Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ray C kuachia wimbo mpya MshumMshum (kiss kiss) November hii

Licha ya kuwa nje ya muziki kwa muda mrefu lakini Ray C amesema anatarajia kuachia singo mpya aliyoipa jina la ‘MshumMshum (kiss kiss) Vovember hii. Kupitia Instagram Ray C ameandika jinsi alivyoimiss mic na jukwaa, “Hello to all my fans around the world!kiukweli nimemiss sana jukwaa na Mic……….I just can’t wait to release my new […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Ray C asitisha kuachia wimbo mpya kufuatia msiba wa Aisha Madinda

Rehema Chalamila aka Ray C ameamua kuahirisha kuachia wimbo wake mpya kufuatia kifo cha mnenguaji wa bendi ya Twanga Pepeta, Aisha Madinda. Ray C ameiambia Bongo5 kuwa imembidi asitishe kusambaza wimbo huo ambao ulikuwa utoke leo na usambazwe kwenye vituo vyote vya radio. “Nikiwa kama msanii kutokana na msiba wa msanii mwenzetu Aisha Madinda,” amesema. […]

 

9 years ago

Bongo5

Baghdad kuachia wimbo mpya wenye sauti za watu maarufu/mashuhuri 70 Ijumaa hii!

baghdad

Rapper Baghdad anaachia wimbo mpya Ijumaa hii, wimbo ambao mwenywe anasema utavunja rekodi kutokana na kutumia sauti za watu maarufu/mashuhuri 70.

baghdad

Katika wimbo huo unaoitwa ‘Unaakili wewe?” kamshirikisha Roma.

Kupitia Instagram Baghdad ambaye ameoa hivi karibuni na kupata mtoto wa kwanza, ameandika:

“Wimbo mpya wa baghdad na Roma unatoka tarehe….4th december Ijumaa!! Wimbo huo umevunja rekodi, kwakuwa wimbo uliohusisha watu maarufu/mashuhuri zaidi ya 50! Ndani ya wimbo huo utawasikia watu...

 

10 years ago

BBC

The police officers fired for a kiss

The photograph that got three police officers fired

 

10 years ago

BBC

Angolan apology over gay TV kiss

The producers of a popular television soap in Angola apologise after an episode which showed a gay couple kissing caused outrage among viewers.

 

10 years ago

Michuzi

9 years ago

Bongo5

Music: Kiss Daniel – Good Time

Kiss-Daniel-Good-Time-500x431

G-Worldwide Entertainment dishes out yet another banger from rave of the moment, Kiss Daniel.

Without much ado, listen to the DJ Coublon produced track below & have a “Good Time”

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

BBC News

#BBCtrending: The police officers fired for a kiss


#BBCtrending: The police officers fired for a kiss
BBC News
When is it OK to kiss a colleague? Two Tanzanian police officers, whose kiss was widely shared on social media, have prompted a discussion about just that - and both have also lost their jobs. A relationship with a colleague can throw up any number of ...

 

9 years ago

Bongo5

Video: Kiss Daniel – Good Time

Kiss-Daniel-720x431

G-Worldwide Entertainment presents the official music video to Kiss Daniel latest hit single “GOOD TIME” directed by Aje Films.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani