Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri Membe akiwa katika uzinduzi wa miaka 50 ya Anglikana dayosis ya Dar es salaa

Maadhimisho ya Miaka 50 ya Anglikana Dayosis ya Dar es salaam iliyofanyika katika Kanisa la Mt. Albano, jijini Dar es salaam. Mhe. Bernard Membe akifuatilia Ibada ya miaka 50 ya Angligana Dayosis ya Dar es Salam siku ya Jumapili Januari 4, 2015 

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

HOTUBA YA MHESHIMIWA BERNARD MEMBE KWENYE MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA KANISA ANGLIKANA, DAYOSISI YA DAR ES SALAAM LEO

 MHESHIMIWA BERNARD MEMBE, WAZIRI WAMAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA 

 

10 years ago

Habarileo

Anglikana Dar kesho kuzindua maadhimisho ya miaka 50

KANISA la Anglikana Tanzania, Dayosisi ya Dar es Salaam, kesho linatarajia kuzindua maadhimisho ya miaka 50 ya Dayosisi hiyo ya utoaji huduma za kiroho, kiuchumi na kijamii yatakayokwenda sambamba na shughuli mbalimbali yakiwemo makongamano yatakayohusisha makundi mbalimbali.

 

10 years ago

Habarileo

Membe apongeza Kanisa Anglikana

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe akibonyeza kengele kuashiria uzinduzi wa Sherehe ya Miaka 50 ya Kanisa Anglikana Tanzania Dayosisi ya Dar es Salaam, iliyofanyika kwenye Kanisa la Mt. Albano jijini jana. Kushoto ni Askofu wa Dayosisi ya Dar es Salaam, Dk Valentino Mokiwa. (Picha na Fadhili Akida).WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe amelipongeza Kanisa la Anglikana nchini kwa kusimama kidete bila hofu kupinga ndoa za jinsia moja, hata pale makanisa mengine ya Anglikana duniani, yalipoamua kufanya hivyo.

 

10 years ago

Vijimambo

MEMBE APONGEZA ANGLIKANA KUPINGA USHOGA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Kamillius Membe akizindua sherehe ya miaka 50 ya Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es salaam, katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Albano, jijini Dar es salaam jana Jumapili, Januari 4, 2015, akishuhudiwa na Dk. Valentine Mokiwa, Askofu wa Dayosisi ya Dar es Salaam. Waziri Membe akizungumza katika sherehe hiyo Wachungaji wakimsikiliza Mheshimiwa Membe kwa makini wakati akiongea. Masista nao wakifuatilia Askofu Mokiwa akitoa...

 

10 years ago

Michuzi

MEMBE APONGEZA KANISA LA ANGLIKANA KUPINGA USHOGA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard Membe, amelipongeza Kanisa la Anglikana Tanzania kwa kusimama kidete kupinga ndoa za jinsia moja, hata pale makanisa mengine ya Anglikana duniani yalipounga mkono suala hilo.Akizindua sherehe za Miaka Hamsini tangu kuanzishwa kwa Dayosisi ya Dar es Salaam ya Kanisa hilo jana, Mhe. Membe alisema msimamo huo wa Kanisa na Watanzania uliipa serikali nguvu kukataa shinikizom kutoka nchi za Magharibi kwamba iidhinishe ushoga hapa...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MEMBE MGENI RASMI MAADHIMISHO YA MIAKA 25 YA UHURU WA NAMIBIA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akitoa hotuba wakati wa maadhimisho ya miaka 25 ya Uhuru wa Jamhuri ya Namibia. Maadhimisho hayo ambayo yaliandaliwa na Ubalozi wa Namibia hapa nchini yalifanyika katika Hoteli ya Hyatt Regency Jijini Dar es Salaam tarehe 23 Machi, 2015. Namibia ilipata uhuru wake mwaka 1990.
Balozi Isaack akitoa hotuba wakati wa maadhimisho hayoWaziri Membe na Balozi Isaack wakikata keki kuadhimisha miaka 25 ya Uhuru wa...

 

10 years ago

Michuzi

Waziri wa Maliasili na Utalii akiwa katika mikoa ya Arusha na Kilimanjaro

Waziri wa Maliasili na Utalii,Mh. Lazaro Nyalandu na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Misitu Tanzania (TFS),Juma Mgoo wakikagua shamba la miti la Meru jana alipotembelea shamba la miti la mkoani Arusha. Waziri wa Maliasili na Utalii,Mh. Lazaro Nyalandu akikagua ujenzi wa kanisa la Kiinjili la Kilutheri, Usharika wa Ivume wilayani Siha mkoani Kilimanjaro alipoendesha harambee ya kuchangia ujenzi huo.Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Mh. Leonidas Gama akizungumza na viongozi wa kamati ya Ulinzi na Usalama...

 

10 years ago

Vijimambo

Waziri Membe: Hakuna Mtanzania katika mauaji ya Wageni Afrika Kusini

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Benard K. Membe (Mb.) akizungumza na Waandishi wa Habari nchini kuhusiana machafuko yanayoendelea nchini Afrika ya Kusini. Mkuu wa Kitengo cha Sheria katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Irene Kasyanju (wa kwanza kulia) akiwa na Mkurugenzi Idara ya Amerika na Ulaya Balozi Joseph Sokoine (kushoto) na Balozi wa Tanzania nchini Uswisi, Mhe. Modest Mero wakimsikiliza Waziri Membe (hayupo pichani) alipokuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani