Polisi wazuia mazishi ya Aisha Madinda hadi kesho
Jeshi la polisi limezuia mazishi ya aliyekuwa mnenguaji wa Twanga Pepeta na Extra Bongo, Aisha Madinda hadi hapo mwili wake utakapofanyiwa uchunguzi kutokana na utata wa kifo chake.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
Just in: polisi wachunguza sababu ya kifo cha aisha madinda, mazishi yanatarajiwa kufanyika kesho Kigamboni

10 years ago
GPLSTEVE NYERERE ACHANGISHA PESA ZA MAZISHI YA AISHA MADINDA
10 years ago
GPL
AISHA MADINDA; KUTOKA KIGOMA, UHOLANZI, DUBAI HADI KIFO!
10 years ago
GPLAISHA MADINDA KUZIKWA KESHO JIJINI DAR
10 years ago
CloudsFM18 Dec
KIFO CHA AISHA MADINDA KINA UTATA,MAZISHI YAAHIRISHWA KUPISHA UCHUNGUZI
Mazishi ya aliyekuwa mnenguaji wa bendi za Twanga Pepeta na Extra Bongo,Aisha Madinda yameahirishwa hadi majibu ya uchunguzi yatakapofanyika na kutolewa na hospitali ya taifa ya Muhimbili, ilidaiwa Aisha Madinda aliyefariki jana mchana wakati akikimbizwa hospitalini, na kwa mujibu wa hospitali ya Mwananyamala mpaka anafikishwa hospitali na waliupima mwili na kugundua alikwisha fariki dunia. Clouds FM imezungumza na mtoto wa kwanza wa marehem aitwaye, Feisal Madinda alisema kuwa mazishi...
10 years ago
GPL
WALIOMUUA AISHA MADINDA WASAKWA!
10 years ago
CloudsFM18 Dec
AISHA MADINDA KUZIKWA LEO
Aliyekuwa mnenguaji wa bendi ya Twanga Pepeta na Extra Bongo,marehemu Aisha Madinda anatarajiwa kuzikwa leo nyumbani kwao Kigamboni,jijini Dar.
Hapa Aisha akiwa na watoto wake enzi ya uhai wake.
Kwa mujibu wa mtoto wake wa kwanza aitwaye Faisal Madinda alisema kuwa asubuhi wako katika hospitali ya Mwananyamala kuuandaa mwili wa marehemu na baadaye wataupeleka nyumbani kwao maeneo ya Kigamboni na atazikwa leo saa kumi jioni.
11 years ago
GPL
AISHA MADINDA MUNGU MKUBWA!
10 years ago
GPL
AISHA MADINDA AFARIKI DUNIA