Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


QCHILLA KUZINDUA VIDEO YA “ FOR YOU,POWER OF LOVE” KESHO JIJINI DAR.

Msanii wa muziki wa kizazi kipya  Abubakari Katwila a.k.a Qchilla akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Idara ya habari MAELEZO jijini Dar es Salaam kuhusiana na kuzindua  video yake ya  wimbo utakaojulikana kwa jina la  FOR YOU,POWER OF LOVE, kushoto ni Menaja wa kampuni ya Qs Mhonda J, Joseph Mhonda a.k.a Qs Mhonda J. Menaja wa kampuni ya Qs Mhonda J, Joseph Mhonda a.k.a Qs Mhonda J. akizungumza kuhusiana na kuzindua  video ya wimbo ulioimbwa na Q uchilla,utakaojulikana kwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Africanjam.Com

NEW VIDEO: POWER OF LOVE - Q CHIEF (Official Video)




Africanjam is website that came into service December 2013(with another domain) and on April 2014 the new domain Africanjam(dot)com came into use. It was found by John Kapela who is currently in Dar es Salaam Tanzania. This site provides news from Africa and all over the world in Politics, Sports, Entertainment as well as Technology tips and some Amazing Facts. We also provide Football updates from all over the world. Visit this site everyday for being in touch with everything happening in...

 

10 years ago

Habarileo

Anglikana Dar kesho kuzindua maadhimisho ya miaka 50

KANISA la Anglikana Tanzania, Dayosisi ya Dar es Salaam, kesho linatarajia kuzindua maadhimisho ya miaka 50 ya Dayosisi hiyo ya utoaji huduma za kiroho, kiuchumi na kijamii yatakayokwenda sambamba na shughuli mbalimbali yakiwemo makongamano yatakayohusisha makundi mbalimbali.

 

10 years ago

Dewji Blog

T.I kuzindua mavazi yake jijini Dar es Salaam

securedownload (1)

Baada ya Tamasha la Fiesta kutangaza rasmi kuwa rapa na mshindi wa tuzo za Grammy, T.I wa Marekani kuwa ndiye msanii mkubwa wa kimataifa atakayekuja kutoa burudani siku ya kilele chake hapa Dar es Salaam, leo pia imetangazwa rasmi kuwa mavazi ya T.I ya Hustle Gang, Akoo pamoja na Strivers Row nayo yatazinduliwa rasmi katika duka la Pop Up Shop lililopo katika super market ya Dar Free Market siku ya tarehe 18-October, 2014.

Akizungumzia uzinduzi huo wa mavazi ya T.I, Mkurugenzi Mtendaji wa...

 

10 years ago

Bongo5

Wakazi leo kuzindua video ya ‘Wanawake wa Dar’

Rapper Wakazi leo atafanya uzinduzi wa video ya wimbo wake ‘Wanawake wa Dar’. Uzinduzi huo utafanyika M.O.G Bar and Restaurant jijini Dar es Salaam. Kwenye uzinduzi huo pia teaser ya wimbo wa Lady Jaydee ‘Forever’ itaoneshwa.

 

10 years ago

Michuzi

BONNY MWAITEGE KUZINDUA ALBAMU TATU KWA MPIGO AGOSTI 2 JIJINI DAR

MKURUGENZI wa Msama Promotions, Alex Msama  amewaita Maaskofu na viongozi wengine wa dini katika uzinduzi wa albamu tatu za mwimbaji nguli Bonny Mwaitege zinazotarajia kuzinduliwa Agosti 2 kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.
Kwa  mujibu  wa  Msama  ambaye  ni  mdhamini  wa  uzinduzi  huo, Maaskofu watafikisha  ujumbe wa neno la Mungu  kwa karibu zaidi baada ya waimbaji kumaliza kazi yao jukwaani.
Msama alisema uzinduzi huo unatarajia kusindikizwa na waimbaji mbalimbali wa...

 

11 years ago

Michuzi

ROSE MUHANDO KUZINDUA ALBAMU YAKE YA FACEBOOK AGOSTI 3/2014 JIJINI DAR

Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama akizungumza na waandishi wa habari kwenye viwanja vya Karimjee leo wakati alipokua akitangaza Uzinduzi mkubwa wa Albam ya Shikilia Pindo maarufu ka FACEBOOK ya mwimbaji wa muziki wa injili anayevuma, Rose Muhando utakaofanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee Agosti 3 /2014 jijini Dar es salaam, ambapo amesema baadhi ya mapato yatakwenda kuviwezesha mitaji zaidi ya vituo 10 vya watoto yatima jijini Dar es salaam.   Mkurugenzi wa...

 

10 years ago

Vijimambo

UZINDUZI RASMI WA KAMPENI YA WAZAZI NIPENDENI NI KESHO VIWANJA VYA MWEMBE YANGA JIJINI DAR ES SALAAM MAANDALIZI YAMEKAMILIKA WANA MUZIKI LULUKI KUTOA BURUDANI WANDUGU SAIDIA TUTANI UZINDUZI RASMI NI KESHO

 Mshauri wa masuala ya Malaria kutoka Taasisi ya Jhpiego, Jasmin Chadewa (kushoto), akitoa huduma ya kumpa dawa ya vitamini A, mtoto Rahim Simai,  viwanja vya Mwembe Yanga Dar es Salaam leo asubuhi ikiwa ni utoaji huduma wa elimu ya afya kwa wajawazito na matumizi ya dawa aina ya SP, upimaji wa malaria pamoja na matumizi ya vyandarua kama muendelezo wa huduma za afya ya mama mjamzito na mtoto kuelekea uzinduzi wa awamu ya pili wa Kampeni ya Wazazi Nipendeni utakaofanyika kesho katika viwanja...

 

10 years ago

Dewji Blog

Jeshi la polisi nchini lashiriki kuzindua magari mapya ya kampuni ya ulinzi ya Security Group Afrika Jijini Dar

1

Mwakilishi wa Mkuu wa Jeshi la polisi nchini Kamishina wa Polisi Mussa Ally Mussa akiwa na mkuu wa jeshi la polisi mstaafu Philimon Mgaya akikata utepe wa kuashiria kuzindua magari mapya zaidi ya ishirini ya kampuni ya ulinzi ya Security Group Africa ambayo yataanza kutumika katika kazi mbalimbali za kampuni hiyo hivi karibuni.Katikati yao ni mkurugenzi mkuu wa kampuni hiyo Eric Sambu.  

Mwakilishi wa Mkuu wa jeshi la polisi nchini Kamishina wa Polisi Mussa Ally Mussa  akipokea msaada wa...

 

10 years ago

GPL

AISHA MADINDA KUZIKWA KESHO JIJINI DAR

Aisha Madinda - enzi za uhai wake alipokuwa stejini. ALIYEKUWA mnenguaji na mwimbaji wa Bendi ya Twanga Pepeta, Aisha Madinda aliyefariki jana asubuhi, atazikwa kesho mchana badala ya leo kama ilivyokuwa imepangwa hapo awali. Mtoto wa kwanza marehemu, Feisal amesema kuwa polisi wamesema ni lazima mwili wa mama yake ufanyiwe upasuaji (postmortem) ili kujua chanzo cha kifo chake. Awali ndugu wa marehemu walisema hawahitaji Asha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani