Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AISHA MADINDA; KUTOKA KIGOMA, UHOLANZI, DUBAI HADI KIFO!

Aisha Madinda akiwa na mkurugenzi wa ASET Asha Baraka.
Makala: Sifael Paul na Gladness Mallya Amekwenda mapema mno! Siku ya Desemba 17, mwaka huu haikuwa poa hata kidogo kwenye tasnia ya muziki wa dansi Bongo katika kipengele cha unenguaji.
Chumba chetu cha habari cha Global Publishers kinachofanya kazi kwa karibu na mastaa Bongo kilipata mshtuko wa aina yake. Zilikuwa ni habari mbaya za kifo cha aliyekuwa mnenguaji bei...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MSIBA WAMSOTESHA AISHA MADINDA DUBAI

Stori: Gladness Mallya ZOEZI alilokuwa akilifanya Mkurugenzi wa Bendi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta’, Asha Baraka la kufanya mpango wa kumrudisha nchini mnenguaji Aisha Madinda amelisitisha kwa muda baada ya kupata msiba mzito wa mdogo wake na kumfanya mwanadada huyo aendelee kusota Dubai. Mnenguaji  wa Twanga Pepeta, Aisha Madinda . Akizungumza na gazeti hili, Asha alisema alipata msiba wa mdogo wake...

 

10 years ago

Mwananchi

Polisi wazuia mazishi ya Aisha Madinda hadi kesho

Jeshi la polisi limezuia mazishi ya aliyekuwa mnenguaji wa Twanga Pepeta na Extra Bongo, Aisha Madinda hadi hapo mwili wake utakapofanyiwa uchunguzi kutokana na utata wa kifo chake.

 

10 years ago

GPL

MANENO YA MWISHO YA AISHA MADINDA ALIKIONA KIFO CHAKE

Stori: Gladness Mallya
SIKU chache kabla ya kupatwa na umauti, mnenguaji mkongwe Bongo, Mwanaisha Mbegu ‘Aisha Madinda’ alifunguka maneno ambayo yalionesha dhahiri kama alikiona kifo chake. Kwenye mazungumzo hayo aliyozungumza na mwanahabari wetu, Aisha alisema atatoa habari nzito ambazo zitaripotiwa na magazeti matatu na kudai ni ‘sapraiz’. Mnenguaji mkongwe Bongo, Mwanaisha Mbegu ‘Aisha...

 

10 years ago

CloudsFM

KIFO CHA AISHA MADINDA KINA UTATA,MAZISHI YAAHIRISHWA KUPISHA UCHUNGUZI

Mazishi ya aliyekuwa mnenguaji wa bendi za Twanga Pepeta na Extra Bongo,Aisha Madinda yameahirishwa hadi majibu ya uchunguzi yatakapofanyika na kutolewa na hospitali ya taifa ya Muhimbili, ilidaiwa Aisha Madinda aliyefariki jana mchana wakati akikimbizwa hospitalini, na kwa mujibu wa hospitali ya Mwananyamala mpaka anafikishwa hospitali na waliupima mwili na kugundua alikwisha fariki dunia. Clouds FM imezungumza na mtoto wa kwanza wa marehem aitwaye, Feisal Madinda alisema kuwa mazishi...

 

10 years ago

Michuzi

Just in: polisi wachunguza sababu ya kifo cha aisha madinda, mazishi yanatarajiwa kufanyika kesho Kigamboni

Jeshi la Polisi leo limezuia mazishi ya aliyekuwa mnenguaji nguli wa bendi Aisha Mohammed Mbegu (Aisha Madinda) ili kujua mimi kilichosababisha kifo chake. Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya The African Stars Entertainment (ASET) Bi. Asha Baraka amethibitisha hilo na kusema  kwamba mwili ndiyo ulikua unapelekwa Muhimbili kwa ajili ya uchunguzi. “Mjomba wa marehemu amejaribu kuwaomba sana Polisi waache kuuchunguza mwili wa Aisha kwani wamemshukuru Mungu kwa yote lakini wamekataa hivyo hadi...

 

10 years ago

GPL

TASWIRA KUTOKA MSIBANI KWA AISHA MADINDA, KIGAMBONI JIJINI DAR

Baadhi ya waombolezaji wakiwa nyumbani kwa marehemu Aisha Madinda, Kigamboni jijini Dar leo.…

 

10 years ago

GPL

AISHA MADINDA AFARIKI DUNIA

ALIYEKUWA mnenguaji na mwimbaji wa Bendi ya Twanga Pepeta, Aisha Madinda amefariki dunia hivi punde jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi wa ASET, Asha Baraka amethibitisha kutokea kifo hicho na kuongeza kuwa mwili wa marehemu kwa sasa umehifadhiwa katika Hospitali ya Mwananyamala, Dar.…

 

10 years ago

CloudsFM

AISHA MADINDA KUZIKWA LEO

Aliyekuwa mnenguaji wa bendi ya Twanga Pepeta na Extra Bongo,marehemu Aisha Madinda anatarajiwa kuzikwa leo nyumbani kwao Kigamboni,jijini Dar.

Hapa Aisha akiwa na watoto wake enzi ya uhai wake.

Kwa mujibu wa mtoto wake wa kwanza aitwaye Faisal Madinda alisema kuwa asubuhi wako katika hospitali ya Mwananyamala kuuandaa mwili wa marehemu na baadaye wataupeleka nyumbani kwao maeneo ya Kigamboni na atazikwa leo saa kumi jioni.

 

 

10 years ago

CloudsFM

Lala salama Aisha Madinda

Jeneza likiwa tayari kusubiri mwili wa marehemu Aisha Madinda msibani maeneo ya Kigamboni,jijini Dar.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani