Kanisa Katoliki linautazamaje ushoga?
Kadinali Raymond Burke ameenguliwa na Papa Francis katika wadhifa wake wa mwenyekiti wa bodi katika kanisa katoliki.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo04 Nov
Padri wa Kanisa Katoliki akerwa na ushoga
PADRI wa Kanisa Katoliki nchini amedai kupokea maombi ya watu wanaotaka kufungishwa ndoa ya jinsia moja, kitendo alichokilaani na kukikemea, akisema ni kinyume kabisa na taratibu za kanisa hilo, huku akiapa maishani mwake hatafungisha ndoa za aina hiyo.
10 years ago
Tanzania Daima26 Oct
Kanisa Katoliki limeruhusu ushoga, talaka na usuria?
TUTAFAKARI pamoja juu ya mjadala unaoendelea hivi sasa kwenye vyombo vya habari vya kimataifa, vya ndani na mitandao ya kijamii juu ya majadiliano ya mkutano wa maaskofu wa Kanisa Katoliki ...
10 years ago
MichuziKANISA KATOLIKI POROKIA YA MWANANYAMALA YAZINDUA HARAMBEE KUKARABATI KANISA HILO
10 years ago
Dewji Blog20 Apr
Kanisa Katoliki Parokia ya Mwananyamala yazindua harambee kukarabati kanisa hilo
Paroko wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mwananyamala, Focus Masawe, akizindua Kadi maalumu na tiketi kwa ajili ya harambee kuchangia ujenzi na ukarabati wa Kanisa hilo jijini Dar es Salaam.
Paroko wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mwananyamala, Focus Masawe, akionyesha Kadi maalumu na tiketi kwa ajili ya harambee kuchangia ujenzi na ukarabati wa Kanisa hilo baada ya kuzindua rasmi
Mwanajumuiya wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mwananyamala, Stephen Minja, akionyesha Kadi Maalumu ya harambee ya...
10 years ago
MichuziMEMBE APONGEZA KANISA LA ANGLIKANA KUPINGA USHOGA
10 years ago
Habarileo02 Nov
Kanisa Katoliki lafunga Parokia 50
KANISA Katoliki duniani limeamua kufunga zaidi ya parokia 50 katika Jimbo Kuu la Kanisa Katoliki la New York nchini Marekani, katika mkakati wa kanisa hilo kujinusuru na madeni ya parokia zisizojiendesha, ambao haujawahi kufanyika katika miaka 164 ya jimbo hilo.
11 years ago
Habarileo30 Jun
Membe apongeza Kanisa Katoliki
KANISA Katoliki limepongezwa kwa kusaidia nchi kudumisha amani na utulivu kwa njia ya sala na kauli za huruma juu ya uvumilivu wa kidini.
11 years ago
BBCSwahili07 Feb
Kanisa Katoliki kortini Poland
11 years ago
BBCSwahili05 Feb
UN yalaani sera za kanisa katoliki