AISHA MADINDA KUZIKWA KESHO JIJINI DAR
Aisha Madinda - enzi za uhai wake alipokuwa stejini. ALIYEKUWA mnenguaji na mwimbaji wa Bendi ya Twanga Pepeta, Aisha Madinda aliyefariki jana asubuhi, atazikwa kesho mchana badala ya leo kama ilivyokuwa imepangwa hapo awali. Mtoto wa kwanza marehemu, Feisal amesema kuwa polisi wamesema ni lazima mwili wa mama yake ufanyiwe upasuaji (postmortem) ili kujua chanzo cha kifo chake. Awali ndugu wa marehemu walisema hawahitaji Asha...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
CloudsFM18 Dec
AISHA MADINDA KUZIKWA LEO
Aliyekuwa mnenguaji wa bendi ya Twanga Pepeta na Extra Bongo,marehemu Aisha Madinda anatarajiwa kuzikwa leo nyumbani kwao Kigamboni,jijini Dar.
Hapa Aisha akiwa na watoto wake enzi ya uhai wake.
Kwa mujibu wa mtoto wake wa kwanza aitwaye Faisal Madinda alisema kuwa asubuhi wako katika hospitali ya Mwananyamala kuuandaa mwili wa marehemu na baadaye wataupeleka nyumbani kwao maeneo ya Kigamboni na atazikwa leo saa kumi jioni.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jF779BPAXfYyjXCDxjVFBsExdaEL8aAGy4GFohcAVfnucCwVzKRKjtSYLIphDA0fLsOePVSldtIu4a79WxPdbnCO9VJEQznO/MSIBA.jpg?width=650)
TASWIRA KUTOKA MSIBANI KWA AISHA MADINDA, KIGAMBONI JIJINI DAR
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jF779BPAXfZL-5BJ0OPbb3STk6edKQM-Lq3zfyCvyCw8m1IaHfOOHdLDss96bNV8mEl5WkHFdEFu-0tTAK*9hEGqAKRMWElr/mazikoaisha1.jpg)
MWILI WA AISHA MADINDA WAZIKWA MAKABURI YA KIBADA, KIGAMBONI JIJINI DAR
10 years ago
CloudsFM19 Dec
HATIMAYE MWILI WA AISHA MADINDA WAFANYIWA UCHUNGUZI KUZIKWA LEO MCHANA
Akizungumza na mtandao Saluti5, mkurugenzi wa Aset Asha Baraka amebainisha kuwa upasuaji umeanza dakika 10 zilizopita na ni zoezi linalotarajiwa kuchukua masaa mawili.
Asha Baraka amesema baada ya zoezi hilo, watauosha mwili wa marehemu katika msikiti ulioko hapo Muhimbili ikiwa ni pamoja na uvishaji wa sanda kabla ya kuelekea nyumbani kwao...
10 years ago
Mwananchi18 Dec
Polisi wazuia mazishi ya Aisha Madinda hadi kesho
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-FVPeEemDNeY/VJLIp2m2ytI/AAAAAAAG4JE/xHuIvGbK-u8/s72-c/IMG_1612.jpg)
Just in: polisi wachunguza sababu ya kifo cha aisha madinda, mazishi yanatarajiwa kufanyika kesho Kigamboni
![](http://3.bp.blogspot.com/-FVPeEemDNeY/VJLIp2m2ytI/AAAAAAAG4JE/xHuIvGbK-u8/s1600/IMG_1612.jpg)
10 years ago
TheCitizen19 Dec
OUT&ABOUT: Aisha Madinda dies in Dar
10 years ago
Dewji Blog12 Nov
Mwili wa marehemu Robert Lengeju waagwa Jijini Dar kuzikwa kesho Kipera Morogoro
Hili ndilo sanuku lililouhifadhi mwili wa Mwandishi/Mchambuzi wa Jukwaa Maalumu la MWALE WA DEMOKRASIA katika Gazeti la Raia Tanzania (Gazeti dada la Raia Mwema), kila Alhamisi. Mwili wa shujaa huyo wa Demokrasia uliswaliwa katika Kanisa Katoliki M<simbazi Jijini Dar es Salaam leo.
Watu mbalimbali walihudhuria katika misa hiyo ya kumsindikiza Lengeju katika safari yake ya mwisho kabla ya maziko yatakayo fanyika kesho (Novemba 13,2014) Kijijini kwako Kipera, Kata na Tarafa ya Mlali, Wilaya...
10 years ago
Michuzi12 Nov
MWILI WA MAREHEMU ROBERT LENGEJU WAAGWA JIJINI DAR ES SALAAM KUZIKWA KESHO KIPERA MOROGORO.
Watu mbalimbali walihudhuria katika misa hiyo ya kumsindikiza Lengeju katika safari yake ya mwisho kabla ya maziko yatakayo fanyika kesho (Novemba 13,2014) Kijijini kwako Kipera, Kata na Tarafa ya Mlali,...