Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bomoabomoa yakumba Kanisa la Anglikana Dar

Kanisa la Anglikana la Mtaa wa Kisanga B, Mivumoni Kinondoni, limekumbwa na operesheni ya bomoabomoa inayoendelea Dar es Salaam.     

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Bomoabomoa Dar yakumba makanisa, nyumba 25

bCHRISTINA GAULUHANGA NA RUTH MNKENI, DAR ES SALAAM

BOMOABOMOA ya nyumba na makazi zilizojengwa kinyume cha sheria iliendelea jana katika Wilaya ya Kinondoni, ambapo Kanisa la Anglikana pamoja na Ofisi ya Serikali ya Mtaa wa Mivumoni zimekumbwa na bomoabomoa hiyo.

Shughuli hiyo ya ubomoaji ilianza jana saa 12 asubuhi katika eneo la Mbezi Jogoo, ambapo nyumba 25, makanisa mawili, fremu mbili za biashara na sehemu ya kuoshea magari zilibomolewa.

Mbali na kanisa la Aglikana,  kanisa jingine ni...

 

9 years ago

Habarileo

Bomoabomoa yakumba nyumba 100

BOMOABOMOA katika Manispaa ya Kinondoni imeendelea jana kwa nyumba takribani 100 kubomolewa kwa watu waishio mabondeni huku waliotakiwa kuhama katika hifadhi za misitu ya mikoko kufanya hivyo ifikapo kesho.

 

10 years ago

Michuzi

HOTUBA YA MHESHIMIWA BERNARD MEMBE KWENYE MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA KANISA ANGLIKANA, DAYOSISI YA DAR ES SALAAM LEO

 MHESHIMIWA BERNARD MEMBE, WAZIRI WAMAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA 

 

10 years ago

Habarileo

Membe apongeza Kanisa Anglikana

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe akibonyeza kengele kuashiria uzinduzi wa Sherehe ya Miaka 50 ya Kanisa Anglikana Tanzania Dayosisi ya Dar es Salaam, iliyofanyika kwenye Kanisa la Mt. Albano jijini jana. Kushoto ni Askofu wa Dayosisi ya Dar es Salaam, Dk Valentino Mokiwa. (Picha na Fadhili Akida).WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe amelipongeza Kanisa la Anglikana nchini kwa kusimama kidete bila hofu kupinga ndoa za jinsia moja, hata pale makanisa mengine ya Anglikana duniani, yalipoamua kufanya hivyo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mkuu wa kanisa Anglikana azuru Misri

Askofu mkuu wa Cantebury ,Justin Welby anawatembelea viongozi wa kisiasa pamoja na wale wa kidini nchini Misri

 

10 years ago

Michuzi

MEMBE APONGEZA KANISA LA ANGLIKANA KUPINGA USHOGA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard Membe, amelipongeza Kanisa la Anglikana Tanzania kwa kusimama kidete kupinga ndoa za jinsia moja, hata pale makanisa mengine ya Anglikana duniani yalipounga mkono suala hilo.Akizindua sherehe za Miaka Hamsini tangu kuanzishwa kwa Dayosisi ya Dar es Salaam ya Kanisa hilo jana, Mhe. Membe alisema msimamo huo wa Kanisa na Watanzania uliipa serikali nguvu kukataa shinikizom kutoka nchi za Magharibi kwamba iidhinishe ushoga hapa...

 

5 years ago

Mwananchi

Malasusa aongoza ibada kuliaga kanisa litakalokumbwa na bomoabomoa

 “Kwaheri kanisa letu.” Ndiyo maneno yaliyokuwa yakisemwa na waumini wa Usharika wa Kibamba wakati Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT) Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Dk Alex Malasusa akiwaongoza waumini wa kanisa hilo katika ibada ya mwisho jana, kabla ya kanisa hilo kubomolewa.

 

10 years ago

Habarileo

Anglikana Dar kesho kuzindua maadhimisho ya miaka 50

KANISA la Anglikana Tanzania, Dayosisi ya Dar es Salaam, kesho linatarajia kuzindua maadhimisho ya miaka 50 ya Dayosisi hiyo ya utoaji huduma za kiroho, kiuchumi na kijamii yatakayokwenda sambamba na shughuli mbalimbali yakiwemo makongamano yatakayohusisha makundi mbalimbali.

 

10 years ago

Vijimambo

Waziri Membe akiwa katika uzinduzi wa miaka 50 ya Anglikana dayosis ya Dar es salaa

Maadhimisho ya Miaka 50 ya Anglikana Dayosis ya Dar es salaam iliyofanyika katika Kanisa la Mt. Albano, jijini Dar es salaam. Mhe. Bernard Membe akifuatilia Ibada ya miaka 50 ya Angligana Dayosis ya Dar es Salam siku ya Jumapili Januari 4, 2015 

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani