KANISA KATOLIKI POROKIA YA MWANANYAMALA YAZINDUA HARAMBEE KUKARABATI KANISA HILO
Paroko wa Kanisa Katoliki Paroki ya Mwananyamala, Focus Masawe, akizindua Kadi maalumu na tiketi kwa ajili ya harambee kuchangia ujenzi na ukarabati wa Kanaisa hilo jijini Dar es Salaam juzi Paroko wa Kanisa Katoliki Paroki ya Mwananyamala, Focus Masawe, akionyesha Kadi maalumu na tiketi kwa ajili ya harambee kuchangia ujenzi na ukarabati wa Kanisa hilo baada ya kuzindua rasmi Wanakwaya wa Paroko wa Kanisa Katoliki Paroki ya Mwananyamala, wakiimba wakati wa uzinduzi uuzaji wa tiketi na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog20 Apr
Kanisa Katoliki Parokia ya Mwananyamala yazindua harambee kukarabati kanisa hilo
Paroko wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mwananyamala, Focus Masawe, akizindua Kadi maalumu na tiketi kwa ajili ya harambee kuchangia ujenzi na ukarabati wa Kanisa hilo jijini Dar es Salaam.
Paroko wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mwananyamala, Focus Masawe, akionyesha Kadi maalumu na tiketi kwa ajili ya harambee kuchangia ujenzi na ukarabati wa Kanisa hilo baada ya kuzindua rasmi
Mwanajumuiya wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mwananyamala, Stephen Minja, akionyesha Kadi Maalumu ya harambee ya...
10 years ago
MichuziPinda aongoza harambee ya kuchangia ujenzi wa kanisa Katoliki la Kibiti Mkoani Pwani
11 years ago
MichuziMILIONI 319 ZAPATIKANA KATIKA HARAMBEE YA UJENZI WA KANISA KATOLIKI LA MAKONGO JUU JIJINI DAR
11 years ago
GPLPALE KANISA LINAPOJITOLEA KUKARABATI KITUO CHA POLISI OYSTERBAY
10 years ago
BBCSwahili02 Apr
Kanisa Katoliki linautazamaje ushoga?
11 years ago
Habarileo30 Jun
Membe apongeza Kanisa Katoliki
KANISA Katoliki limepongezwa kwa kusaidia nchi kudumisha amani na utulivu kwa njia ya sala na kauli za huruma juu ya uvumilivu wa kidini.
11 years ago
BBCSwahili05 Feb
UN yalaani sera za kanisa katoliki
10 years ago
Habarileo02 Nov
Kanisa Katoliki lafunga Parokia 50
KANISA Katoliki duniani limeamua kufunga zaidi ya parokia 50 katika Jimbo Kuu la Kanisa Katoliki la New York nchini Marekani, katika mkakati wa kanisa hilo kujinusuru na madeni ya parokia zisizojiendesha, ambao haujawahi kufanyika katika miaka 164 ya jimbo hilo.
11 years ago
BBCSwahili07 Feb
Kanisa Katoliki kortini Poland