Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MEMBE APONGEZA KANISA LA ANGLIKANA KUPINGA USHOGA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard Membe, amelipongeza Kanisa la Anglikana Tanzania kwa kusimama kidete kupinga ndoa za jinsia moja, hata pale makanisa mengine ya Anglikana duniani yalipounga mkono suala hilo.Akizindua sherehe za Miaka Hamsini tangu kuanzishwa kwa Dayosisi ya Dar es Salaam ya Kanisa hilo jana, Mhe. Membe alisema msimamo huo wa Kanisa na Watanzania uliipa serikali nguvu kukataa shinikizom kutoka nchi za Magharibi kwamba iidhinishe ushoga hapa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MEMBE APONGEZA ANGLIKANA KUPINGA USHOGA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Kamillius Membe akizindua sherehe ya miaka 50 ya Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es salaam, katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Albano, jijini Dar es salaam jana Jumapili, Januari 4, 2015, akishuhudiwa na Dk. Valentine Mokiwa, Askofu wa Dayosisi ya Dar es Salaam. Waziri Membe akizungumza katika sherehe hiyo Wachungaji wakimsikiliza Mheshimiwa Membe kwa makini wakati akiongea. Masista nao wakifuatilia Askofu Mokiwa akitoa...

 

10 years ago

Habarileo

Membe apongeza Kanisa Anglikana

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe akibonyeza kengele kuashiria uzinduzi wa Sherehe ya Miaka 50 ya Kanisa Anglikana Tanzania Dayosisi ya Dar es Salaam, iliyofanyika kwenye Kanisa la Mt. Albano jijini jana. Kushoto ni Askofu wa Dayosisi ya Dar es Salaam, Dk Valentino Mokiwa. (Picha na Fadhili Akida).WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe amelipongeza Kanisa la Anglikana nchini kwa kusimama kidete bila hofu kupinga ndoa za jinsia moja, hata pale makanisa mengine ya Anglikana duniani, yalipoamua kufanya hivyo.

 

11 years ago

Habarileo

Membe apongeza Kanisa Katoliki

KANISA Katoliki limepongezwa kwa kusaidia nchi kudumisha amani na utulivu kwa njia ya sala na kauli za huruma juu ya uvumilivu wa kidini.

 

10 years ago

Michuzi

HOTUBA YA MHESHIMIWA BERNARD MEMBE KWENYE MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA KANISA ANGLIKANA, DAYOSISI YA DAR ES SALAAM LEO

 MHESHIMIWA BERNARD MEMBE, WAZIRI WAMAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA 

 

11 years ago

Mwananchi

Muswada kupinga ushoga

>Mbunge wa Jimbo la Nyamagana, Ezekia Wenje amewasilisha bungeni kusudio la kupeleka muswada wa kukataza na kudhibiti vitendo vya ushoga nchini.

 

9 years ago

Mwananchi

Bomoabomoa yakumba Kanisa la Anglikana Dar

Kanisa la Anglikana la Mtaa wa Kisanga B, Mivumoni Kinondoni, limekumbwa na operesheni ya bomoabomoa inayoendelea Dar es Salaam.     

 

10 years ago

BBCSwahili

Mkuu wa kanisa Anglikana azuru Misri

Askofu mkuu wa Cantebury ,Justin Welby anawatembelea viongozi wa kisiasa pamoja na wale wa kidini nchini Misri

 

10 years ago

BBCSwahili

Kanisa Katoliki linautazamaje ushoga?

Kadinali Raymond Burke ameenguliwa na Papa Francis katika wadhifa wake wa mwenyekiti wa bodi katika kanisa katoliki.

 

10 years ago

Habarileo

Padri wa Kanisa Katoliki akerwa na ushoga

PADRI wa Kanisa Katoliki nchini amedai kupokea maombi ya watu wanaotaka kufungishwa ndoa ya jinsia moja, kitendo alichokilaani na kukikemea, akisema ni kinyume kabisa na taratibu za kanisa hilo, huku akiapa maishani mwake hatafungisha ndoa za aina hiyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani