Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais Museveni kuachia wimbo mpya

Yoweri_MuseveniKAMPALA, UGANDA

RAIS wa Uganda, Yoweri Museveni, anatarajia kuachia wimbo wake mpya ambao ameupa jina la ‘Kwezi’ utakaokuwa unachangia shughuli za kampeni za uchaguzi.

Kwezi utakuwa ni wimbo wake wa tatu ndani ya miaka mitano mara baada ya kuachia wimbo wa Mpenkoni, ambao ulitumika sana katika kampeni za uchaguzi mwaka 2011.

Mpaka sasa rais huyo hajapanga siku ya kuuachia, lakini inasemekana ni siku za hivi karibuni kwa kuwa tayari amekaa na baadhi ya wataalamu wa muziki na kuupitia wimbo...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Wangechi kuachia wimbo mpya na Ne-Yo

Wangechi na Ne YoNAIROBI, KENYA

MSANII wa muziki nchini Kenya, Wangechi Mutu, anatarajia kuachia wimbo wake mpya ambao amefanya na mkali wa RnB kutoka nchini Marekani, Ne-Yo.

Wimbo huo uliandaliwa tangu Agosti mwaka huu, hivyo unatarajiwa kuachiwa mwishoni mwa wiki hii huku jina likitarajiwa kutajwa wakati wa utambulisho wa wimbo huo.

“Wimbo ulikuwa tayari muda mrefu, lakini mambo hayakuwa sawa, ila kwa sasa kila kitu kimekamilika na hii ni wiki ya kuachia ngoma hiyo, jina la wimbo litajulikana wakati wa...

 

10 years ago

BBCSwahili

''Museveni'' atoa wimbo mpya wa kampeni

Wimbo mpya umetolewa nchini uganda ukiwemo sauti ya rais wa nchi hiyo Yoweri Museveni, na kuwaacha wengi wakijiuliza ikiwa umetungwa kwa ajili ya kampeni za uchaguzi ujao

 

5 years ago

Michuzi

MSANII WA NIGERIA OLAKIRA KUACHIA WIMBO MPYA WA ‘IN MY MASERATI’



MSANII nyota wa miondoko ya Afro Pop, Pop na RnB kutoka Nchini Nigeria, Adefemi Ebenezer maarufu kama Olakira   Ijumaa ya 26 Juni anatarajia rasmi kuachia wimbo mpya wa ‘In my Maserati’.  Olakira anayetamba na nyimbo bora mbalimbali zikiwemo  ‘Aya Mi’,  ‘Wakanda Jollof na zingine nyingi ambapo kwa sasa anakuja ba ujio mpya wa wimbo wake...

 

10 years ago

Michuzi

DMV ALL STARS (USA) KUACHIA WIMBO MPYA WA ” NAJIVUNIA”

Wimbo “Najivunia” umetungwa na kurekodiwa Maryland, USA na kundi la wasanii wa Kitanzania waishio Marekani kwa ushirikiano na DMK Global Promotions. To be released on March 15thWasanii wenyewe ni:DMV All Stars:Mr.Tz aka SanTz Prince HerryDomiE-Breezy (Ibra. Max)AJ Ubao

 

9 years ago

Bongo5

Roma atangaza kuachia wimbo mpya October 25 siku ya uchaguzi

Baada ya kukumbana na changamoto nyingi alipoachia wimbo wake wa ‘Viva Roma Viva’, Rapper wa Tongwe Records, Roma ametangaza kuja na wimbo mpya ambao atauachia siku ya uchaguzi mkuu. October 25 siku ambayo Watanzania watajipanga kwenye mistari kwajili ya kushiriki zoezi muhimu la kuwachagua viongozi wanaowataka, rapper Roma amepanga kuwapa wimbo mpya utakaotoka siku hiyo. […]

 

9 years ago

Bongo5

Q Chief kuachia wimbo mpya baada ya uchaguzi, unaitwa ‘Chawa’

Q-Chief amejipanga vizuri kuumaliza vizuri mwaka wa 2015 ambao umeonekana kuwa mwaka mzuri kwa upande wake, akiwa amefanikiwa kuachia video mbili kali alizoshoot Afrika Kusini na muongozaji wa Tanzania, Adam Juma. Katika kuumaliza mwaka Q-Chief amesema amejipanga kuachia wimbo mpya mwezi Novemba mara tu baada ya uchaguzi, na ameutaja wimbo anaotarajia kuja nao unaitwa ‘Chawa’. […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani