EDDIE MURPHY KUPATA MTOTO WA TISA
![](http://api.ning.com:80/files/3r*H3JtUV-dQAawS3vVygq4eHKBUxaC1wlv6*IOmFqKKQuNZTtioP2c6c0gtj6lSQMps-Kk4YQQ26tyIb60I56WvInSlSm7D/wenn22189752.jpg?width=650)
Staa wa filamu, Eddie Murphy akiwa na mpenzi wake Paige Butcher. STAA wa filamu, Eddie Murphy anatarajiwa kuwa baba kwa mara nyingine kutokana na mpenzi wake, Paige Butcher kuwa mjamzito. Murphy, 54, na Butcher, 36, wamekuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi kwa miaka minne sasa na wanatarajiwa kumpata mtoto wao huyo Mei, mwakani huku akiwa ni mtoto wa tisa kwa Murphy. Watoto wengine wa Murphy aliowapata kwa wanawake mbalimbali ni;...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania09 Nov
Eddie Murphy, Butcher kupata mtoto wa tisa
LAS VEGAS, MAREKANI
NYOTA wa filamu nchini Marekani, Eddie Murphy na mke wake, Paige Butcher, wanatarajia kupata mtoto wao wa tisa ifikapo Mei mwakani.
Kwa upande wa Murphy mpaka sasa jumla ana watoto saba ambaye aliwapata nje ya mke wake wa sasa, huku mke huyo akiwa na mtoto mmoja na akitarajia kupata mtoto huyo wa pili na kuwa na familia ya watoto tisa.
Hata hivyo, kwa upande wa mrembo huyo, ‘Paige’ ameonekana kuwa na furaha kubwa ya kupata mtoto na staa huyo wa filamu.
“Ni furaha kubwa...
10 years ago
Bongo510 Jan
New Music: Eddie Murphy atoa wimbo mpya wa Reggae ‘Oh Jah Jah’
10 years ago
VijimamboTMF YAFADHILI WANAHABARI TISA KWENDA ACCRA NCHINI GHANA KUPATA MAFUNZOâ€
10 years ago
GPLTMF YAFADHILI WANAHABARI TISA KWENDA ACCRA NCHINI GHANA KUPATA MAFUNZO
11 years ago
Tanzania Daima02 Aug
UJAUZITO WIKI YA TISA: Mtoto anaanza kukua kwa kasi
INAPOINGIA wiki hii, mtoto anakuwa amekua na kufikia urefu wa kama inchi moja hivi. Anakuwa ameshazidi ukubwa wa haragwe ambao alikuwa nao wiki iliyopita. Wakati huu anakuwa ameshaanza kuonyesha viungo...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-HJLA1oekUn8/U7OWqJ8t3-I/AAAAAAAAFro/d_PtICix97I/s72-c/IMG-20140630-WA0000.jpg)
MTOTO WA MIAKA TISA, IDDA BAITWA AELEKEA KILELE CHA MLIMA KILIMANJARO.
![](http://2.bp.blogspot.com/-HJLA1oekUn8/U7OWqJ8t3-I/AAAAAAAAFro/d_PtICix97I/s1600/IMG-20140630-WA0000.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-m_K-oivej2o/U7OWsLnArbI/AAAAAAAAFrw/GATX77cWLrQ/s1600/IMG-20140630-WA0001.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-XThM9jqGMuw/U7OWtNS0N3I/AAAAAAAAFr8/nM_i90_UIdI/s1600/IMG-20140630-WA0006.jpg)
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-5ZBoT6nGaNI/Xqrg-WDMygI/AAAAAAALork/JBXAElBechM02WkQp8uGyjVR__wA9qs9gCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_20200429_103939.jpg)
MTOTO WA MIAKA TISA AOMBA MSAADA KWA WASAMARIA WEMA AKAPATE MATIBABU YA MOYO MUHIMBILI
![](https://1.bp.blogspot.com/-5ZBoT6nGaNI/Xqrg-WDMygI/AAAAAAALork/JBXAElBechM02WkQp8uGyjVR__wA9qs9gCLcBGAsYHQ/s640/IMG_20200429_103939.jpg)
10 years ago
Mwananchi12 Jun
Namna ya kumsaidia mgumba kupata mtoto
9 years ago
Mtanzania02 Sep
Prezzo anatarajia kupata mtoto wa pili
NAIROBI, Kenya
NYOTA wa muziki nchini Kenya, Jackson Makini ‘CMB Prezzo’ anatarajia mtoto wa kiume hivi karibuni.
Prezzo amempa jina la Gabriel mtoto huyo kabla hajazaliwa. Msanii huyo mpaka sasa hajaoa, lakini ana mtoto mmoja na sasa anatarajia kupata mtoto wa pili.
“Natarajia mtoto wa kiume siku yoyote, ni furaha kubwa kupata mtoto wa kiume kwa kuwa naamini ataiga mambo yangu mengi, ikiwemo aina ya mavazi ninayopenda kuvaa.
“Nimeamua kumpa jina mapema kabla ya kuzaliwa kwa kuwa najua...