Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AISHA MADINDA AFANYIWA KITU MBAYA UARABUNI

Stori: Musa Mateja
MNENGUAJI wa bendi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta International’, Aisha Ramadhani Mbegu maarufu kama ‘Aisha Madinda’, hivi karibuni anadaiwa kufanyiwa kitu mbaya baada ya kupokonywa pasipoti na simu zake kisha kubadilishiwa kazi aliyokusudia kuifanya  na kufanywa hausigeli. Mnenguaji wa bendi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta International’, Aisha Ramadhani...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MREMBO AFANYIWA KITU MBAYA

Mrembo huyo akiwa kwenye gari. Shani Ramadhani
MREMBO mmoja ambaye hakuweza kufahamika jina lake mara moja, amejikuta katika wakati mgumu baada ya kuvuliwa nguo kisha kupigwa na madereva bodaboda. Tukio hilo lililovuta umati wa watu lilitokea juzikati maeneo ya Sinza Makaburini, jijini Dar wakati mrembo huyo akiwa na mpenzi wake ikidaiwa kuwa walitokea katika nyumba ya kulala wageni. Imeelezwa kuwa, mpenzi wa mrembo huyo...

 

11 years ago

GPL

MWANAMUZIKI FM ACADEMIA AFANYIWA KITU MBAYA

Na Shakoor Jongo
DUNIA kweli haina huruma! Kitendo alichofanyiwa  mwanamuziki wa Bendi ya FM Academia ya jijini Dar  anayejulikana kwa jina moja la Flora alfajiri ya kuamkia Desemba 8, mwaka huu ni kibaya katika jamii ya Kitanzania. Flora akiwa hajitambui. Flora akiwa amepata kinywaji ili kuchangamsha mwili wake alijikuta akipigwa na vijana wawili wanaofanya kazi ya kuendesha Bajaj akiwa amewakodi kwa ajili ya kurudi...

 

10 years ago

GPL

NISHA AFANYIWA KITU MBAYA NA VIBAKA

Gladness Mallya
MWANADADA anayefanya vizuri kunako gemu la filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amejikuta katika wakati mgumu baada ya kuvamiwa na vibaka ambao walivunja  gari lake na kuchukua vifaa mbalimbali na fedha dola elfu moja za Marekani sawa na shilingi 1,900,000 za Kitanzania. Mwanadada anayefanya vizuri kunako gemu la filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’. Akielezea tukio hilo, Nisha alisema...

 

11 years ago

GPL

SARA MVUNGI AFANYIWA KITU MBAYA

Stori: Gladness Mallya
MWIMBAJI wa  nyimbo za injili nchini, Sara Mvungi amefanyiwa kitu mbaya kwa kukombwa vitu kibao kwenye bodaboda. Sara Mvungi. Tukio hilo la aina yake lilitokea Jumamosi jioni maeneo ya Kwanyerere, Mikocheni jijini Dar es Salaam ambapo Sara alikuwa kwenye bodaboda ghafla ilitokea nyingine ikiwa kwenye mwendo wa kasi na wahusika walikuwa wawili ambao walimnyang’anya pochi. Akizungumza kwa...

 

10 years ago

GPL

WALIOMUUA AISHA MADINDA WASAKWA!

Stori: Waandishi Wetu
Kimenuka! Baada ya kuwepo kwa utata mkubwa juu ya kifo cha aliyekuwa mnenguaji bei mbaya Bongo, Mwanaisha Mohamed Mbegu ‘Aisha Madinda’, inadaiwa kwamba waliohusika na kifo chake sasa wanasakwa kila kona. Mwanaisha Mohamed Mbegu ‘Aisha Madinda’ enzi za uhai wake. Habari kutoka ndani ya Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni, Dar, zilidai kwamba jeshi hilo ndilo lililozuia...

 

10 years ago

GPL

AISHA MADINDA AFARIKI DUNIA

ALIYEKUWA mnenguaji na mwimbaji wa Bendi ya Twanga Pepeta, Aisha Madinda amefariki dunia hivi punde jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi wa ASET, Asha Baraka amethibitisha kutokea kifo hicho na kuongeza kuwa mwili wa marehemu kwa sasa umehifadhiwa katika Hospitali ya Mwananyamala, Dar.…

 

10 years ago

CloudsFM

AISHA MADINDA KUZIKWA LEO

Aliyekuwa mnenguaji wa bendi ya Twanga Pepeta na Extra Bongo,marehemu Aisha Madinda anatarajiwa kuzikwa leo nyumbani kwao Kigamboni,jijini Dar.

Hapa Aisha akiwa na watoto wake enzi ya uhai wake.

Kwa mujibu wa mtoto wake wa kwanza aitwaye Faisal Madinda alisema kuwa asubuhi wako katika hospitali ya Mwananyamala kuuandaa mwili wa marehemu na baadaye wataupeleka nyumbani kwao maeneo ya Kigamboni na atazikwa leo saa kumi jioni.

 

 

10 years ago

GPL

AISHA MADINDA MUNGU MKUBWA!

Stori: Gladness Mallya Mungu mkubwa! Mkata mayenu wa Bendi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta’, Aisha Madinda amekula shavu la kwenda kunengua Dubai na kuachana na bendi hiyo kwa muda.Kwa mujibu wa chanzo makini ndani ya bendi hiyo, Aisha alikuwa ameshaanza kufanya mazoezi lakini hivi karibuni amekwenda Dubai kwa ajili ya kucheza shoo. Mkata mayenu wa Bendi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta’, Aisha...

 

10 years ago

CloudsFM

Lala salama Aisha Madinda

Jeneza likiwa tayari kusubiri mwili wa marehemu Aisha Madinda msibani maeneo ya Kigamboni,jijini Dar.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani