Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Navy Kenzo wazungumzia album mpya, ‘Niroge na wimbo mpya ‘Moyoni’

Kundi la Navy Kenzo linajiandaa kuachia wimbo wake mpya ‘Moyoni’ wiki hii huku pia likijiandaa kutoa album mpya, ‘Niroge’ mapema mwakani. Procuder Nahreel amesema maandalizi ya album mpya yako mbioni kufikia tamati. “Hii album itatoka January mwakani, maandalizi ni mazuri mpaka sasa hivi, nyimbo nane tayari, ambazo katika nyimbo nane hizo moja wapo tumemshirikisha Joh […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

New Music: Navy Kenzo — Moyoni

Wimbo mpya wa kundi la Navy Kenzo unaitwa ‘Moyoni’.

 

10 years ago

GPL

9 years ago

Bongo5

Navy Kenzo waeleza watakavyouza album yao ‘Above In A Minute’

Navykenzo

Kundi la Navy Kenzo limesema kuwa album yao ya kwanza iitwayo ‘Above In A Minute’ tayari imekamilika na wanatarajia kuitoa mwanzoni mwa mwaka ujao 2015.

navy2

Wakizungumza kupitia XXL ya Clouds FM, waimbaji wa kundi hilo Aika na Nahreel wamesema kuwa, watauza album yao katika mfumo wa Cd pamoja na online, lakini utaratibu utakaotumika utakuwa ni wa kuweka oda pekee.

“Ila itakuwa ni oda tu, hata kama ni online unafanya oda tu ukishalipia siku ikitoka unapewa ya kwako baada ya hapo itakuwa ni ngumu...

 

9 years ago

Bongo5

Music: K.O aachia wimbo mpya ‘Ding Dong’ kutoka kwenye album yake

K.O

Rapper wa Afrika Kusini K.O aka Cashtime ameachia wimbno mpya ‘Ding Dong’ kutoka kwenye album yake iitwayo ‘Skhanda Republic’.

K.O

K.O alisema video ya wimbo huu anategemea kuiachia mwishoni mwa mwezi huu.

Miezi michache iliyopita K.O ambaye amewahi kushirikishwa kwenye wimbo wa Vanessa Mdee ‘ No Body But Me’ alikuja Tanzania kufanya media tour.

Ding Dong | tayotv

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose...

 

9 years ago

Bongo5

Music: Janet Jackson aachia wimbo mpya unaobeba album yake ijayo ‘Unbreakable’

Janet Jackon ameendelea kuwaonjesha mashabiki wake kile kitakachopatikana katika album yake mpya kwa kuachia wimbo uliobeba album hiyo. Hii ni single ya tatu kuachia kutoka kwenye album hiyo ambayo imefata baada ya ‘No Sleep’ aliyomshirikisha J.Cole. Album ya ‘Unbreakable’ imepangwa kutoka October 2, 2015 Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani