Ray C asitisha kuachia wimbo mpya kufuatia msiba wa Aisha Madinda
Rehema Chalamila aka Ray C ameamua kuahirisha kuachia wimbo wake mpya kufuatia kifo cha mnenguaji wa bendi ya Twanga Pepeta, Aisha Madinda. Ray C ameiambia Bongo5 kuwa imembidi asitishe kusambaza wimbo huo ambao ulikuwa utoke leo na usambazwe kwenye vituo vyote vya radio. “Nikiwa kama msanii kutokana na msiba wa msanii mwenzetu Aisha Madinda,” amesema. […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
CloudsFM18 Dec
RAY C AAHIRISHA KUSAMBAZA NGOMA YAKE MPYA KUPISHA MSIBA WA AISHA MADINDA
STAA wa Bongo Fleva,Rehema Chalamila’’Ray C’ ameahirisha kuisambaza ngoma yake kwenye vituo vya redio kupisha msiba wa rafiki yake wa siku nyingi marehemu Aisha Madinda,ngoma hiyo inaitwa Nishum Shum tayari ipo kwenye mitandao.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/lYnNv0-ng5AvHnRkKe3-aWYbVWCkbembUiUsOc*opJ5sWkU6JVqIVtNmKaBklIVTrz*sm02ZkNDHwJKoZKDHUdnfdlknGnIx/MADINDA.jpg)
MSIBA WAMSOTESHA AISHA MADINDA DUBAI
10 years ago
Bongo531 Oct
Ray C kuachia wimbo mpya MshumMshum (kiss kiss) November hii
9 years ago
Mtanzania08 Dec
Wangechi kuachia wimbo mpya na Ne-Yo
NAIROBI, KENYA
MSANII wa muziki nchini Kenya, Wangechi Mutu, anatarajia kuachia wimbo wake mpya ambao amefanya na mkali wa RnB kutoka nchini Marekani, Ne-Yo.
Wimbo huo uliandaliwa tangu Agosti mwaka huu, hivyo unatarajiwa kuachiwa mwishoni mwa wiki hii huku jina likitarajiwa kutajwa wakati wa utambulisho wa wimbo huo.
“Wimbo ulikuwa tayari muda mrefu, lakini mambo hayakuwa sawa, ila kwa sasa kila kitu kimekamilika na hii ni wiki ya kuachia ngoma hiyo, jina la wimbo litajulikana wakati wa...
9 years ago
Mtanzania09 Nov
Rais Museveni kuachia wimbo mpya
KAMPALA, UGANDA
RAIS wa Uganda, Yoweri Museveni, anatarajia kuachia wimbo wake mpya ambao ameupa jina la ‘Kwezi’ utakaokuwa unachangia shughuli za kampeni za uchaguzi.
Kwezi utakuwa ni wimbo wake wa tatu ndani ya miaka mitano mara baada ya kuachia wimbo wa Mpenkoni, ambao ulitumika sana katika kampeni za uchaguzi mwaka 2011.
Mpaka sasa rais huyo hajapanga siku ya kuuachia, lakini inasemekana ni siku za hivi karibuni kwa kuwa tayari amekaa na baadhi ya wataalamu wa muziki na kuupitia wimbo...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/lO1nR1WSZXvwcdj99TuuPqxi18MC2wwICQqN7c6Rs1jmUfyu-xLyvbnjg93J25kgBhKSwXWhT6L8jzTJOi16f0xb8TOa5C5-/amini80.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-8fVgWl7OpGg/XvX58j4f0FI/AAAAAAALvk8/6JLpDswIEIMNViZCbDU6JnqMDPOytcetwCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200625-WA0575.jpg)
MSANII WA NIGERIA OLAKIRA KUACHIA WIMBO MPYA WA ‘IN MY MASERATI’
![](https://1.bp.blogspot.com/-8fVgWl7OpGg/XvX58j4f0FI/AAAAAAALvk8/6JLpDswIEIMNViZCbDU6JnqMDPOytcetwCLcBGAsYHQ/s1600/IMG-20200625-WA0575.jpg)
MSANII nyota wa miondoko ya Afro Pop, Pop na RnB kutoka Nchini Nigeria, Adefemi Ebenezer maarufu kama Olakira Ijumaa ya 26 Juni anatarajia rasmi kuachia wimbo mpya wa ‘In my Maserati’. Olakira anayetamba na nyimbo bora mbalimbali zikiwemo ‘Aya Mi’, ‘Wakanda Jollof na zingine nyingi ambapo kwa sasa anakuja ba ujio mpya wa wimbo wake...