Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Membe apongeza Kanisa Katoliki

KANISA Katoliki limepongezwa kwa kusaidia nchi kudumisha amani na utulivu kwa njia ya sala na kauli za huruma juu ya uvumilivu wa kidini.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Membe apongeza Kanisa Anglikana

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe akibonyeza kengele kuashiria uzinduzi wa Sherehe ya Miaka 50 ya Kanisa Anglikana Tanzania Dayosisi ya Dar es Salaam, iliyofanyika kwenye Kanisa la Mt. Albano jijini jana. Kushoto ni Askofu wa Dayosisi ya Dar es Salaam, Dk Valentino Mokiwa. (Picha na Fadhili Akida).WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe amelipongeza Kanisa la Anglikana nchini kwa kusimama kidete bila hofu kupinga ndoa za jinsia moja, hata pale makanisa mengine ya Anglikana duniani, yalipoamua kufanya hivyo.

 

10 years ago

Michuzi

MEMBE APONGEZA KANISA LA ANGLIKANA KUPINGA USHOGA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard Membe, amelipongeza Kanisa la Anglikana Tanzania kwa kusimama kidete kupinga ndoa za jinsia moja, hata pale makanisa mengine ya Anglikana duniani yalipounga mkono suala hilo.Akizindua sherehe za Miaka Hamsini tangu kuanzishwa kwa Dayosisi ya Dar es Salaam ya Kanisa hilo jana, Mhe. Membe alisema msimamo huo wa Kanisa na Watanzania uliipa serikali nguvu kukataa shinikizom kutoka nchi za Magharibi kwamba iidhinishe ushoga hapa...

 

10 years ago

Michuzi

KANISA KATOLIKI POROKIA YA MWANANYAMALA YAZINDUA HARAMBEE KUKARABATI KANISA HILO

Paroko wa Kanisa Katoliki Paroki ya Mwananyamala, Focus Masawe,  akizindua Kadi maalumu na tiketi kwa ajili ya harambee kuchangia ujenzi na ukarabati wa Kanaisa hilo jijini Dar es Salaam juzi Paroko wa Kanisa Katoliki Paroki ya Mwananyamala, Focus Masawe,  akionyesha Kadi maalumu na tiketi kwa ajili ya harambee kuchangia ujenzi na ukarabati wa Kanisa hilo baada ya kuzindua rasmi Wanakwaya wa Paroko wa Kanisa Katoliki Paroki ya Mwananyamala, wakiimba wakati wa uzinduzi uuzaji wa tiketi na...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kanisa Katoliki Parokia ya Mwananyamala yazindua harambee kukarabati kanisa hilo

1

Paroko wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mwananyamala, Focus Masawe,  akizindua Kadi maalumu na tiketi kwa ajili ya harambee kuchangia ujenzi na ukarabati wa Kanisa hilo jijini Dar es Salaam.

2

Paroko wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mwananyamala, Focus Masawe,  akionyesha Kadi maalumu na tiketi kwa ajili ya harambee kuchangia ujenzi na ukarabati wa Kanisa hilo baada ya kuzindua rasmi

3

5

Mwanajumuiya wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mwananyamala,  Stephen Minja, akionyesha Kadi Maalumu ya  harambee ya...

 

11 years ago

BBCSwahili

Kanisa Katoliki kortini Poland

Kanisa Katoliki limeshtakiwa na mtu aliyedhulumiwa kimapenzi na padri mmoja huko Poland

 

10 years ago

Habarileo

Kanisa Katoliki lafunga Parokia 50

KANISA Katoliki duniani limeamua kufunga zaidi ya parokia 50 katika Jimbo Kuu la Kanisa Katoliki la New York nchini Marekani, katika mkakati wa kanisa hilo kujinusuru na madeni ya parokia zisizojiendesha, ambao haujawahi kufanyika katika miaka 164 ya jimbo hilo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kanisa Katoliki linautazamaje ushoga?

Kadinali Raymond Burke ameenguliwa na Papa Francis katika wadhifa wake wa mwenyekiti wa bodi katika kanisa katoliki.

 

11 years ago

BBCSwahili

UN yalaani sera za kanisa katoliki

Umoja wa mataifa umeishtumu Vatican kwa kuidhinisha na kutumia sera zilizowezesha mapadre kubaka na kuwalawiti maelfu ya watoto.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kanisa Katoliki lapinga muhula wa 3 Burundi

Kanisa Katoliki nchini Burundi limeweka wazi msimamo wake kwamba rais wa burundi hawezi kuwania muhula wa tatu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani