsDr0RE/VYnTVAJVwaI/AAAAAAAAOS0/VTJyHBbgYug/s400/Edmund1.jpg)
Kwa masikitiko makubwa, tunasikitika kutangaza kifo cha mwanajumuiya mwenzetu Bw. Edmund Mushi.
Ndugu yetu Edmund amefikwa na mauti usiku wa kuamkia leo June 23, 2015 katika hospital ya Houston Northwest Medical Center alipokuwa amelazwa.
Tunatoa wito kwa wanajumuiya kuwa na subira katika kipindi hiki kigumu cha maombolezo. Taarifa zaidi za hatua itakayofuata zitatolewa mara tu baada ya kumalizika kwa kikao cha wanandugu wa karibu baadaye...