Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WALIOMUUA AISHA MADINDA WASAKWA!

Stori: Waandishi Wetu
Kimenuka! Baada ya kuwepo kwa utata mkubwa juu ya kifo cha aliyekuwa mnenguaji bei mbaya Bongo, Mwanaisha Mohamed Mbegu ‘Aisha Madinda’, inadaiwa kwamba waliohusika na kifo chake sasa wanasakwa kila kona. Mwanaisha Mohamed Mbegu ‘Aisha Madinda’ enzi za uhai wake. Habari kutoka ndani ya Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni, Dar, zilidai kwamba jeshi hilo ndilo lililozuia...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

AISHA MADINDA AFARIKI DUNIA

ALIYEKUWA mnenguaji na mwimbaji wa Bendi ya Twanga Pepeta, Aisha Madinda amefariki dunia hivi punde jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi wa ASET, Asha Baraka amethibitisha kutokea kifo hicho na kuongeza kuwa mwili wa marehemu kwa sasa umehifadhiwa katika Hospitali ya Mwananyamala, Dar.…

 

10 years ago

CloudsFM

AISHA MADINDA KUZIKWA LEO

Aliyekuwa mnenguaji wa bendi ya Twanga Pepeta na Extra Bongo,marehemu Aisha Madinda anatarajiwa kuzikwa leo nyumbani kwao Kigamboni,jijini Dar.

Hapa Aisha akiwa na watoto wake enzi ya uhai wake.

Kwa mujibu wa mtoto wake wa kwanza aitwaye Faisal Madinda alisema kuwa asubuhi wako katika hospitali ya Mwananyamala kuuandaa mwili wa marehemu na baadaye wataupeleka nyumbani kwao maeneo ya Kigamboni na atazikwa leo saa kumi jioni.

 

 

10 years ago

GPL

AISHA MADINDA MUNGU MKUBWA!

Stori: Gladness Mallya Mungu mkubwa! Mkata mayenu wa Bendi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta’, Aisha Madinda amekula shavu la kwenda kunengua Dubai na kuachana na bendi hiyo kwa muda.Kwa mujibu wa chanzo makini ndani ya bendi hiyo, Aisha alikuwa ameshaanza kufanya mazoezi lakini hivi karibuni amekwenda Dubai kwa ajili ya kucheza shoo. Mkata mayenu wa Bendi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta’, Aisha...

 

10 years ago

CloudsFM

Lala salama Aisha Madinda

Jeneza likiwa tayari kusubiri mwili wa marehemu Aisha Madinda msibani maeneo ya Kigamboni,jijini Dar.

 

10 years ago

Mwananchi

Mnenguaji Aisha Madinda afariki dunia

Aliyekuwa mnenguaji mahiri wa bendi ya Twanga Pepeta na Extra Bongo, Aisha Madinda amefariki dunia leo katika Hospitali ya Mwananyamala, jiji Dar es Salaam.

 

11 years ago

GPL

AISHA MADINDA: MIMI NIIBE SIMU,

STORI: Musa Mateja na Shakoor Jongo Mnenguaji maarufu Bongo aliyewahi kutopea kwenye matumizi ya madawa ya kulevya kabla ya hivi karibuni kuamua kuacha, amegandwa na skendo ya kuiba siku lakini mwenyewe alipoulizwa, alishangazwa na madai hayo huku akidai kuwa hawezi kufikia hatua hiyo. Mnenguaji maarufu Bongo, Aisha Madinda. Awali chanzo chetu kilitunyetishia kwamba, mdada huyo alizama kwenye saluni moja iliyopo Kijitonyama na...

 

10 years ago

TheCitizen

OUT&ABOUT: Aisha Madinda dies in Dar

>She was the toast of town in 2000s as she swept fans off their feet during her spell as a queen dancer with the African Stars aka Twanga Pepeta.

 

10 years ago

GPL

MSIBA WAMSOTESHA AISHA MADINDA DUBAI

Stori: Gladness Mallya ZOEZI alilokuwa akilifanya Mkurugenzi wa Bendi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta’, Asha Baraka la kufanya mpango wa kumrudisha nchini mnenguaji Aisha Madinda amelisitisha kwa muda baada ya kupata msiba mzito wa mdogo wake na kumfanya mwanadada huyo aendelee kusota Dubai. Mnenguaji  wa Twanga Pepeta, Aisha Madinda . Akizungumza na gazeti hili, Asha alisema alipata msiba wa mdogo wake...

 

10 years ago

GPL

AISHA MADINDA AFANYIWA KITU MBAYA UARABUNI

Stori: Musa Mateja
MNENGUAJI wa bendi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta International’, Aisha Ramadhani Mbegu maarufu kama ‘Aisha Madinda’, hivi karibuni anadaiwa kufanyiwa kitu mbaya baada ya kupokonywa pasipoti na simu zake kisha kubadilishiwa kazi aliyokusudia kuifanya  na kufanywa hausigeli. Mnenguaji wa bendi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta International’, Aisha Ramadhani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani