MSIBA WAMSOTESHA AISHA MADINDA DUBAI
![](http://api.ning.com:80/files/lYnNv0-ng5AvHnRkKe3-aWYbVWCkbembUiUsOc*opJ5sWkU6JVqIVtNmKaBklIVTrz*sm02ZkNDHwJKoZKDHUdnfdlknGnIx/MADINDA.jpg)
Stori: Gladness Mallya ZOEZI alilokuwa akilifanya Mkurugenzi wa Bendi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta’, Asha Baraka la kufanya mpango wa kumrudisha nchini mnenguaji Aisha Madinda amelisitisha kwa muda baada ya kupata msiba mzito wa mdogo wake na kumfanya mwanadada huyo aendelee kusota Dubai. Mnenguaji wa Twanga Pepeta, Aisha Madinda . Akizungumza na gazeti hili, Asha alisema alipata msiba wa mdogo wake...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/iJVROLF4NIuXPv1DFnzacqC4U*CWVZ3EtBQyd85KnySlSNlXRAW5Qa2PUgB2qNB*ITuEnOHi3qZ6Y7fNuD306waEp-yVpXAv/aishaaa.jpg)
AISHA MADINDA; KUTOKA KIGOMA, UHOLANZI, DUBAI HADI KIFO!
10 years ago
Bongo517 Dec
Ray C asitisha kuachia wimbo mpya kufuatia msiba wa Aisha Madinda
10 years ago
CloudsFM18 Dec
RAY C AAHIRISHA KUSAMBAZA NGOMA YAKE MPYA KUPISHA MSIBA WA AISHA MADINDA
STAA wa Bongo Fleva,Rehema Chalamila’’Ray C’ ameahirisha kuisambaza ngoma yake kwenye vituo vya redio kupisha msiba wa rafiki yake wa siku nyingi marehemu Aisha Madinda,ngoma hiyo inaitwa Nishum Shum tayari ipo kwenye mitandao.
10 years ago
CloudsFM19 Dec
Lala salama Aisha Madinda
Jeneza likiwa tayari kusubiri mwili wa marehemu Aisha Madinda msibani maeneo ya Kigamboni,jijini Dar.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dbDz8bz8Q7mtk1FNWWbBusTk-frmAyr7uaeQfRCFtjGApcxt*RjaMyGhJGriuoWXV7hWu8ocnkPzmkvAE0hopMaK6xAXKVxB/AISHA.jpg)
AISHA MADINDA MUNGU MKUBWA!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1UL3ifpm7LtxGrrmaxHlsrpt3PHGBJvNedT0loTFwJ0Iyse8-QdvFuIRbF3IWa1f0SlXd2rt49LSrY89XG4o8BsskYdSmlUW/breakingnews.gif)
AISHA MADINDA AFARIKI DUNIA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1D30FS3uScvejF-RPXdrmp0A3qeLuoWZ2*Fo4js6MefJ6KErIMSeKCbnDW21DZfQ4dp1mZK9EZNbjK8TWZN4DWXaJ1OOYwze/AISHA.jpg)
WALIOMUUA AISHA MADINDA WASAKWA!
10 years ago
CloudsFM18 Dec
AISHA MADINDA KUZIKWA LEO
Aliyekuwa mnenguaji wa bendi ya Twanga Pepeta na Extra Bongo,marehemu Aisha Madinda anatarajiwa kuzikwa leo nyumbani kwao Kigamboni,jijini Dar.
Hapa Aisha akiwa na watoto wake enzi ya uhai wake.
Kwa mujibu wa mtoto wake wa kwanza aitwaye Faisal Madinda alisema kuwa asubuhi wako katika hospitali ya Mwananyamala kuuandaa mwili wa marehemu na baadaye wataupeleka nyumbani kwao maeneo ya Kigamboni na atazikwa leo saa kumi jioni.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LWw0InctTwnRPDHceFuI21WjftDkNdOnZ4ZdN7JSTo7UCx1BQBtipTIj2iEKaa4Rnx-T0DuUrjs4ZKpnzBaxBKrbvJE230O2/KADINDA6.jpg?width=650)
AISHA MADINDA: MIMI NIIBE SIMU,