Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Anglikana Dar kesho kuzindua maadhimisho ya miaka 50

KANISA la Anglikana Tanzania, Dayosisi ya Dar es Salaam, kesho linatarajia kuzindua maadhimisho ya miaka 50 ya Dayosisi hiyo ya utoaji huduma za kiroho, kiuchumi na kijamii yatakayokwenda sambamba na shughuli mbalimbali yakiwemo makongamano yatakayohusisha makundi mbalimbali.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

HOTUBA YA MHESHIMIWA BERNARD MEMBE KWENYE MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA KANISA ANGLIKANA, DAYOSISI YA DAR ES SALAAM LEO

 MHESHIMIWA BERNARD MEMBE, WAZIRI WAMAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA 

 

10 years ago

Michuzi

MKUYA KUZINDUA MAADHIMISHO YA MIAKA 10 YA PPRA

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii
WAZIRI wa Fedha na Uchumi, Saada Salum Mkuya anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa maadhimisho ya miaka 10 ya Mamlaka ya Udhibiti wa Manunuzi ya Umma (PPRA) yatakayofanyika Mei, 19 katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.
Akizungumza leo na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa Bodi ya PPRA, Balozi Dk. Matern Lumbanga, amesema lengo la maadhimisho ni kukutanisha wadau wa manunuzi ya umma nchini kujadili mafanikio katika...

 

10 years ago

Vijimambo

Waziri Membe akiwa katika uzinduzi wa miaka 50 ya Anglikana dayosis ya Dar es salaa

Maadhimisho ya Miaka 50 ya Anglikana Dayosis ya Dar es salaam iliyofanyika katika Kanisa la Mt. Albano, jijini Dar es salaam. Mhe. Bernard Membe akifuatilia Ibada ya miaka 50 ya Angligana Dayosis ya Dar es Salam siku ya Jumapili Januari 4, 2015 

 

10 years ago

Michuzi

Maadhimisho Ya Miaka 70 ya Mfuko wa Pensheni wa LAPF Kuanza Kesho Mjini Arusha

Maandalizi ya Mkutano Mkuu wa Saba wa wadau wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF, yamekamilika ambapo mkutano huo utahudhuriwa na wajumbe zaidi ya 700 toka nchini na nje ya nchi.
Akizungumza na waandishi wa habari leo mjini Arusha, Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF Bw. Eliud Sanga, amesema maadalizi yote ya mkutano huo, wenye kauli mbiu ya "Maadhimisho ya Miaka 70 ya Ukuaji na Huduma Bora, LAPF", yamekamilika ambapo utakwenda sambamba na maadhimisho ya miaka 70 tangu kuanzishwa kwa Mfuko...

 

10 years ago

Michuzi

QCHILLA KUZINDUA VIDEO YA “ FOR YOU,POWER OF LOVE” KESHO JIJINI DAR.

Msanii wa muziki wa kizazi kipya  Abubakari Katwila a.k.a Qchilla akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Idara ya habari MAELEZO jijini Dar es Salaam kuhusiana na kuzindua  video yake ya  wimbo utakaojulikana kwa jina la  FOR YOU,POWER OF LOVE, kushoto ni Menaja wa kampuni ya Qs Mhonda J, Joseph Mhonda a.k.a Qs Mhonda J. Menaja wa kampuni ya Qs Mhonda J, Joseph Mhonda a.k.a Qs Mhonda J. akizungumza kuhusiana na kuzindua  video ya wimbo ulioimbwa na Q uchilla,utakaojulikana kwa...

 

11 years ago

Michuzi

MWENYEKITI WA CCM,RAIS JAKAYA KIKWETE AWASILI JIJINI MBEYA JIONI YA LEO TAYARI KWA KUONGOZA MAADHIMISHO YA MIAKA 37 YA CCM KESHO.

 Mwenyekiti wa chama cha CCM,Rais Jakaya Kikwete akiwapungia Viongozi mbalimbali wa chama,Serikali,na viongozi wa dini na watu mbalimbali (hawapo pichani) waliofika kumpokea mara baada kuwasili jioni ya leo kwenye uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Songwe  tayari kwa kuongoza maadhimisho ya sherehe za miaka 37 ya chama hicho yatakayofanyika kwenye uwanja wa kumbukumbu wa Sokoine mjini humo.   Pichani Kati ni Mwenyekiti wa CCM,Rais Jakaya Kikwete akiwa ameambatana na Katibu Mkuu wa chama...

 

10 years ago

Michuzi

MAADHIMISHO YA MIAKA KUMI YA PPRA YAZINDULIWA JIJINI DAR LEO

  Mgeni rasmi Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha (fedha za nje na madeni).Bi Dorothy Mwanyika akizindua maadhimisho ya miaka kumi ya  Mamlaka ya Udhibiti na Manunuzi ya Umma (PPRA) ilioanzishwa mwaka 2015  katika siku moja ya semina ya Wadau wa Habari na PPRA kuhusiana na wajibu wa vyombo vya habari katika kutoa mchango wake kwenye manunuzi ya umma,ambayo inafanyika leo ndani ya ukumbi wa Diamond VIP jijini Dar. Balozi,Mwenyekiti wa bodi ya  Mamlaka ya Udhibiti na Manunuzi wa Umma...

 

10 years ago

Michuzi

Maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara yafana jijini Dar leo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwapungia mikono wananchi waliofurika katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam katika Maadhimisho ya sherehe za miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara akiwa katika Gari maalum liliozunguuka katika uwanja huo leo.Kushoto ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama,Jenerali Davis Mwamunyange.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikagua Gwaride la Vikosi vya Ulinzi na Usalama lilioandaliwa katika...

 

10 years ago

Vijimambo

SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 51 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR, UWANJA WA UHURU DAR LEO

Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akipunga mkono kuwasalimia wananchi wakati alipokuwa akiwasili kwenye Uwanja wa Uhuru, Jijini Dar es salaam, leo kwa ajili ya kuhudhuria Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Kushoto ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Davis MwamunyangeMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa na baadhi ya Viongozi wenzake wa Serikali, wakisimama kutoa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani