Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


New Music: Eddie Murphy atoa wimbo mpya wa Reggae ‘Oh Jah Jah’

Muigizaji maarufu na mwanamuziki, Eddie Murphy ametoa wimbo mpya wa miondoko ya Reggae uitwao “Oh Jah Jah”. Wimbo huu umefata single yake ya mwisho aliyomshirikisha Snoop Dogg, “Red Light” iliyotoka 2013.

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Bongo5

Jah Prayzah azidi kunogewa na Bongo Flava

Ni dhahiri, Jah Prayzah amenogewa na ladha ya muziki wa Bongo Fleva.

Muimbaji huyo kutoka Zimbabwe, anamshukuru Diamond kila kukicha, ambaye alimshirikisha katika wimbo wake wa ‘Wotora Mari’ na kumpatia tobo kubwa Afrika kwa kuanza kusikilizwa zaidi maeneo mbalimbali Afrika, na kupelekea kujinyakulia tuzo ya Listener’s Choice Awards ya MTV MAMA mwaka jana.

Sasa mkali huyo ameonekana akiwa studio na msanii kutoka WCB, Harmonize na kuandika ujumbe katika mtandao wa Instagram unaoashiria...

 

9 years ago

GPL

EDDIE MURPHY KUPATA MTOTO WA TISA

Staa wa filamu, Eddie Murphy akiwa na mpenzi wake Paige Butcher. STAA wa filamu, Eddie Murphy anatarajiwa kuwa baba kwa mara nyingine kutokana na mpenzi wake, Paige Butcher kuwa mjamzito. Murphy, 54, na Butcher, 36, wamekuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi kwa miaka minne sasa na wanatarajiwa kumpata mtoto wao huyo Mei, mwakani huku akiwa ni mtoto wa tisa kwa Murphy. Watoto wengine wa Murphy aliowapata kwa wanawake mbalimbali ni;...

 

9 years ago

Mtanzania

Eddie Murphy, Butcher kupata mtoto wa tisa

eddie-murphyLAS VEGAS, MAREKANI

NYOTA wa filamu nchini Marekani, Eddie Murphy na mke wake, Paige Butcher, wanatarajia kupata mtoto wao wa tisa ifikapo Mei mwakani.

Kwa upande wa Murphy mpaka sasa jumla ana watoto saba ambaye aliwapata nje ya mke wake wa sasa, huku mke huyo akiwa na mtoto mmoja na akitarajia kupata mtoto huyo wa pili na kuwa na familia ya watoto tisa.

Hata hivyo, kwa upande wa mrembo huyo, ‘Paige’ ameonekana kuwa na furaha kubwa ya kupata mtoto na staa huyo wa filamu.

“Ni furaha kubwa...

 

10 years ago

BBCSwahili

''Museveni'' atoa wimbo mpya wa kampeni

Wimbo mpya umetolewa nchini uganda ukiwemo sauti ya rais wa nchi hiyo Yoweri Museveni, na kuwaacha wengi wakijiuliza ikiwa umetungwa kwa ajili ya kampeni za uchaguzi ujao

 

9 years ago

Bongo5

Video: Adele atoa wimbo mpya baada ya ‘Hello’ – When We Were Young

Adele new

Wakati bado hit single yake ‘Hello’ inaendelea kufanya vizuri na kuvunja rekodi, na zikiwa zimebaki siku nne kabla album ya tatu ya Adele iitwayo ‘25’ itoke, muimbaji huyo wa Uingereza ametambulisha wimbo mpya ‘When We Were Young’ wakati wa mahojiano aliyofanya na 60 Minutes Australia. ‘25’ inatarajiwa kutoka Almahisi hii November 20.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube...

 

10 years ago

Bongo5

New Music: Ne-Yo aachia wimbo mpya ‘Make It Easy’

Muimbaji wa R&B kutoka Marekani, Shaffer Chimere Smith maarufu kwa jina la Ne-Yo, ametoa wimbo mwingine kutoka kwenye album yake ijayo “Non-Fiction”. Wimbo mpya uliotoka Jan.7 unaitwa “Make It Easy”. “Non-Fiction” ni album ya sita ya muimbaji huyo ambayo mwanzo ilipangwa kutoka 2014, lakini sasa inatarajiwa kutoka Jan.27.

 

10 years ago

Bongo5

Belle 9 auzungumzia wimbo wake mpya Vitamin Music

Belle 9 ameachia wimbo wake mpya ‘Vitamin Music’ aliomshirikisha Joh Makini. Akizungumza na XXL ya Clouds FM jana, Belle alisema wimbo huo ni sehemu ya project yake mpya ya album yenye jina hilo. “Ngoma tulifanya kwa Mona Gangster, Classic Sounds lakini mimi sikumtafuta Joh na yeye hakunitafuta, ni ushikaji tu wa muda mrefu, akija studio […]

 

9 years ago

Mtanzania

Mo Music amtamani KCEE katika wimbo wake mpya

Mo-musicNA AGNES MHAGAMA

BAADA ya wasanii mbalimbali wa muziki wa Bongo Fleva kufanya vizuri kimataifa kupitia ushirikiano na wasanii wa kimataifa, msanii anayefanya vizuri katika wa muziki huo, Moshi Katemi ‘Mo Music’ naye ana matarajio ya kushirikiana na msanii kutoka Nigeria, KCEE.

Mo Music, anayetamba na wimbo wa ‘Basi Nenda’ na ‘Ntazoea’, alisema ameshafanya mawasiliano na msanii huyo na mipango ikienda kama walivyopanga watakamilisha wimbo huo ndani ya mwaka huu.

“Nimemchagua KCEE kwa sababu...

 

10 years ago

Bongo5

Nikki Mbishi atoa sababu za kubadili uamuzi wa kuacha muziki, kutoa wimbo mpya March 4

Rapper Nikki Mbishi ambaye aliuanza mwaka 2015 kwa kufanya uamuzi uliowashtua mashabiki wengi wa Hip Hop baada ya kutangaza kuacha muziki, ametangaza kuachia ngoma mpya wiki ijayo. Baada ya kuulizwa sababu zilizomfanya abadili uamuzi wake na kuendelea kufanya muziki hizi ndio sababu alizozitoa, “Nimegundua kwamba bado watu wananidai vitu vingi sana ngoja kwanza labda nimalizane […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani