Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


''Museveni'' atoa wimbo mpya wa kampeni

Wimbo mpya umetolewa nchini uganda ukiwemo sauti ya rais wa nchi hiyo Yoweri Museveni, na kuwaacha wengi wakijiuliza ikiwa umetungwa kwa ajili ya kampeni za uchaguzi ujao

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Rais Museveni kuachia wimbo mpya

Yoweri_MuseveniKAMPALA, UGANDA

RAIS wa Uganda, Yoweri Museveni, anatarajia kuachia wimbo wake mpya ambao ameupa jina la ‘Kwezi’ utakaokuwa unachangia shughuli za kampeni za uchaguzi.

Kwezi utakuwa ni wimbo wake wa tatu ndani ya miaka mitano mara baada ya kuachia wimbo wa Mpenkoni, ambao ulitumika sana katika kampeni za uchaguzi mwaka 2011.

Mpaka sasa rais huyo hajapanga siku ya kuuachia, lakini inasemekana ni siku za hivi karibuni kwa kuwa tayari amekaa na baadhi ya wataalamu wa muziki na kuupitia wimbo...

 

9 years ago

Bongo5

Video: Adele atoa wimbo mpya baada ya ‘Hello’ – When We Were Young

Adele new

Wakati bado hit single yake ‘Hello’ inaendelea kufanya vizuri na kuvunja rekodi, na zikiwa zimebaki siku nne kabla album ya tatu ya Adele iitwayo ‘25’ itoke, muimbaji huyo wa Uingereza ametambulisha wimbo mpya ‘When We Were Young’ wakati wa mahojiano aliyofanya na 60 Minutes Australia. ‘25’ inatarajiwa kutoka Almahisi hii November 20.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube...

 

10 years ago

Bongo5

Nikki Mbishi atoa sababu za kubadili uamuzi wa kuacha muziki, kutoa wimbo mpya March 4

Rapper Nikki Mbishi ambaye aliuanza mwaka 2015 kwa kufanya uamuzi uliowashtua mashabiki wengi wa Hip Hop baada ya kutangaza kuacha muziki, ametangaza kuachia ngoma mpya wiki ijayo. Baada ya kuulizwa sababu zilizomfanya abadili uamuzi wake na kuendelea kufanya muziki hizi ndio sababu alizozitoa, “Nimegundua kwamba bado watu wananidai vitu vingi sana ngoja kwanza labda nimalizane […]

 

10 years ago

Bongo5

New Music: Eddie Murphy atoa wimbo mpya wa Reggae ‘Oh Jah Jah’

Muigizaji maarufu na mwanamuziki, Eddie Murphy ametoa wimbo mpya wa miondoko ya Reggae uitwao “Oh Jah Jah”. Wimbo huu umefata single yake ya mwisho aliyomshirikisha Snoop Dogg, “Red Light” iliyotoka 2013.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Museveni atoa masharti ya kuwadhibiti madereva wa malori Uganda

Rais wa Uganda Yoweri Museveni ametangaza hatua mpya ya kudhibiti mienendo ya madereva wa malori yanayoingia nchini humo kutoka mataifa jirani baada ya zaidi ya madereva 20 kupatikana na ugonjwa wa Covid-19.

 

11 years ago

Tanzania Daima

AY atoa wimbo kumsapoti Diamond

MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, Ambwene Yesaya ‘AY’, amerekodi wimbo maalumu wa kumpigia debe msanii mahiri nchini, Naseeb Abdul ‘Diamond Platinum’ aweze kushinda katika kinyang’anyiro cha kuwania tuzo...

 

10 years ago

Bongo5

Navy Kenzo wazungumzia album mpya, ‘Niroge na wimbo mpya ‘Moyoni’

Kundi la Navy Kenzo linajiandaa kuachia wimbo wake mpya ‘Moyoni’ wiki hii huku pia likijiandaa kutoa album mpya, ‘Niroge’ mapema mwakani. Procuder Nahreel amesema maandalizi ya album mpya yako mbioni kufikia tamati. “Hii album itatoka January mwakani, maandalizi ni mazuri mpaka sasa hivi, nyimbo nane tayari, ambazo katika nyimbo nane hizo moja wapo tumemshirikisha Joh […]

 

11 years ago

Bongo5

Lil Kim atoa wimbo mwingine wa kumdiss Nicki Minaj ‘Identity Theft’

Siku mbili baada ya kutoa version yake ya ‘Flawless Remix’ akimdiss Nicki Minaj kwenye verse, Rapper Lil Kim ameendelea kumdiss rapper huyo wa YMCMB katika wimbo mwingine alioutoa Jumatano (Agosti 6) unaoitwa ‘Identity Theft’, akimaanisha mwizi wa kitambulisho. Pamoja na kwamba hajamtaja moja kwa moja kwa jina katika wimbo huo, lakini cover ya wimbo ni […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani